• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Igunga: Mfuasi wa CUF kavamiwa na wafuasi wa CCM kapewa kipigo yupo hoi Hospitali

ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
11,786
Points
2,000
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
11,786 2,000
tbc 1 wameelezea kuwa msafara wa shigela kiongozi wa uvccm wamemshambulia kiongozi wa kata cuf huko igunga kwa kupandisha bendera na yuko hospitali ila kanyimwa matibabu. Jee ndoa ya ccm na cuf imevunjika au huu ni ugomvi wa ndani ya familia?
utakuwa ugomvi wa kifamilia, tusiwaingilie
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Points
1,250
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 1,250
Mfuasi mmoja wa chama cha siasa( CUF), kavamiwa na vijana waliotambulika ni wa CCM na kumpa kipigo mpaka akapoteza fahamu.

Mfuasi huyo wa CUF alikutwa akipandisha bendera ya chama cha CUF nyumbani kwake, vijana wa CCM walimvamia na kumpa kipigo majeruhi huyo kalazwa hospitali, inasemekana kavunjika mbavu.

SOURCE: TBC HABARI
Hiyo ni dalili kwamba hali ni mbaya sana kiasi kwamba hata mshirika wao hawamuamini tena. Magamba wamechanganyikiwa sasa wanajaribu kufanya lolote wanaloona linaweza kufanyika ili kujitafutia huruma ya wana igunga.

Huko tunakoelekea tusishangae ccm kutega na kulipua mabomu hata kuua watu na wakasingizia chadema. Inabidi wana igunga pamoja na watanzania kwa ujumla tuwe makini sana hawa ccm wanaweza kuilipua nchi kwa uroho wa madaraka.
 
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
11,786
Points
2,000
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
11,786 2,000
ambacho hajui shigela ni kuwa uchaguzi ukiisha wao wataondoka, wanakiherehere wa magamba watashughulikiwa individualy, watajuta kupewa vikofia, watajuta kutupa nazi kwa hadaa ya embe!! Mimi naenda zambiaaaaaaa!! Ambako watu hawaogopi kushindwa.
bravo zambia
 
Konya

Konya

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
920
Points
195
Konya

Konya

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2011
920 195
Watayamaliza 2,wanajuana wenyewe..iko dugu moja
 
usininukuu

usininukuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Messages
380
Points
0
usininukuu

usininukuu

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2011
380 0
Mfuasi mmoja wa chama cha siasa( CUF), kavamiwa na vijana waliotambulika ni wa CCM na kumpa kipigo mpaka akapoteza fahamu.

Mfuasi huyo wa CUF alikutwa akipandisha bendera ya chama cha CUF nyumbani kwake, vijana wa CCM walimvamia na kumpa kipigo majeruhi huyo kalazwa hospitali, inasemekana kavunjika mbavu.

SOURCE: TBC HABARI
Yuko wapi mzee wa Inteligensia mpaka yote haya yanatokea au inteligensia ipo kwenye maandamano tu?
 
Leonard Robert

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
9,908
Points
2,000
Leonard Robert

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
9,908 2,000
Mbaya zaid kufikia jana alikua amepewa panado mbili tu! Hospitali.
 
Kite Munganga

Kite Munganga

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2006
Messages
1,604
Points
1,500
Kite Munganga

Kite Munganga

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2006
1,604 1,500
Hii culture ya kutumia mabavu kila mahali huku kwetu itatuondoka lini? Ni lini tuliacha ile desturi ya kiTanzania ya kujadiliana na kuheshimiana na tukaingia kwenye mambo ya kutishiana na kupigana ngumi? Ni lini ustaarabu utaturudia tuelewe kuwa waliotutangulia waliweza kuishi kwa amani hata kama hawakukubaliana kwenye mambo mengi ya msingi? Siku hizi kwetu kumekuwa kama msituni ambapo kama hukubaliani na la mwenzako unataka umwondoe kwa mabavu. Halafu ubaya wake ni kwamba ubabe mwingi unaongozwa na vijana wetu (taifa letu la kesho) na sisi tunakaa kimya na kuangalia tu kwa sababu ubabe huo unatusaidia sisi. Let’s get back to civilization, we can disagree on a lot of things but still respect each other enough to live side by side.

