Siku hizi @NYC credibility yake imeshuka sana imefikia watu wanamuweka group moja na kina Rejao.Naomba comments za watu wafuatao;
1. Nnauye jr
2. Faiza Foxy
3. Jenifa
4. Mzee wa hoja
5. W. J. Malecela
6. Omr
7. Mr Mak
8. Muhadhir
9. Rejao
10. Nduka
Ahsanteni sana...
<br /><font size="4"><span style="font-family: book antiqua">Ni usanii wa hali ya juu!!!! Tangu bajeti ilipotangazwa kakaa kimya kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta ya taa mpaka kwenye kikao cha CC!!! Ili kutaka kuonyesha kwamba Magamba inawajali Watanzania!!!! Ni kichekesho cha hali ya juu.</span></font>
Hivi dual citizenship itaanza lini ....... tusijeuzwa kwa dharura tukakosa pa kukimbilia.5. Kamati Kuu inasikitishwa na tatizo la umeme nchini kwani athari zake kwa uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja ni kubwa. Hivyo basi imeitaka Serikali kutumia muda iliyopewa wa kurekebisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kuja na mpango wa dharura wa kunusuru hali hii na kisha kulimaliza kabisa tatizo la umeme nchini.
4. Kamati Kuu haijaridhishwa na kiwango cha bei ya mafuta ya taa nchini kwa kuwa ndio nishati inayotumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha chini. Aidha Kamati Kuu haikuridhishwa na maelezo ya kupandishwakwa bei ya mafuta hayo kwa kisingizo cha kuzuia uchakachuaji wa mafuta mengine.
Hivyo basi, Kamati Kuu imeiagiza Serikali kutafuta njia za kushusha bei ya mafuta ya taa na kuvitaka vyombo vya Serikali vinavyohusika na usimamiaji wa ubora wa mafuta, vihakikishe vinatimiza wajibu wake kuzuia kabisa mtindo wa uchakachuaji wa mafuta nchini na si kupandisha beiya mafuta ya taa kama suluhisho.
Kweli haya sasa ni maigizo, Mhe. amepitisha bajeti na kukubali bei ya mafuta ya taa ipande akiwa kama mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri, then huku akiwa kama mwenyekiti wa CC anasema hapana bei ya afuta ya taa ishushe tena anaiamuru serikali hiyo hiyo anayoongoza yeye!![/QUOTE]
Rais wa TZ;Kanali Dr Mrisho Jakaya Kikwete huwa ananishangaza sana;ni nani aliye mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri ambaye ndiyo mwenye kauli ya mwisho kuhusu Bajeti ya Serikali?Sasa kama BOSS analalamika sisi hoe hae tufanyeje/Nchi imemshinda na ushahidi ni huu wa leo!
4. Kamati Kuu haijaridhishwa na kiwango cha bei ya mafuta ya taa nchini kwa kuwa ndio nishati inayotumiwa na wananchi wengi wenye kipato cha chini. Aidha Kamati Kuu haikuridhishwa na maelezo ya kupandishwa kwa bei ya mafuta hayo kwa kisingizo cha kuzuia uchakachuaji wa mafuta mengine. Hivyo basi, Kamati Kuu imeiagiza Serikali kutafuta njia za kushusha bei ya mafuta ya taa na kuvitaka vyombo vya Serikali vinavyohusika na usimamiaji wa ubora wa mafuta, vihakikishe vinatimiza wajibu wake kuzuia kabisa mtindo wa uchakachuaji wa mafuta nchini na si kupandisha bei ya mafuta ya taa kama suluhisho.
5. Kamati Kuu inasikitishwa na tatizo la umeme nchini kwani athari zake kwa uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja ni kubwa. Hivyo basi imeitaka Serikali kutumia muda iliyopewa wa kurekebisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kuja na mpango wa dharura wa kunusuru hali hii na kisha kulimaliza kabisa tatizo la umeme nchini.
Hapo kwenye Black, huyo kwisha habari yake hana lolote. hapo kwenye red hao wameshakula ban ni washenzi sana, na kwenye blue huyo ndio umsahau kabisa maana ana gari mpya Nissan yeye sasa hivi kazi yake ni misele tu kwenye mitaa ya New York, USA.Naomba comments za watu wafuatao;
1. Nnauye jr
2. Faiza Foxy
3. Jenifa
4. Mzee wa hoja
5. W. J. Malecela
6. Omr
7. Mr Mak
8. Muhadhir
9. Rejao
10. Nduka
Ahsanteni sana...