Mwandishi Mayage S. Mayage umepotoka hatudanganyiki

Nimekuwa nikisoma makala za Mayage S. Mayage na kuna kitu nimegundua. Hayuko consistent. Ni wiki kama mbili zimepita aliandika makala kwamba sasa CCM must go kwa sababu chama kimeshindwa kuongoza na bila kusubiri, leo anasema eti haoni chama kinachostahili kuitoa CCM madarakani.

Lakini naelewa kwa nini ameamua kuwa pro-CCM kiasi hicho. Wiki iliyopita inasemekana alipokea sms kutoka kwa Dr. Slaa akimshutumu kuandika makala bila utafiti. Sasa kama vile analipiza kisasi.

Pamoja na yote watanzania hatutegemei maoni ya magazeti kututafutia viongozi. Chama bora na viongozi bora tunawajua sie wenyewe na maoni ya akina Mayage and the likes are irrelevant. Sasa naanza kuamini maneno ya Mtume Paulo kwamba wale wajidhaniao wana hekima wajiangalie wasije wakawa wanaonekana wajinga mbele za watu kwa upupu wao.
 
Mafanikio ya CDM yanatokana na uroho wa viongozi wa ccm kila mtu kujiona anaweza kuwa rais,hivyo kusalitiana na kutoa siri zao .
 
Kwanini hatoi mapendekezo pia kwa CUF, NCCR, TLP, UDP wabadili uongozi wao?? kwanini CHADEMA peke yao?? Ama kweli hivi vichwa vinawanyima usingizi wana magamba!!
 
Hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo wana CDM!!jana kuna mada nilichangia!nikatoa hoja kwamba tuna ombwe la uongozi pale juu na kwa kuwa chama bado kipo katika fikra za waanzilishi!na mwenyekiti wetu kwa uongozi wake ameshindwa kukitoa kwenye fikra hizo!!

Na nikainisha mambo mengi!na mwishowe nikasema M wenyekiti mbowe hakuna namna ni lazima atoke kwa ustawi wa chadema na kwa maendeleo ya chama!!!

Nikatukanwa,nikadharirishwa sana na wanachadema wenzangu ambao mimi sijui chama chochote cha siasa zaid ya chadema,mbaya zaid nimeanza piga kura 95 nikiwa si mwanachama wa chama chocote! Na nilipiga hata umri haujatimia!!!

Na nilijiunga chadema yapata miaka 2 iliyopita!!!ila chadema pale juu kuna mapungufu !!tutake tusitake!!na huo ndio ukweli!!!Mbowe ni muhimu aondoke!

Nyie watu wa ccm mnafikiri cdm hatuna akili kama nyie, hiki chama kimejengwa na kila siku kinazidi kuimalika chini ya uongozi wa kamanda wa anga mbowe, kama kuna ombwe tuambie tangia mbowe achukue chama ni uchaguzi upi amabao cdm imeshuka? kila uchaguzi tunazidi kupanda mbowe amepewa chama tukiwa na wabunge watano na madiwani 30 miaka minane baadae tuna wabunge 48 na madiwani zaidi ya 600 sasa huyo mtu utasema hana mafanikio kwenye uongozi wake? wewe na MAYAGE anzisheni chama tuone huo uongozi wenu usiokuwa na ombwe.:A S embarassed:
 
Nilichogundua ni kwamba wafuasi na wapenzi wengi wa chadema hawawezi kuvumilia kukosolewa hata kama jambo hilo lina maslahi na chama chao.kwa mwendo huu safari yao itakuwa na vikwazo vingi.
 
Chadema hawataki kuambiwa ukweli. Nyie sio miungu, kubalini kukosolewa kwa ustawi wenu.
 
Nenda CCM huko matakwa yako yatatimia. Chadema hakuna atakayesikiliza ujinga wako.
Mbowe bado ni kiongozi safi hata ccm mnafahamu.

Narudia kusema tena nenda ccm waliokutuma. Kwetu Chadema haatukubaliani na mawazo ya kijinga kama nyie mnavyosikiliza mawazo ya kijinga ya wakina nape nyauye

Tukisema kuna mtindio wa ubongo kwa viongozi wa cdm + wanachama + wapenzi tutakuwa tumekosea ?