Baba amani tuliyonayo imekwisha zeeka siku nyingi na sasa tunasubiri kifo cha mzee AMANI wetu wa Tz kinachotarajiwa hivi karibuni na matanga yatakuwa 2015, Wafiwa watarajiwa na ndugu wote poleni sana
 
F

FJM

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
8,083
Points
1,225
F

FJM

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
8,083 1,225
According to Mwananchi newspaper, aliyepigwa na kujeruhiwa na vijana wa ccm Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa chama CUF kutoka katika kijiji cha Iyogelo Tarafa ya Igurubi mjini hapa Ndugu Salum Masanja (55).Hapo kwenye red, ningependa kuamini kuwa huyu muathirika ni muumini wa dini ya kiislam hivyo basi nategemea BAKWATA na BASUTA watatoa kauli kali ya kuitaka ccm iombe radhi. Ndugu Salum alipigwa vibaya na kupeteza fahamu walau kwa saa nzima na hata pale alipopelekwa hospitali hakupata matibabu mara moja! BAKWATA na BASUTA mungu hajaribiwi wala mungu hasitiri wanafiki, mliijiingiza kwenye siasa uchwara za hijabu sasa itabidi mtoe kauli kali vinginevyo tuhuma za muda mrefu kwamba jumuiya hii ya BAKWATA ni tawi la ccm itasimama! Za mwizi arobaini.
 
T

Tata

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2009
Messages
5,610
Points
2,000
T

Tata

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2009
5,610 2,000
Hii culture ya kutumia mabavu kila mahali huku kwetu itatuondoka lini? Ni lini tuliacha ile desturi ya kiTanzania ya kujadiliana na kuheshimiana na tukaingia kwenye mambo ya kutishiana na kupigana ngumi? Ni lini ustaarabu utaturudia tuelewe kuwa waliotutangulia waliweza kuishi kwa amani hata kama hawakukubaliana kwenye mambo mengi ya msingi? Siku hizi kwetu kumekuwa kama msituni ambapo kama hukubaliani na la mwenzako unataka umwondoe kwa mabavu. Halafu ubaya wake ni kwamba ubabe mwingi unaongozwa na vijana wetu (taifa letu la kesho) na sisi tunakaa kimya na kuangalia tu kwa sababu ubabe huo unatusaidia sisi. Let’s get back to civilization, we can disagree on a lot of things but still respect each other enough to live side by side.
Hii culture ya kutumia mabavu ilianzishwa na wakoloni weupe ikarithiwa na wakoloni weusi waliotutapeli kuwa wameleta uhuru kumbe wameingia kuvaa viatu vya mabwana wao waliorudi ulaya. Ndio maana tuna vikosi vya kupiga watu na kuwanyamazisha kila wanapodai haki vinavyodaiwa na hawa wakoloni weusi kuwa vinalenga kutuliza ghasia.

Hatujawahi kuwa na desturi ya kujadiliana na kukubaliana nchi hii. Desturi iliyokuwepo ni ya wakoloni weupe na baadaye weusi kuamua mambo Dar es salaam na kuyaleta kwa wananchi ambao walifundishwa kusema ndiyo mzee hata kama hawakukubaliana na kile kilichoamuliwa na wakoloni hao. Waliokuwa wakijaribu kuhoji walipigwa, kufungwa na ama kuwekwa kizuizini ambapo walisahaulika. Wachache walikimbia nchi baada ya kukoswa koswa kumamatwa na wakoloni weusi.

Sielewi una maana gani unaposema "ustaarabu". Mimi ninavyoelewa mstaarabu ni yule anayefuata mambo ya kiarabu na kumbuka waarabu walikuwa wakoloni nchi hii kwa miaka mingi. Hivyo wale ambao walionekana kuwaiga maisha na utamaduni wa kiarabu waliitwa wastaarabu ili kuwatenga na wale walioonekana kutokukubaliana na uarabu. Waarabu waliacha utamaduni wa mabwana/mamwinyi na watwana ambao unaendelezwa na hawa wakoloni weusi mpaka leo. Hakuna cha kujivunia kuitwa mstaarabu.

