Maaaweeeee........ Twaaafwaaaaaa!ngoja nijikomentia haraka kabla wajaamka mods waufagie uzi wako...
Ebhanaaa eeeeee kumbe ndo walitumia kwa matumizi hayo....heeeee......chineke..!!!????
Mungu wangu!!!Si ndio aliziiba huko 2016/17 na sasa kaja kuzitumia 2017/18
... ukarimu ni kitu kizuri sana Mkuu; hata Mungu anabariki wanaotoa kwa moyo: Video: Rais Magufuli agawa milioni 15 kwa wacheza ngoma uwanja wa ndege....
... ukarimu ni kitu kizuri sana Mkuu; hata Mungu anabariki wanaotoa kwa moyo: Video: Rais Magufuli agawa milioni 15 kwa wacheza ngoma uwanja wa ndege
Umeambiwa hizo fedha hazijulikani zilipo ingekuwa zimetumika seheme cag angesema kama ni matumizi nje ya badget.Mjadala wa sintofahamu ya sh trilion 1.5 kwenye uongozi wa awamu ya tano chini ya Rais JP Magufuli umezua taharuki kubwa sana kwa WATANZANIA.
Ningependa kutazama hii ishu kwa jicho lingine . Bila shaka wote tunajua kuwa katika awamu hii kuna miradi mingi sana mikubwa inayogharimu TAIFA letu pesa nyingi sana bajeti yake haipitishi na bunge bali Rais Magufuli hutoa maamuzi kuwa itekelezwe, kwa Mfano uwanja wa ndege wa CHATO; huu ni mfano mmoja wapo.
Huenda katika hiyo trilion 1.5 kuna fungu la uwanja wa ndege wa Chato. Masuala ya fedha amwachie Waziri wa Fedha, lakini kwa Magufuli hilo suala hakuna. Atakwenda mahali na kusema fedha zipo aidha za misaada au zetu wenyewe na kuidhinisha matumizi.
Wewe huwa huweki akiba, ukaitumia inapohitajika?Jaman jaman yunajichanganya sana. Ripoti ya CAG ni ya mwaka 2016/2017 . hayo ya kununua madiwani au kulipa fine Canada hayaingii humo, hayo ni 2017/2018.
Kununua ndege kwa cash na kulipa faini kule canada ilikoshikiliwa bombardier, bila kuidhinishwa na Bunge. Na tena bila kufuata utaratibu wa manunuzi. Kwa hiyo kuna cha juu.
Kujenga airport kijijini Chato nje ya bajeti na bila kufuata taratibu za ujenzi.
Kujenga ofisi ya TRA ghorofa moja kijijini.
Kununua wabunge na madiwani wa Upinzani.
Kusafiri safiri huku na kule na limsafara likubwa, kwenda kufungua viwanda vilivyokuwepo tangu enzi za mwalimu, kwa lengo la kutudanganya wananchi.
Zilizobaki wamegawana Sizonje, Bashite na yule PS wa Wizara ya Fedha. Tena wamegawana cash kabisa coz wao ni watu wa cash tu.
Ni kweli mkuuMkuu ongezea na rushwa ya milioni 10 kwa Wabunge wa MACCM ambayo tangu November 2016 Taasisi ya kulinda na Kutetea Rushwa Nchini inachunguza kwa miezi 18 sasa hakuna ripoti kuhusu rushwa ile na hata huyo aliyetoa rushwa hatii neno. Wewe utoe rushwa halafu wewe utake uchunguzi!!!
Takukuru yachunguza Sh10 milioni za wabunge CCM
Kununua ndege kwa cash na kulipa faini kule canada ilikoshikiliwa bombardier, bila kuidhinishwa na Bunge. Na tena bila kufuata utaratibu wa manunuzi. Kwa hiyo kuna cha juu.
Kujenga airport kijijini Chato nje ya bajeti na bila kufuata taratibu za ujenzi.
Kujenga ofisi ya TRA ghorofa moja kijijini.
Kununua wabunge na madiwani wa Upinzani.
Kusafiri safiri huku na kule na limsafara likubwa, kwenda kufungua viwanda vilivyokuwepo tangu enzi za mwalimu, kwa lengo la kutudanganya wananchi.
Zilizobaki wamegawana Sizonje, Bashite na yule PS wa Wizara ya Fedha. Tena wamegawana cash kabisa coz wao ni watu wa cash tu.
... ukarimu ni kitu kizuri sana Mkuu; hata Mungu anabariki wanaotoa kwa moyo: Video: Rais Magufuli agawa milioni 15 kwa wacheza ngoma uwanja wa ndege
Mimi alipochaguliwa akavaa combat as jeshi nilimtoa maana watu hawakuliona Hilo kavunja lilikuwa linaeleza mambo mengi yajayoKuna mtu alisema sijui jamaa amekosea wapi.....mbona alianza vizuri tu.
Ila leo hii wananchi wengi wamepoteza matumaini kabisa na awamu hii na sasa haya mambo ya 1.5 trln ndio kabisa yameifanya hii awamu kuwa na skendo kubwa kuliko awamu zote zilizopita combined