CRDB: The most Inefficient Bank of all times

CRDB: The most Inefficient Bank of all times

CRDB kuna watu wana midomo michafu sana.Wamelewa madaraka pia
 
Crdb knyama ina shida kubwa sana. Crdb zote ikiwemo ya mikocheni kwa mawaziri karibu na ITV huwa wana tatizo la network, Crdb ya mbezi beach nayo huduma sio za kuridhisha.
Mtazamo wangu juu ya hii benki nadhani waliajiri kwa kuangalia sura, ukoo ( wengi ni wachaga), na connection. Hii hupelekea wafanyakazi kujisahau na kufanya kazi wakijua kuna godfathers. Sijajua KPI na other employees performance na service level zao zinapimwaje. Yaonesha kinachowaokoa na kuwadanganya ni wingi wa wateja wa benki nzima.

Kuna benki kama DTB, FNB,DCB Standard Bank(Stanbic) Ecobank huwa zina huduma nzuri na za haraka hakuna kupoteza muda. Tunakwenda Tz ya viwanda lakini network ni tatizo sana kwenye sekta mbalimbali ikiwemo Tigo sijui tutafikia lengo kweli

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Ni muda muafaka CEO wao akastaafu. Natumaini ana miaka 20 kwenye cheo hicho. Mhe.Magufuli mshauri astaafu kamaulivyofanya kwa Mutalemwa.
 
Waboreshe huduma! inashangaza saa mbili na nusu wanafungua milango halafu wateja wakiingia unakuta mfano tellers ndio kwanza hata hawajawa tayari kwenye madirisha yao kuhudumia wateja, tena wanachukua hata dakika ishirini ndio wanaanza kutoa huduma
Siyo branch zote. Zungumzia specific branch. Jamani, shule zenu vipi?

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Huwezi linganisha crdb na bank nyingine

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Yule Charles Kimei bado yupo?

Ukimsikiliza yule tu ukaambiwa huyu ni MD wa Bank hapohapo utaona hiyo bank lazimaiwe na matatizo sana tu.

Kabla hujakagua vitabu vya akaunti za benki.
 
Hivi ni bank gani wanayotoa huduma nzuri isiyo na mawaa ya ONLINE/INTERNET BANKING?

I am sick and tired of CRDB and KCB.
 
  1. Loss of Direction, Very unfriendly Environment
Ninaandika kupata maoni yenu juu ya sekta ya fedha, particularly contribution mbovu ya CRDB katika utoaji wa huduma za kibenki.

Hapa nazungumzia huduma simple na ya moja kwa moja ya kuchukua na kutoa fedha. Mimi ni mteja wa branch ya kijitonyama. Uzoefu wangu ni muda wanaotumia kuhudumia wateja na ufanisi wa matela. Wahudumu wako very slow, na ukiwauliza siku zote watakwambia system yao ama iko down, ama iko slow.

Lakini pamoja na hayo wahudumu hawa wanaingiza mambo yasiyo ya kikazi kwama vile kuongea na simu katikati ya huduma, kuchat ama kutuma messages wakati mteja akiwa dirishani kwao, kuongeleshana na watendaji waenzao ndani ya madirisha yao wakitokea milango ya ndani, yaani usumbufu ni mkubwa sana. haijalishi umefika saa ngapi, haijalishi siku gani ya juma, wala haijalishi umefuata huduma gani kila kitu ni slow kuliko unavyoweza kufikiri.

Naamini hii ni taswira ya kawaida sana, hata ukiwa kwenye foleni kila mteja analalamika na hakuna improvement. kinachonishangaza ni namba ambavyo si bodi wala serikali ambaye ni mdau anayeonekana kusumbuliwa na hii lack of efficiency na incompetence ya timu yao.

Kwa sasa watu wafanyabiashara wengi sana wanategemea benki za nje, ambazo ni ndogo tu kama baclays, FNB, stanbic kupitishia transactions zao, jambo ambalo halionekani kuwasumbua viongozi wa benki hii, zaidi ya kulalamikia serikali kuhamishai hela zake BOT.

2.Nini Kifanyike
Tunaomba Bodi na serikali kuchukua hatua za haraka ili kuinusuru banki hii. Ni muda sasa kufanyike yale yaliyofanywa na BOT ya kuiondoa management nzima na safu zima ya wakurugenzi manake wanachofanya ni kujali maslahi yao na siyo kazi yao.

Management iwapatie wafanyakazi mafunzo muafaka ili kuboresha utendaji wao. Wafanyakazi wananuma massa yote, they look very tired and exosted, na hawana content inapowahitaji kuuza huduma.
Nawasilisha
Bank binafsi unataka serikali ibadilishe management? Hahahha
 
Labda kwenu huko, huko mbeya wanajitahidi sana, wanautaratibu wa foleni mzuri.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Yule Charles Kimei bado yupo?

Ukimsikiliza yule tu ukaambiwa huyu ni MD wa Bank hapohapo utaona hiyo bank lazimaiwe na matatizo sana tu.

Kabla hujakagua vitabu vya akaunti za benki.
Ofcourse huyu mzee ni muda muafaka sasa aachie watu wengine wenye dam changa na wenye maono mapya. Biashara sio siasa kwamba unaweza kua kama Lipumba chairmanship of lifetime.
 
Kafungue account BOT kama imekuuzi

Sent from my SAMSUNG-SGH-I537 using JamiiForums mobile app
 
CRDB wako vizuri bas tu

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni bank gani wanayotoa huduma nzuri isiyo na mawaa ya ONLINE/INTERNET BANKING?

I am sick and tired of CRDB and KCB.
Nenda DTB mkuu hutajutia

Sent from my SGH-T999 using JamiiForums mobile app
 
Hata mcity CRDB pana shida tellers wako slow na yule dada customer care yuko rafu kuhudumia wateja

Sent from my Redmi 3S using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la wafanyakazi usijumuishe kampuni nzima , sema hili eneo la customers care hapa nchini kwetu hatupo vizuri kiukweli tusipojitathimini tutakuwa watu wa kusindikiza wenzetu ila kutwa kuchwa kulalamika malipo kidogo wakati unapopewa mkataba wa kazi unasoma na kuubali na una sign kabisa inabidi tubadilike huenda nae mtoa mada ukifika ofisini kwake atakupa huduma mbovu bora hata crdb

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom