Mimi nmemaliza hapo mwaka 2013. Nakumbuka mengi kwasababu ya good memories nyingi sana nilizotengeneza hapo..! Nakumbuka vitu vingi pia kwa vile nnauwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu. Bi mkubwa huwa anashangaa sana hasa nnapomkumbusha vitu vya zamani kipindi nnamiaka mitano..!
Turudi kwenye issue msingi..! Dogo wa pcb kwanza ni lazima awe na BS (Biological Science) yenyewe ni nyekundu..! Kama akiweza kumeza BS vizur pekee basi anaweza pata B ya necta! Kama familia inajiweza unaweza kuongezea UNDERSTANDING BIOLOGY hii haija jaa sana ila ninarecomend apatiwe CHANDY YA BIOLOGY! Hapo biology tunasema at least anaweza kucompete na syllabus ya baraza! Pia usisahau kupitia posta or mlimani city kwenye vitabu vya ANATOMY AND PHYSIOLOGY (kama unataka dogo awe BEN CARSON [emoji12] )
Kwa chemistry unaweza kumpatia CHANDY ya chemistry... Unaweza kumnunulia ile ya form five.. Then akirud likizo unamalizia iliyobakia (ya form six) kama unataka awe nondo kwenye inorganic na organic kuna vile vitabu vya baraza (actually hivi ni must have books) vinakuaga two volumes each! Kama unataka aelewe zaidi muongezee na RAYMOND CHANG! (a very good book on inorganic and general chemistry)
Physics lazma kwanza awe na CHANDY zote mbili! Kama mpunga anao unamuongezea na ROGER MUNCASTER kwaajili ya ELECTRICITY & ELECTRONICS, bila ya kusahau NELKON &PARKER (swali tata za necta huwa wanazichomoa huku)! kama unataka dogo awatishe wenzie mtafutie na UP (UNIVERSITY PHYSICS)
HAPO JUU NMEWEKA VITABU VYOTE HIVYO KAMA HOME MPUNGA UPO. ILA KAMA NI MAJALALA BASI FANYA HIVI!
ATAFUTE VITINI VYA SUREBOY MANDIA PAMOJA NA MBUGA (FOR BIOLOGY) ! HIVI VIKO PALE MCHIKICHINI! PIA APATE VITINI VYA SIR UNGA VYA PHYSICAL CHEMISTRY BILA YA KUSAHAU NOTES ZA PHYSICS ZA... Ayaaa nmesahau! Nani yulee daaah! Sio muddy physics.! Wala sio mtata de mtatuzi.! Daaah jamaa nmemsahau..! Labda kwa vile sijawahi kusoma kwake..![emoji18] [emoji18] [emoji18]
BIOLOGY:
-BS (35000-40000) na
-ANATOMY & PHYSIOLOGY (hivi huwa wanauza jamaa wa pale posta kwenye vitabu vya mtumba vya kizungu bei huwa mpaka 35,000)
Mpende mdogo wako mpatie na GIFTED HANDS apate mzuka wa shule!
CHEMISTRY
CHANDY ZOTE MBILI AND VITABU VYA ORGANIC NA INORGANIC CHEMSTRY VYA BARAZA (VOL I &II)
PHYSICS
APATE CHANDY ZOTE MBILI NA NELKON & PARKER!
VINGINE ATAPATA KWA WENZIE...
PIA MWAMBIE AWE ANAINGIAGA PALE COMPUTER LAB. PALE KUNA ENCYCLOPEDIA BRITANNICA AMBAYO HUWA NA MAMBO MAZURI SANA YANAYOWEZA KUMSAIDIA...! (nilifumaga ORNITHINE CYCLE LA KIBABE PALE)!
Kuhusu Library ya mtwara tech nisikufiche mkuu pale hakuna vitabu vya advance.. Mi nilikuwa naenda kuazima vitabu vya Novel za watoto pamoja na VITABU VYA UJAMAA NA KUJITEGEMEA (shule ya ccm ile [emoji2] [emoji2] [emoji2] ) PAMOJA NA HISTORIA ZA MAKOMREDI WA RED ARMY WALIOFANYA HEROIC DEEDS DURING THE WAR! (very socialistic of mwal. Nyerere[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] )
VITABU VYOTE HIVYO INABIDI AVIPITIE INSIDE OUT! NYUMA MBELE! Hapo atakuwa na chance ya kufika anapopataka!
Ubavu!