Nadhani aliyeruhusu mfumo wa vyama vingi bila kutoa Elimu ya Uraia kwa ukamilifu alichangia sana kuturudisha nyuma kimageuzi.Nimeshangaa sana baadhi ya maoni ya watu.Kama kuna mwanasiasa wa kweli na mpenda demokrasia basi ni lazima akubalane na busara ya kukosolewa,uvumilivu na kuonyesha ukomavu hasa pale unapopewa ushauri ambao ni mchungu.

Umakini wa mwanasiasa bora,mwanamageuzi mwenye nia ya dhati ni kufurahia fursa nyingi kupitia changamoto za mawazo mbadala ambazo in return zinakufanya utafakari mwenendo wako kwa nia ya kuboresha strateggy zako.Mimi sioni kosa la Mayage S. Mayage.Na sidhani kama mwanachadema mwenye busara na weledi wa kisiasa anaweza kutumia muda mwingi kumlaumu Mayage badala ya kutazama ukweli wa yale aliyoandika na kama hayana Tija tuachane nayo.

Tuache fikra za kinazi muda umekwisha,tufanye kazi na tuangalie njia sahihi ya kukabiliana na changamoto tulizo nazo.Sisi wananchi na kwa bahati mbaya hasa wasomi tumechangia kwa kiasi kikubwa kuwa na aina hii ya viongozi tulio nao serikalini na kwenye taasisi mbalimbali pamoja na vyma vya siasa kutokana na aina ya mitizamo yetu inayotoa ramani na ukomo wa fikra wa viongozi wetu

Nilitegemea tungetumia fursa itokanayo na aiana ya waandishi,wachambuzi na wanaharakati wenye weledi katika kujifanyia re-assesment na si kutukana/kukejeli.

Nahisi ndiyo maana hadi sasa tangu tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi CCM imeendelea kubakia madarakani,kasi ya mabadiliko ni ndogo sana.Tuongeze bidii kabla wananchi hawajaanza kuona kwamba vyama vya siasa haviwezi kuleta radical changes !
 
Hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo wana CDM!!jana kuna mada nilichangia!nikatoa hoja kwamba tuna ombwe la uongozi pale juu na kwa kuwa chama bado kipo katika fikra za waanzilishi!na mwenyekiti wetu kwa uongozi wake ameshindwa kukitoa kwenye fikra hizo!!

Na nikainisha mambo mengi!na mwishowe nikasema M wenyekiti mbowe hakuna namna ni lazima atoke kwa ustawi wa chadema na kwa maendeleo ya chama!!!

Nikatukanwa,nikadharirishwa sana na wanachadema wenzangu ambao mimi sijui chama chochote cha siasa zaid ya chadema,mbaya zaid nimeanza piga kura 95 nikiwa si mwanachama wa chama chocote! Na nilipiga hata umri haujatimia!!!

Na nilijiunga chadema yapata miaka 2 iliyopita!!!ila chadema pale juu kuna mapungufu !!tutake tusitake!!na huo ndio ukweli!!!Mbowe ni muhimu aondoke!

Unachangia hoja ipi? Iliopo mezani au una yako binafsi
 
Hili ndilo tatizo kubwa! Kila anayekuja na hoja ya udhaifu uliopo CDM anadhaniwa kuwa ni CCM!!!WAPENDWA haya ni katika kujenga chama!!!

Mguu tulionza nao sio sahihi!!wananchi wamechoka,nasi twatumia nafasi hiyo kuona kila jambo tulifanyalo ni sahihi!!!ok wengine tuna mawazo ya kipumbavu!!ila mkumbuke kisemwecho sahihi ata tufanyeje,tupinge kitajidhirisha tu! Ni suala la muda!!na ngoja tuone! 2015 si mbali!

Maneno matupu hayasaidii. Andamana mkuu,,,,
 
Nimekuwa nikisoma makala za Mayage S. Mayage na kuna kitu nimegundua. Hayuko consistent. Ni wiki kama mbili zimepita aliandika makala kwamba sasa CCM must go kwa sababu chama kimeshindwa kuongoza na bila kusubiri, leo anasema eti haoni chama kinachostahili kuitoa CCM madarakani.

Lakini naelewa kwa nini ameamua kuwa pro-CCM kiasi hicho. Wiki iliyopita inasemekana alipokea sms kutoka kwa Dr. Slaa akimshutumu kuandika makala bila utafiti. Sasa kama vile analipiza kisasi.

Pamoja na yote watanzania hatutegemei maoni ya magazeti kututafutia viongozi. Chama bora na viongozi bora tunawajua sie wenyewe na maoni ya akina Mayage and the likes are irrelevant. Sasa naanza kuamini maneno ya Mtume Paulo kwamba wale wajidhaniao wana hekima wajiangalie wasije wakawa wanaonekana wajinga mbele za watu kwa upupu wao.

wengi wa waandishi wetu hawajui kazi yao. wanaamini wana haki ya kutoa mawazo , lakini hawataki kukosolewa. ni wazuri wa kutumia kalamu kufanya visasi. lakini kikubwa hawa hawa wanasukumwa na njaa zaidi kama walivyo watu wa taaluma nyingine. makala zinaandikwa zikiwiiana na bahasha atakayo pewa
 
Hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo wana CDM!!jana kuna mada nilichangia!nikatoa hoja kwamba tuna ombwe la uongozi pale juu na kwa kuwa chama bado kipo katika fikra za waanzilishi!na mwenyekiti wetu kwa uongozi wake ameshindwa kukitoa kwenye fikra hizo!!

Na nikainisha mambo mengi!na mwishowe nikasema M wenyekiti mbowe hakuna namna ni lazima atoke kwa ustawi wa chadema na kwa maendeleo ya chama!!!

Nikatukanwa,nikadharirishwa sana na wanachadema wenzangu ambao mimi sijui chama chochote cha siasa zaid ya chadema,mbaya zaid nimeanza piga kura 95 nikiwa si mwanachama wa chama chocote! Na nilipiga hata umri haujatimia!!!

Na nilijiunga chadema yapata miaka 2 iliyopita!!!ila chadema pale juu kuna mapungufu !!tutake tusitake!!na huo ndio ukweli!!!Mbowe ni muhimu aondoke!

Umesema vyema kwamba umeingia Chadema juzi juzi kweli huijui Chadema na Ombwe la uongozi lipi unalosemea? Mbowe ni kisiki sana kwa ustawi wa Chadema .Mbowe si kama Seif na ndiyo maana walisema waliijua bei ya Seif ila Chadema wanapata shida zaidi ni juu ya Mbowe na mwendo wake wa kasi .Yuko imara pamoja na mapungufu ataondoka muda ukifika kwa sasa mpeni ushirikiano ajenge Chadema yenye afya huu ndiyo ukweli .

Mbowe akiondoka uko tayari kugombea na utuhakikishie kwamba huwezi kuwa kama Seif wa KAFU
 
Ndugu Mayage kama unasoma hapa, hebu tafakari hii ya Roosevelt (rais wa zamani wa Marekani)
"I
[SIZE=+2]n the battle of life, it is not the critic who counts; nor the one who points out how the strong person stumbled, or where the doer of a deed could have done better. [/SIZE]
T
[SIZE=+2]he credit belongs to the person who is actually in the arena; whose face is marred by dust and sweat and blood, who strives valiantly; who errs and comes short again and again, because there is no effort without error and shortcoming; who does actually strive to do deeds; who knows the great enthusiasms, the great devotion, spends oneself in a worthy cause; who at the best knows in the end the triumph of high achievement; and who at worst, if he or she fails, at least fails while daring greatly. [/SIZE] F [SIZE=+2]ar better it is to dare mighty things, to win glorious triumphs even though checkered by failure, than to rank with those timid spirits who neither enjoy nor suffer much because they live in the gray twilight that knows neither victory nor defeat."[/SIZE]
 
Hili ndilo tatizo kubwa! Kila anayekuja na hoja ya udhaifu uliopo CDM anadhaniwa kuwa ni CCM!!!WAPENDWA haya ni katika kujenga chama!!!

Mguu tulionza nao sio sahihi!!wananchi wamechoka,nasi twatumia nafasi hiyo kuona kila jambo tulifanyalo ni sahihi!!!ok wengine tuna mawazo ya kipumbavu!!ila mkumbuke kisemwecho sahihi ata tufanyeje,tupinge kitajidhirisha tu! Ni suala la muda!!na ngoja tuone! 2015 si mbali!

