Visiwani wataka pasu kwa pasu vinginevyo muungano uvunjwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Visiwani wataka pasu kwa pasu vinginevyo muungano uvunjwe

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Candid Scope, Jun 28, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mbunge wa Jimbo la Micheweni, Bw. Haji Khatibu Kai (CUF) alipendekeza kuwa kuvunjwa kwa muungano kwa kuwa hakuna uwiano katika mambo mbalimbali yanayofanywa na serikali. Alisema kuwa serikali haikueleza ni kero ngapi mpaka sasa zimeshughulikiwa hatua inayowafanya Wanzanzibari kuwa nyuma ikilinganishwa na wabara, hivyo akaomba kuwa kama Zanzibar imeonekana ni mzigo, basi muungano huo uvunjwe ili uundwe upya.

  Naye Mbunge wa Magogoni, Bw. Kombo Khamis Kombo (CUF) alisema kuwa kumekuwa na uwiano usiokuwa sahihi katika mambo mbalimbali ambapo alitolea mfano uteuzi wa mabalozi katika nchi mbalimbali. Alisema kuwa mpaka sasa mabalozi wanaotoka Zanzibar ni wanne tu ambao wako katika nchi za Kiarabu huku idadi kubwa ya mabalozi wakitoka bara hivyo akaomba kuwepo uwiano katika teuzi mbalimbali.

  Alisema kuwa serikali ina wizara 26, kati ya hizo sita tu ndizo za muungano, lakini mambo mbalimbali ambayo si ya muungano yamekuwa yakitengewa fedha hivyo akahoji usawa katika masuala hayo .Alisema kuwa kama kuna nia ya dhati ya kutatua kero za muungano ni vyema Waziri Mkuu akalisimamia vyema suala hilo ili kurejesha imani ya Wazanzibari.

  Majira
   
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kwanza tuwaulize hao wabunge wanaotishia nyau eti Muungano uvunje, hayo ndio wananchi wao waliyowatuma au ni mawazo yao wanatafuta vyeo serikalini?
  Warudi majimboni wakawaulize wananchi na ikionekana Wzanzibari hawautaki, basi tuwaachie waondoke! Sina hakika kama watu wa kawaida wana mawazo haya haya?
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wazenj wanaupenda sana Muungano, hiyo ya kutishiana nyau ni "sitaki nataka!" Kama huyo Mbunge kweli haupendi Muungano awe wa kwanza kujitoa kwenye Bunge la Muungano, nitaona kweli yuko serious!
   
 4. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  bora muungano uvunjike idadi ya maisilamu ipungue
   
 5. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  yaani huyo mbunge alichoona cha maana sana ni uteuzi wa mabalozi, yaani hakuna kingine kabisa kinachohusu muungano ambacho wangekishughulikia kingeleta tija kwa wanzazibari wote.
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Huyo mbunge kilichomfikisha hapo bungeni hakijui? Bila Muungano angekuwa bungeni Dodoma? Anataka nini sasa?
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wabara tungeshika wizara za wazanzibar wangetutafutia majambia, angalia wafanyabiashara wa bara na makanisa ya wakristo yanavyochomwa moto huko Zenj
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nyerere angekuwa hai hawa waheshimiwa wangekuwa kifungo cha nyumbani indefinately. Nyie wana JF wenye umri chini ya miaka 25 kuna anayemfahamu au kuwahi kumsikia Abood Jumbe?
   
 9. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ungekuwa unajua lengo la muungano ni nn usingelopoka.. muungano ulitengenezwa na nyinyi wakristo kuupitia chama chenu cha magamba kuubana uislaam. kama si hivyo si muuvunje?? kwa nn mwaunganganiaaa? na enyi wenu waislaam mnaotetea muungano kwa kupewa pesa na tuvyeo siku zenu zahesabika.
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mbona kwenye hotuba yake alidai kuwa kuna watu wanafikiri kujitenga "kwa sababu ya ulevi wa madaraka!" Je, hao watu aliwaweka ndani? Vitu vingine unaropoka tu ndugu!
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Haaaa haaa! Kumbe kulikuwa na vikao vya Wachungaji na maaakofu juu ya kuunda Muungano? Ama kweli kichwa chako kimejaa tope! Pole sana, hebu kakojoe kwanza ili ukalale!
   
 12. T

  T.K JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hawa watu kwann wasipewe tu nchi yao?....kama hawataki kuwapa baci wawatangaze hawa ni wahaini
   
 13. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kafika dodoma kwa sababu ya hila zenu, fika zenj fanya karesearch kadogo ndo utajua kama mungano unatakiwa au la. zanzibar bila tanganyika ni dubai.. na hilo mwalijua tatizo roho mbaya dhidi ya uislaam. kama vipi si uvunjike kwa nn mwaunganganiaaaaaa
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mi napendekeza kura za maon ipigwe na tujue km wananchi wanataka kuuvunja muungano.Tusipige soga majukwaani bali wananchi washirikishwe.binafsi nataka uvunjwe maana ni batili coz wananchi hawakushirikishwa na sioni umuhimu wake zaidi ya kero
   
 15. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hilo ni moja ktk mengi tatizo muda ni mdogo wanaopewa haiwezekani kusema yote. kwa hilo we unaona sawa?
   
 16. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mbona mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar, 1984 yanaitaja Zanzibar kuwa ni nchi? Na kama hawataki Muungano kwa nini wanafanya kazi za kuajiriwa kwenye Wizara na Idara zisizo za Muungano? Je, Bungeni huwa wanatoka nje ya Bunge kunapokuwa na mjadala wa Wizara isiyo ya Muungano? Au Wazanzibari wanapodai kwamba "hatutaki Muungano" huwa wanamaanisha nini hasa?
   
 17. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kakojoe ww kwanza kwa chuki zako juu ya uislam, hata hivyo ndugu zako waislam twakupenda sana.. hatuna chuki na nyie msietupendag
   
 18. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa nini hatoki nje ya Bunge kama kuna mjadala usiohusu Wizara isiyokuwa ya Muungano?
   
 19. a

  ali mc Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Chuki yako dhidi ya waislam haitakufikisha popote.jenga hoja,changia mada uwe great thinker.usiandike utumbo.nakuonea huruma kwani hujui uislam ni nini na unahusu nini.nakupa homework kausome uislam usiongozwe na jazba .
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Muungano!!
  Uvunjwe tu hata leo hii.
  Wazanzibar wanaamini huu muungano ndio kikwazo cha mafanikio yao.
   
Loading...