Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,485
Basi huyo mwanamke mshenzi tu.Mwenyewe yupo na anahudumia vzr tu ila dem anadai jams sio romantic
Basi huyo mwanamke mshenzi tu.Mwenyewe yupo na anahudumia vzr tu ila dem anadai jams sio romantic
Unajua niaje mkuu?Dem mwanzoni alinambia kuwa Jamaa yake haeleweki yan ni kaa kakataa mimba,nilivyojua hivyo nikaona sio mbaya coz dogo ana kazi yake, kwahiyo niakuwa Mimi nayy,kumbe sivyo Jamaa anahudumia ila sio romanticAise mtafute nakupa ushaur wa bure...it will never be well with you aise..mnajitafutia laana bure, ulikua unamtest mdada wa watu yeye amekua gari. ?
Mkuu huyu gal nilimpenda na sikujua kama atakauwa mjamzito coz aliniambia wakati Tatar alikuwa ameshanikubalia,ila nilikuwa bado cjamla.Pia stress za mahusiano niliyonayo nazo zilichangiaIla we nae kama ulikua huna malengo na mjamzito wa watu kwanini umuharibie kwa aliekuwa nae?
Hapana sio yeye mkuuDaaahhhh aiseeee au ndo WEWE ???
wiki kadhaa nyuma kuna Mdada yupo Loliondo ,, alinpigia simu nmeshamsahau maana nisiku nyingi ,,, kupokea anasema ** Samahan ,Ivi kuna tatizo gani LA kiafya ,ikiwa nina mimba LKN nataka kukutana kimwili na mwanamme asiyebaba Wa mimba hiyo?*..
Nilipumuaaaa ,,akaendelea hellow.. Hellow. .. Nijibu pulizi.
Nikamwambia * Wala hamna tatizo so long as wote mpo salama LAKINI nikamuuliza ,,Huyo mwanamme aliyekubali uwe mpenzi wake wakat anajua unamimba ,,Nikweli umeamin Anakupenda ????
Akasema oohhhhhh the buuuhh yuko poà mambo safiii oohhh ananipenda yaaan anajali mpaka mimba ooohhh nimeamua tu Nimtunuku sababu Alonipa Mimba kanikimbia!!.
Nikamwambia Basi sawa,,, ** Hamna tatizo LA kiafya so long nyote mpo salama*.
MKUUU ,UMENIKUMBUSHA SANA HUYU DADA ,KAMA NIYEYE BASI NAMPA POLE.
Kweli mkuu ila nilimpenda kimalengo mpaka nilimwambia nataka anizalie mtt akakubali kumbe tayaaariiiDuuu!! Hapo brother ungejitahidi umuache polepole, hiyo laana huwa inalipizaga kama sababu iliyokufanya umuache uliiona kabla ya kudo naye.
Sawa mkuuu !!!...kwan huyu mwanamke ulimtongoza ukijua anamimba au ulimtongoza LKN hukujua ana mimba !!!???.Hapana sio yeye mkuu