Wewe ndiye uliyechoka. wananchi gani waliokwambia wamechoka. walikwambia wamemchoka mbowe? wapi huko ulikokusanya hizo data.
 
matusi ya nini?ndugu linyakalumbi ndio mawazo yale yale ya wabunge wa ccm!!kila hoja iping'wayo na wapinzani!!wao wanajibu kwa vijembe!!!!mimi na wewe nana bange bange bange?nimetoa hoja!!!unanidhiaki!!!!je ukijua ni miongoni mwa vijana tunaotumia muda na nguvu kazi zetu kusadia vijana hao unaniita mimi bange bange!!!!!?elimu yako haijakukomboa kama unayo!!otherwise ni product za kifisad zisizojua adha waipatayo binadamu wa nchi hii!!!usidhiaki watu bwana!!!!mi natoa hoja jukwaani hapa!!hunijui sikujui!!!!kuwa na heshima bwana!!!usidhani wote tunafanana!!!!na pengine mazingira tuliyopitia ungepita wewe usingejua keyboards!!!!ungekuwa ushakufa au unakunywa gongo ishishang'olo sengerema!!

Hoja gani uliyotoa haina facts hata moja. unadai ukaandike kwanza maana ulianzisha kichwakichwa bila kujiandaa?
Mtafute Nape mkaadike umbea wenu.
 
Nilichogundua ni kwamba wafuasi na wapenzi wengi wa chadema hawawezi kuvumilia kukosolewa hata kama jambo hilo lina maslahi na chama chao.kwa mwendo huu safari yao itakuwa na vikwazo vingi.

unapokosoa toa facts. sio kukosoa ili mradi tu upate kisingizio cha kusema CDM hawapendi kukosolewa. toa data zenye mashiko halafu uone kama hawapendi kukosolewa.
 
Hili ndilo tatizo kubwa! Kila anayekuja na hoja ya udhaifu uliopo CDM anadhaniwa kuwa ni CCM!!!WAPENDWA haya ni katika kujenga chama!!!

Mguu tulionza nao sio sahihi!!wananchi wamechoka,nasi twatumia nafasi hiyo kuona kila jambo tulifanyalo ni sahihi!!!ok wengine tuna mawazo ya kipumbavu!!ila mkumbuke kisemwecho sahihi ata tufanyeje,tupinge kitajidhirisha tu! Ni suala la muda!!na ngoja tuone! 2015 si mbali!
Nadhani wapumbavu wanaonekana tu kwa hoja zao.
Siku hiizi mnaikimbia na ccm yenu na kila anayekuja hapa na vijioja vya ovyo anajifanya ni mwana Chadema. Yaani kama mnakikana chama chenu tuwaite vipi?
Njoo na hoja na siio vituko tutakujibu kwa vituko ukija kwa vituko.
Swali kwa nini msianzishe chama chenu ili mpambane na ccm badala ya kuwambia wengine ndio waanzishe? mnataka waazishe na mambo yakienda vibaya mrudi kuwabeza????? Kama kuendesha chama ni rahisi hivyo nawashauri nyie wenye mawazo mfu anzisheni vyama vyenu na sie tutawafuata.
 
mayage ni mzee naemuheshimu sana! niliwahi kufanya nae kazi kwenye media house fulani apa mjini!..ni mtu anaependa kutofautiana na mtazamo wa wengi! hata kama ukweli uko wazi mladi tu apate pakupenyeza karamu yake basi atapatumia ipsavyo! so sishangai nikiona anaandika makara kama hiyo! kwani ni dalili tosha ya matumizi mabaya ya uhuru wakupasha watu habari!, sikatai kikatiba ni haki yake kuandika anacho andika ili mladi atofautishe kti ya picha halisi na na maoni yake binafsi!..aache kufanya maoni yake kama ndio uhalisia wa jambo!..hakuna asiyejua New habari corp 2006 inamilikiwa na kada wa CCM so sishangai wakilambana miguu!..chakuwasihii tu ni kwenye katiba mpya kutakua na kipengere kipya kinachohusu uhuru wa vyombo vya habari dhidi ya maono ya mwandishi na wamiliki,hiyo itasaidia waandishi makanjanja kama hawa kuacha kutumiwa kama token ya pool table na makada mashuhuri mjini!.. ni hayo tu! no hard feelings bwana mayage u still my old colleague!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom