Usikariri mkuu, Ukarabati hapo sio rangi tu ni vitu vingi vikiwemo kubadilisha mabati yote, mfumo wa maji taka na maji safi , vifaa vipya vya maabara, ICT, umeme, fire na majiko n.k
Huyo labda alishikwa na kikaratasi, hakukwambia ukweli kwenye vyuo vingi tz huwezi kudisco kwa somo moja utaishia kucarry tu ila ku abscond kunatokea kama hukufanya mtihani bila sababu ya msingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.