marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Kama ndivyo unavyotaka hukupaswa kutoa hukumu moja kwa moja. Kwenye maelezo yako tayari ulishaegemea upandeTUNA TAKA TUSIKIE PANDE ZOTE MBILI.......
Kama ndivyo unavyotaka hukupaswa kutoa hukumu moja kwa moja. Kwenye maelezo yako tayari ulishaegemea upandeTUNA TAKA TUSIKIE PANDE ZOTE MBILI.......
CHADEMA hata agombee malaika hawezi kushindaHapa ndo chadema itakapojichanganga .Lowassa hawezi ubishi utawakost Lissu kwa sasa ndo habari ya mjini .uchaguzi wa TLS tu Ikulu watu hawalali unadhani akisimama urais itakuwaje? Lowassa abaki kwenye technical support
Basi waendelee kutotii..watatii kwa shuruti..na hichi kibano kitaendelea hadi 2025..kama wataendelea kuwepo..Kutii mamalaka kwa mambo ya kijinga? Mungu hawezi kuwa karibu na viongozi wanaonyanyasa watu wake. Hii ni nchi siyo familia kama anataka aendeshe anavyotaka aende nyumbani kwake lakini siyo kwenye ofisi ya umma
Kama ccm aligombea kichaa akashinda itakuwa malaika kwa chadema?CHADEMA hata agombee malaika hawezi kushinda
Elezea kidogoLema...Wakati mwingne mkiwa mnaandika UZI humu muwe mnafikiria mara mbili mbili kabla ya KUANDIKA especially kwa nyie ambao ni VIONGOZI....Mnatakiwa wakati mwingne muwe wa KWELI hili la LISSU kukamtwa leo KAJITENGENEZEA mwenyewe makusudi kuelekea huu UCHAGUZI wa TLS ili ionekane hili la yeye kukamtwa leo lina uhusiano na TLS......hamtaki kabsa kuangalia upande wa pili wa yeye kuvunja SHERIA.....
Hakuna kutii ujinga naona hata majaji wameona huu ni upuuzi hujasikia hao mliowatuma mahakamani dar na dodoma walivyojambishwa leo? Na badoBasi waendelee kutotii..watatii kwa shuruti..na hichi kibano kitaendelea hadi 2025..kama wataendelea kuwepo..
Enhee, umejileta meenyewe, kama askofu Jose vile, waumini,nipige nisipige? Anyway kwa vile mtu huru ni shemeji yetu wa maandazi road enzi nzile sitapiga Sana. Haya nijulishe jambo moja tu basi, hivi kidato cha nne alimaliza mwaka gani na shule gani? Kumbe kweli ihungo Jamaa, alizungusha, yaani ziro yaani, yaani hakuna kitu, yaani kakake bashite yaani. Mi nilifikiri ni majungu ya kisiasaUsipotoshe kwa lengo la kijifariji: Mbowe ambaye ni Freeman Aikael Mbowe alihitimu kidato cha sita Ihungo kama ulivyoandika, na akapata divisheni zero (ambayo umeibatiza kuwa "Bashite"). Na baada ya hapo aliendelea na masomo yake kwa kusafisha hiyo divisheni zero na baadaye kufanya shahada na yuko vizuri kielimu. Na uelewe kupata divisheni zero sio tatizo kwa kuwa hiyo wakati mwingine huwa haimaanishi kuwa mhusika hana uwezo wa kiakili, bali pengine hutokana na sababu mbalimbali. hata hivyo, wapo watu ambao wanapata zero kwa sababu ya uelewa wao kuwa mdogo.
Ndugu yako unayetaka kumfariji hapa, yaani Bashite: Yeye hajagusa kidato cha tano wala cha sita. Alipata divisheni zero kidato cha nne baada ya kuwa anafeli mitihani akiwa shule ya msingi. Darasa la saba alifeli na hata hapo Pamba sekondari alisoma "evening class", hakujiunga kwa kufaulu. Kwa hiyo alipomaliza kidato cha nne hakuwa na cheti kwa kuwa alizungusha. Hadi hapo kama nilivyotangulia kusema hakuna tatizo kwa kuwa angeweza pengine ku resit akafaulu. Alichofanya, ni kutumia njia ya mkato lakini ambayo ni uhalifu (criminal offence), akatumia cheti cha mtu mwingine ambaye ni Paul kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi kwa masomo ya kiwango cha cheti na kuendelea hivyo hivyo mpaka alipokuja "kuzawadiwa" ukuu wa wilaya.
