mmh!
MKUU wewe unadhani kwa mbinu alizotaja Zitto wamabunge wote wa CHADEMA wanawezi kuzitumia? mfano kuchangia hoja mbungeni kama kielelezo kuwa alihudhuria kikao, kweli wanaweza ndani ya siku tatu wakachangia wote na wewe unanawajua Maspika wetu, hivyo lazima wangefukunzwa tu kama kanuni inavyoelekeza.pia nadhani hata yeye walimastahi kwa kuwa wamesoma upepo wa siasa wangetaka kumtimua wangefanya ghiliba kwa kuto mpa nafasi ya kuchangia ua vinginevuyo ili tu aonekana ana hatia then wangemtimua.m
Mi nawapongeza wabunge wachadema kwani walifanya cost benefit analysis kutohudhuria vikao wafukuzwe au wahudhurie waendelee kujadili mambo ya msingi kwaajili ya maendeleo ya taifa hasa katika wakati huu ulo mugumu, maana wangeweza kusababisha mgogoro mwingine bungeni hivyo kuathili utendaji wake.
The person who says it cannot be done should not interrupt the person doing it."