Vijana wameshagundua kuwa huu ukondoo wetu unaoitwa "ustaarabu"ndio uliotufikisha hapa tulipo na wao wameamua kubadilika. Tarajia mabavu zaidi toka kwa vijana ikiwa hawa wakoloni weusi wa Tanzania wataendelea kutumia mbinu zilezile za kikoloni kuwanyamazisha na kuwatiisha watu.
 
MANI

MANI

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2010
Messages
7,248
Points
2,000
MANI

MANI

Platinum Member
Joined Feb 22, 2010
7,248 2,000
According to Mwananchi newspaper, aliyepigwa na kujeruhiwa na vijana wa ccm Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa chama CUF kutoka katika kijiji cha Iyogelo Tarafa ya Igurubi mjini hapa Ndugu Salum Masanja (55).Hapo kwenye red, ningependa kuamini kuwa huyu muathirika ni muumini wa dini ya kiislam hivyo basi nategemea BAKWATA na BASUTA watatoa kauli kali ya kuitaka ccm iombe radhi. Ndugu Salum alipigwa vibaya na kupeteza fahamu walau kwa saa nzima na hata pale alipopelekwa hospitali hakupata matibabu mara moja! BAKWATA na BASUTA mungu hajaribiwi wala mungu hasitiri wanafiki, mliijiingiza kwenye siasa uchwara za hijabu sasa itabidi mtoe kauli kali vinginevyo tuhuma za muda mrefu kwamba jumuiya hii ya BAKWATA ni tawi la ccm itasimama! Za mwizi arobaini.
Mkuu FJM usitegemee usitegemee tamko hapo kwani alipaye mpiga zumari huchagua wimbo gani apigiwe sasa hapo ccm ni milipaji na mpiga zumari ni hao unaotaka watoe tamko.
 
A

ali mc

Member
Joined
Mar 11, 2011
Messages
27
Points
20
A

ali mc

Member
Joined Mar 11, 2011
27 20
According to Mwananchi newspaper, aliyepigwa na kujeruhiwa na vijana wa ccm Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa chama CUF kutoka katika kijiji cha Iyogelo Tarafa ya Igurubi mjini hapa Ndugu Salum Masanja (55).Hapo kwenye red, ningependa kuamini kuwa huyu muathirika ni muumini wa dini ya kiislam hivyo basi nategemea BAKWATA na BASUTA watatoa kauli kali ya kuitaka ccm iombe radhi. Ndugu Salum alipigwa vibaya na kupeteza fahamu walau kwa saa nzima na hata pale alipopelekwa hospitali hakupata matibabu mara moja! BAKWATA na BASUTA mungu hajaribiwi wala mungu hasitiri wanafiki, mliijiingiza kwenye siasa uchwara za hijabu sasa itabidi mtoe kauli kali vinginevyo tuhuma za muda mrefu kwamba jumuiya hii ya BAKWATA ni tawi la ccm itasimama! Za mwizi arobaini.
Nadhani hujaelewa maana ya bakwata kutoa tamko lile.kama yule DC angepigwa tu bila kuvuliwa hijabu na stara yake basi wasingetoa tamko.lililokera ni kumvua hijabu muislam na si kumpiga muislam.mbona hujajiuliza waislamu wangapi wanapigwa kila siku na hawatoi matamko! Kaa chini tafakari kabla kusema na kuandika.
 
Kijuche

Kijuche

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Messages
420
Points
195
Kijuche

Kijuche

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2010
420 195
Huo ugomvi ni wao wajuanao. Ngoja niwapishe wapate nafasi.
 
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined
Jun 24, 2011
Messages
7,765
Points
2,000
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined Jun 24, 2011
7,765 2,000
Huo ni ugonvi wa mme na mke hata balozi wa nyumba kumi haruhusiwi kusuruhisha, kaeni mbali jamani
 
Forum statistics

Threads 1,402,815
Members 530,989
Posts 34,405,783
Top