Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 727
Hahaha
Pambana na hali yako, wajinga ndo waliwaoKiukweli kukaa njia kuu kuna maana kubwa sana, baada ya kujifanya dazz Nunda kwa muda mrefu sasa leo hatimaye nimeingizwa mkenge.
Yaani leo nimepokea mshahara wangu wa mwezi mzima laki sita sasa cha ajabu, pesa yote kapita nayo mchipuko.
Hii ni baada yakutoka kazin na baasha yangu ya Kaki na ndipo alipoamua kuchukua mshahara wangu nakupotelea kusiko julikana. Sasa hivi nikipiga namba zake hapatikani kwenye simu .
Inauma sana ni bora nitulie na mke wangu tu maana laki sita yote imeibiwa kwa uzembe wangu wakati mimi mwenyewe nina madeni kibao kwa mangi sijayalipa. daaaa!!!!
Ndo ukomeKiukweli kukaa njia kuu kuna maana kubwa sana, baada ya kujifanya dazz Nunda kwa muda mrefu sasa leo hatimaye nimeingizwa mkenge.
Yaani leo nimepokea mshahara wangu wa mwezi mzima laki sita sasa cha ajabu, pesa yote kapita nayo mchipuko.
Hii ni baada yakutoka kazin na baasha yangu ya Kaki na ndipo alipoamua kuchukua mshahara wangu nakupotelea kusiko julikana. Sasa hivi nikipiga namba zake hapatikani kwenye simu .
Inauma sana ni bora nitulie na mke wangu tu maana laki sita yote imeibiwa kwa uzembe wangu wakati mimi mwenyewe nina madeni kibao kwa mangi sijayalipa. daaaa!!!!
Mshahara tarehe tisa?Kiukweli kukaa njia kuu kuna maana kubwa sana, baada ya kujifanya dazz Nunda kwa muda mrefu sasa leo hatimaye nimeingizwa mkenge.
Yaani leo nimepokea mshahara wangu wa mwezi mzima laki sita sasa cha ajabu, pesa yote kapita nayo mchipuko.
Hii ni baada yakutoka kazin na baasha yangu ya Kaki na ndipo alipoamua kuchukua mshahara wangu nakupotelea kusiko julikana. Sasa hivi nikipiga namba zake hapatikani kwenye simu .
Inauma sana ni bora nitulie na mke wangu tu maana laki sita yote imeibiwa kwa uzembe wangu wakati mimi mwenyewe nina madeni kibao kwa mangi sijayalipa. daaaa!!!!
Nazani alikuwa halijui hilo, angechukua mkewe angenunua mahitaji ya nyumbani na wakatumia wote,Pambana na hali yako, wajinga ndo waliwao
[emoji3] [emoji3] kipenz iiiiiiii umejuajepambaneni huko wenyew...chai ya rangi hii
hehe alafu nmesoma tu mwanzo[emoji3] [emoji3] kipenz iiiiiiii umejuaje
Na umeotea kabisa huo mchipukoMchipuko umekuchipukia
wewe kwani mshahara wako unalipwa taslimu mkononi?Kiukweli kukaa njia kuu kuna maana kubwa sana, baada ya kujifanya dazz Nunda kwa muda mrefu sasa leo hatimaye nimeingizwa mkenge.
Yaani leo nimepokea mshahara wangu wa mwezi mzima laki sita sasa cha ajabu, pesa yote kapita nayo mchipuko.
Hii ni baada yakutoka kazin na baasha yangu ya Kaki na ndipo alipoamua kuchukua mshahara wangu nakupotelea kusiko julikana. Sasa hivi nikipiga namba zake hapatikani kwenye simu .
Inauma sana ni bora nitulie na mke wangu tu maana laki sita yote imeibiwa kwa uzembe wangu wakati mimi mwenyewe nina madeni kibao kwa mangi sijayalipa. daaaa!!!!
Hahah!!Mchipuko ndiyo unaupelekea bahasha ya kaki wakati hapo hata mkeo hajui unapokea sh.ngapi duu siku ya siku ohoo
mke wangu hana akili akipata hizo taarifa unategemea atakufanyia nini pole wanawake wenye waume dizaini yako.
Khana Khazana Hotel ilikua Victoria barabara ya Ali Hassan Mwinyi sasa hivi tumehamia Masaki.2018 bado unalipwa mshahara dirishani tena laki 6?..ofisini gani hiyo ina mambo ya kizamani hivyo