FuturePresident
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 321
- 54
Hawa Watu sio wa kuwang`ang`ania...tuvunje halafu kila mtu arudi kwao.......wabaguzi sana hawa....wapemba wote go home pemba....wamewekeza sana hawa huku kwetu kuliko sisii.....
Wazanzibari wepi walio na akili? Akina Seif na CUF yake wanatafuna tu kuku Ikulu baada ya kuona kuwa hakuna maana kugombania fito kwa ujenzi wa nyumba ileile! Wapemba wamejaa huku Bara wakiendelea kupiga business kama kawaida maana "kanchi" kale hakajai hata kwenye mkono, wenzetu kwenye uzazi wa mpango huona "nyota nyekundu" badala ya "kijani!" Kwenye Idara na Wizara zisizo za Muungano hawa jamaa zetu wamejaa, wanakula kuku kwa mrija tu huku! Huku kukataa mti huku ukila matunda yake ni unafiki wa hali ya juu!Wazazimbari wana akili wameona kuzidi kuwa na muungano usio na maendeleo hakuna haja yoyote. Yes ufisadi umekuwa kama dini na sisi wa bara ndiyo waasisi na waumini wakuu wa dini hii.Bora wajiondoe tu ili wasonge mbele watuache sisi na sera zetu za kulindana lindana. Tuvune tulichopanda.
Elezea kuwa na "tija" maana yake ni nini? Wapinzani wengi wa Muungano huwa hamna hoja za kueleweka, mnakimbilia kudai Muungano uvunjwe bila kutaja sababu na pia kuelezea madhara ya uvunjaji wa Muungano!Muungano wa sasa wakuwa na serikali ya Muungano na ya mapinduzi zanzibar hauna tija.kama tunapenda kuwa na muungano tuwe na serikali moja
Hakuna Mzanzibari aliyelazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano! Wewe ulitaka uletewe sinia la wali mezani ndio uone "matunda ya Muungano?"Kuhusu muungano, ni kama tunawalazimisha kuungana nao, nadhani kuja haja ya kuangalia upya kuwepo na serikali tatu au uvunjike tu, mie sion tunachofaidika kutoka kwao, wao ndiyo wananufaika sana na rasilimali zetu.
uvunjwe tena leo hii
Ukivunjwa Faiza Fox na Mohamed Shost tutawahifadhi wapi! Pemba umeme hadimu, wataingia vipi kuchangia JF!
Mkuu hv ww ni Kigwangala au?mana naona jina hapo.
Impact zipi hizo? Binafsi sizioni hasa huku bara. Pengine kwa wenzetu. Uvunjwe tuuuuuuuuuuuuuuuvunjwe hiyo ndio infinite solution kwa sasa though kuna imapact nyingi lakini naona ni headache tu .tuvunje tuangalie wapi makosa tutarudi kama EAC ..
Ungevunjwa hata dakika hii,hivi kwanza unafaida gani,sanasana wenzetu wazenj wataumia sana,nawaonea huruma
Yani ukivunjika hata sa hzi ntafurahi,me cjui kwa nin siwapendi wazanzibar!
Sasa hivi kuna ongezeko la joto duniani, barafu zinayeyuka toka milimani na maji ya bahari yanazidi kuongezeka, Wazanzibar wajiulize, hivi hivyo visiwa vikizama watakimbillia wapi endapo Muungano utakuwa umevunjika?
Hapo ndio watapata akili...Sasa hivi kuna ongezeko la joto duniani, barafu zinayeyuka toka milimani na maji ya bahari yanazidi kuongezeka, Wazanzibar wajiulize, hivi hivyo visiwa vikizama watakimbillia wapi endapo Muungano utakuwa umevunjika?
Wewe umeshindwa nini kueleza!!Hakuna faida yoyote zaidi ya hao Magamba kutumia nafasi hiyo kuchakachua kura kpnd cha uchaguzi.We want our Mother Tanganyika back.Elezea kuwa na "tija" maana yake ni nini? Wapinzani wengi wa Muungano huwa hamna hoja za kueleweka, mnakimbilia kudai Muungano uvunjwe bila kutaja sababu na pia kuelezea madhara ya uvunjaji wa Muungano!