Viongozi wa wilaya CHADEMA Singida wahamia CCM

Senior u speak my mind! Hasa walim ndio wanaoharibu upinzani wa kweli cngida kwa kuhongwa vijihela uchwara....we must separate wheat from the chaff!

Chadema wakigundua we ni mamluki unatimuliwa, haina kuremba eti una cheo gani au we ni nani. Chadema sio mali ya mtu ni mali ya watanzania wazalendo chama hakiwezi kutikisika hata atoke nani kwa kuwa wafadhili wa chama ni wananchi wenyewe na wala sio Wafanyabiashara wa chache kama ilivyo kwa ccm. Hao jamaa wameona wajiondoe wenyewe kabla hawajaondelewa..kama bado kuna mamluki wengine wajiondoe lasivyo wakibainika.!

Chadema bado hakijawa chama imara cha kukabidhiwa madaraka ya nchi.haipo stable kuhimili changamoto zinazowakabili. Wajifunze cuf waliondoka mapalala, salum msabaha,naila jidawi,tambwe hiza,fatma magimbi na chama hakijaingia kwenye mgogoro wowote.leo kuondoka madiwani tu wanatetereka akiondoka zitto je?? Tafakari hili bila jazba.

Sasa naoka kuna kazi kubwa sana. Kwani siku zote kupata ni kazi kubwa ila kuloose ni rahisi sana.

Poleni sana

jamani hata chadema wanamchezo wa kuwanunua wapinzani wa vyama vingine mf. Lwakatare cuf, Lema TLP, kasulumbayi cuf, arfi cuf, hiyo ndio dhambi mliyotenda na bado itaendelea kuwatafuna na bado kwa kuwa nyie mnawanunua hawaji kwa cdm kwa mapenzi bali kwa kuwa walipewa pesa

Unafikiria kwa kutumia MASABURI tena yote mawili effectively,then Vipi Mimba yako unajifungua lini?

nilifikiri Makamba Sr. kaondoka na strategy ya propaganda ya kununua 'wapinzani' kumbe kina Msekwa nao wanaiendeleza?? Hii strategy ilipata kuleta mtafaruku mkubwa within CCM kwamba haiko healthy lakini nafikiri mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya. tunarejea palepale 'heri jeshi dogo lenye ari na nidhamu kuliko jeshi kubwa geugeu na lisilo na ari na nidhamu'.

Bora waondoke ili Chama kipate watu wenye uchungu na nchi na kuna haja CDM kutoa elimu ya Uzalendo mara kwa mara kwenye mikutano mbalimbali itakayokua inafanyika

Kama kweli wamehama, namshukuru Mungu, wengi wao walihongwa na tajiri mmoja mbunge ambaye huwa hafiki bungeni mara kwa mara, wakatusumbua sana katika uchaguzi Mkuu uliopita. utararibu wa viongozi wa CCM kununua wanachama, viongozi, au bendera za Chadema, Singida Mjini ni biashara, na mbunge wa jimbo hillo anafadhili sana mambo hayo. Wengine mtaamini hata jinsi anavyohonga watumishi wa serikali. Bungeni haendi, anapokuja kuonana na watu badala ya kusikiliza hoja zao, matatizo yao, anagawa 50,000 kwa mikutano maalumu anaondoka. Mmojawapo ya waliokuwa wanahongwa ki urahisi ni hao waliohama. Hilo ni kosa lenye heri kwa CHADEMA
kaka isango hao jamaa nilifanya nao kikao pale stnley motel singida walionekana ni watu wenye njaa sana.
tunapanga kuimarisha chama wao wananiambia niwape hela nikajua hapa tumeumia,ila kama wametimua bora kwani walionekana ni wachumia tumbo.
chama makini kitajengwa na watu makini.
nimegundua ni kwa nini cdm haielekezi nguvu singida kwani kati ya watu 100 wa kuaminika ni mmoja,singida hata katika uongozi wa nchi hii utaweza kujua ni wa2 wa namna gani.
miaka ya 80 kuna mnyaturu mmoja alikuwa na kiliopa msuya wakapewa wilaya za mwanga na ikungi lakini mnyaturu akawasaliti wenzake mpka wilaya ya ikungi ikafutwa kwa hiyo msiwashangae.
tundu lisu na isango wamezaliwa sgd bahati mbaya,na mtaendelea kutawaliwa mpaka yesu arudi.

Chadema bado hakijawa chama imara cha kukabidhiwa madaraka ya nchi.haipo stable kuhimili changamoto zinazowakabili. Wajifunze cuf waliondoka mapalala, salum msabaha,naila jidawi,tambwe hiza,fatma magimbi na chama hakijaingia kwenye mgogoro wowote.leo kuondoka madiwani tu wanatetereka akiondoka zitto je?? Tafakari hili bila jazba.

<br / diwani gani kaondoka chama kikatepereka? Usiwe mvivu wa kuchunguza mambo madiwani wamefukuzwa na chama kinajijenga zaid

kaka isango hao jamaa nilifanya nao kikao pale stnley motel singida walionekana ni watu wenye njaa sana.
tunapanga kuimarisha chama wao wananiambia niwape hela nikajua hapa tumeumia,ila kama wametimua bora kwani walionekana ni wachumia tumbo.
chama makini kitajengwa na watu makini.
nimegundua ni kwa nini cdm haielekezi nguvu singida kwani kati ya watu 100 wa kuaminika ni mmoja,singida hata katika uongozi wa nchi hii utaweza kujua ni wa2 wa namna gani.
miaka ya 80 kuna mnyaturu mmoja alikuwa na kiliopa msuya wakapewa wilaya za mwanga na ikungi lakini mnyaturu akawasaliti wenzake mpka wilaya ya ikungi ikafutwa kwa hiyo msiwashangae.
tundu lisu na isango wamezaliwa sgd bahati mbaya,na mtaendelea kutawaliwa mpaka yesu arudi.

<br / dah! Haya bwana

Ni habari ya kushtua, lakini, in a long term, inayoashiria afya kwa Chadema. Ni bora magugu yajiondoe na kubaki na watu makini na wenye dhamira ya kweli.

NI KWELI BWANA BORA TUBAKI WATATU WAADILIFU KUJAZA KINA SHIBUDA! TUUU

Hao wengine waatakaochaguliwa itabidi wapelekwe Arusha ,Mbeya,au Mwanza , wakapate semina elekezi ya kukataa kufinyangwa fikra mkoa mzima wa Singida wa mwisho kwa pato la taifa lakini watu wake ufahamu uko chini kabisa wanatia aibu,inabidi Bavicha waende huko mwezi mzima somo watalielewa tuu
Hao waliohamia CCm njaa tu ndio imewapeka huku hawakuwa viongozi makini ni wachumia tumbo

CHADEMA MOTO WA KUOTEA MBALI UKIJA NA NYWELE ZAKO HUJANYOA LAZIMA ZIFWEKE ZOTE.
HII ITASAIDIA CHAMA SANA FOR FUTURE!
mAKAPI YATAONDOKA YENYEWE TU!!

Chadema wanatoka wanne wanaingia 100,jana tu nimeuza kadi za cdm 50,hata hivyo dawa ya wasaliti ni kuwatimua ndani ya cdm ili tubaki wapambanaji wa ukweli.peoples power

Wanarudi walikotoka.

Siku SLAA atakapohamia CCM naye atakuwa amerudi alikotoka.

Mwenyekiti CHADEMA wa Wilaya ya Iramba ndugu Emmanuel Edgar Ntundu na Mwenyekiti wa Chadema singida Mjini ndugu Nakamia John wameahamia CCM. wengine ni Ela Samson Dyelu mwenyekiti wa baraza la wanawake, ndugu Henri Stephene Kingu katibu mwenezi wa wilaya ya Iramba na mwenyekiti wa Tawi la Ruruma. Habari zaidi mtazipata baadae!
Na mimi, na wengine 53 kutoka Monduli tumehamia CHADEMA kutoka CCM....! So, ngoma droo....!

Back
Top Bottom