Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
Wivu wa kugawa bendera hata mimi nina bendera ya kafu nimeweka pazia maliwatoni kama unaitaka njoo uichukue.chadema mna wivu kumbeeee!!!
Wivu wa kugawa bendera hata mimi nina bendera ya kafu nimeweka pazia maliwatoni kama unaitaka njoo uichukue.chadema mna wivu kumbeeee!!!
Hii imenifurahisha,,Ni chachandu Mkuu"Tomato au Chili?
Isije ikawa ni jana ya Nape kucheza na akili za watu ili siku akiingia huko apokelewe kwa kukabidhiwa hizo bendera na kadiwanainchi na wakazi wa igunga wamenunua kadi za cuf kwa wingi toka ujumbe ulipoondoka mkoani Dar es salaam kwenda jimboni humo kwa shughuli za kichama huku wakizunguka katika kata zote na vijiji wanainchi wamechukua bendera na kuzindua matawi mapya pamoja na kuongeza wanachama wapya, hii imepelekea kuagizwa kwa bendera na kadi zingine kutoka ofisi kuu Dar es salaam, hii kwajili ya kujiandaa na mtanange wa uchaguzi mdogo utakaofanyika ndani ya miezi 3 kuanzia sasa.
<br />Isije ikawa ni jana ya Nape kucheza na akili za watu ili siku akiingia huko apokelewe kwa kukabidhiwa hizo bendera na kadi
Hahahaahaha........umenifurahisha mkuu. Hii hesabu muliikataa mwaka jana hapa JF! Tulisema Slaa hawezi akawa amekaribia kushinda uchaguzi kwa sababu alipata wabunge wachache tena chini ya 30 wakuchaguliwa majimboni. Leo unaleta heabu hiyo hiyo kujustify nafasi ya CDM igunga?Naona CCM B wamekutuma kuja kupima upepo hapa JF ili kukatisha tamaa wapiganaji na hatimaye jimbo lirudi mikonono mwa CCM.Mbona hujiulizi kama CUF ni maarufu Igunga mbona haina hata diwani ilihali walikuwa na mgombea ubunge mwaka jana? Chadema haikuwa na mgombea ubunge lakini ilivuna madiwani.A smallest calculation.
Wamelogwa hao,si juzi tu walikuwa wanamlilia RA
Join Date : 14th July 2011Chadema msipoteze muda wenu igunga hamna nafasi ya kushinda,afadhali hela hiyo ya kampeni mpeleke kuendeleza matawi yenu mkoa wa kilimanjaro
Join Date : 11th March 2011Kwani chadema na cuf nani walikuwa wapili kwenye nafasi ya ubunge?nafikiria bora chadema wangepumzika maana hawapati kitu huko
Wapenzi wa CUF, acheni kudanganya watu kwani mwaka jana Chadema hawakuweka mgombea Ubunge katika Wilaya ya Igunga. Waliogombea Ubunge Igunga walikuwa wawili tu - ROSTAM AZIZI ABDULRASOOL wa CCM aliyepata kura 35,674 na LEOPOLD LUCAS MAHONA wa CUF aliyepata kura 11,321.Join Date : 2nd August 2011hawa cuf mimi nawaaminia siasa zao nzuri, kichama nasikia wana uongozi kila kata ktk jimbo la igunga hawa ni waumini wa kujenga mtandao wa chama tofauti na cdm.
Naona CCM B wamekutuma kuja kupima upepo hapa JF ili kukatisha tamaa wapiganaji na hatimaye jimbo lirudi mikonono mwa CCM.Mbona hujiulizi kama CUF ni maarufu Igunga mbona haina hata diwani ilihali walikuwa na mgombea ubunge mwaka jana? Chadema haikuwa na mgombea ubunge lakini ilivuna madiwani.A smallest calculation.
GOOD RESEARCH.thanksWapenzi wa CUF, acheni kudanganya watu kwani mwaka jana Chadema hawakuweka mgombea Ubunge katika Wilaya ya Igunga. Waliogombea Ubunge Igunga walikuwa wawili tu - ROSTAM AZIZI ABDULRASOOL wa CCM aliyepata kura 35,674 na LEOPOLD LUCAS MAHONA wa CUF aliyepata kura 11,321.
Na katika kinyang'anyiro cha Uraisi Wilayani Igunga, pamoja na uchakachuaji uliofanyika Kikwete wa CCM alishinda kwa kura 34,090 akifuatiwa na Dr. Slaa wa Chadema kura 8,874 na Prof. Lipumba akawa wa tatu kwa kura 3,181.
Hata hivyo Chadema waliweka wagombea Udiwani kwenye kata mbali mbali Wilayani Igunga na waliweza kushinda maeneo fulani tofauti na CUF iliyoambulia sifuri. Hiyo nguvu ya CUF Igunga inatoka wapi ?