Kwa hiyo unapofanya reference, usijaribu kumwonyesha Bashite kuwa tatizo lake ni kupata divisheni zero. Fanya reference kwake kama mtu mtuhumiwa wa uhalifu ambaye muda huu unapojaribu kufifisha makali ya "tuhuma dhidi yake" kwa kumfananisha na Mbowe, anastahili kuwa mahabusu ya Keko kama ilivyo kwa watuhumiwa wengine!
kwahiyo wewe kwa akili zako nusu kifuniko cha soda, unadhani mh anaposema anataka Tanzani ya viwanda , unafikili yeye ataamka ofisini nakwenda kujenga viwanda...?? viwanda vinajengwa na nyumbu kama wewe , sema unategea sana kazi za kujenga Taifa kwani muda mwingi uko kwa nyumbu wenzio wa ufipa badala ya kwenda kujenga Tanzania ya viwanda.Wewe unasema tufanye kazi kuna mtu unamnunulia ugali hapa? Hivi watu wengine mkoje wewe ratiba za watu unazijua.? Mwambieni huyo jamaa yenu ndo afanye kazi ya kujenga viwanda na kutuletea maendeleo hatukumtuma kukimbizana na opposition sisi.
Usiniachie Mimi, nafsi yako itakuelekeza, nafsi iko more honest than our brainsHuhitaji kunipa lecture Mkuu. You don't even know me, so you don't need to judge anything. Lakini kuhusu hicho unachoita "ukweli" hiyo nakuachia wewe uamue hasa una maana gani, maana mimi naona kama ukweli unaousema unaweza kuwa so subjective. Ukweli kwako unaweza kuwa uongo kwangu and vice versa.
tatizo CHADEMA hamna dira wala uelekeo....haijulikani mnasimamia nini....mfano magufuli anasimamia uwajibikaji serikalini, rushwa, ufisadi.....nyie mnasimamia nini? chadema ya zitto na dr.slaa ndio ilikuwa na uelekeo hii chadema ya Lowasa ni hopeless kabisa.....mtu kama Lowasa yuko pale kama picha tu hakuna anachofanya wala kusimamia...Tundu Lisu pekee ndio mpinzani wa kweli.....Lema siwezi kumuhesabia kwa sababu hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza....sijui hata anafanya siasa za namna gani......Lakini mjadala hapa ni kile ambacho kimenenwa na Lema (thread yake), nayo kwako ni umbea unaokuharibieni kazi zenu, siyo? Wakuu wa CCM ukimweka kando mwenyekiti wanakosoa, hata kama sio hadharani, kuzuia mikutano-katika hili wewe unabaki na mwenyekiti? Utafiti wa TWAWEZA umeonyesha uwepo wa njaa, UN wanatambua uwepo wa njaa katika ukanda wa Afrika ya Mashariki ikiwemo Tanzania. Serikali yako pendwa inatekeleza ajenda yake ya kupambana na wafanyakazi hewa wakiwemo wale walioghushi vyeti vya shule na kitaaluma-Chadema wanakuaje wambea wanapoisaidia serikali kuonyesha watu walioghushi vyeti?
Wamekufanya nini Kisongo wewe?Mh Lissu amekamatwa leo na yuko njiani analetwa Dar es salaam . Hatupaswi kuogopa , kwani aliyetupa masikio asiweze kusikia kilio na maombi yetu na dua kweli ? Aliyetupa macho mnafikiri haoni ? Aliyetupa akili na fikra asiweze kuwaza juu ya mambo haya ? Tunawakati mgumu katika kazi zetu za siasa kwa sasa , lakini ni wakati muhimu kuliko wakati wowote katika historia ya mfumo wa vyama vingi , ni tabu ya kutembea kwa miguu ndiyo iliyosababisha ugunduzi wa gari , ni giza ndio kilikuwa chanzo cha ugunduzi wa umeme duniani , na tabu ya kuvaa magome ya miti ndiyo iliyoleta mapinduzi ya nguo tunazovaa Duniani leo .
Tunahitaji wakati kama huu katika mahitaji yetu ya mabadiliko , wala msiingie hofu , kwa wale wakristo mnaelewa shetani asingempleka Yesu msalabani mpango wa Mungu kwenu usingetimia , tunapita katika mateso na huzuni kwa maana kubwa katika ustawi na historia ya Nchi yetu ,kila mmoja wetu anapaswa kuona kinachoendelea na kuchukua hatua ya kulaani na kulaumu na kuomba , hata hivyo baada ya giza nene asubuhi utokea.
Msiogope Mungu amekusudia mema kwetu na kwenu .
Aluta continua , Uchaguzi mkuu wa Nchi utakuaje kama leo uchaguzi wa TLS huna vikwazo hivi ? Sio Lissu aliyekamatwa na kuanza kuletwa Dar , bali ni haki , utu ndio vimekamatwa , na wewe na mimi ni ndugu wa haki na utu wa karibu , ni sote tumekamatwa . Amkeni , dhambi mbaya na kubwa kuliko zote Duniani ni Uoga.
Mungu awabariki .
Godbless J Lema ( MB)
Hilo la wabunge kuwa wengi naanza kupata wasiwasi huenda ubabe ukawapunguza wabunge wa upinzani wakawa wachache.Mh naomba kutoa maoni yangu...Wakati campaigns za mitandaoni ziliendelea,nilikuwa nashauri watu wajikite vijijini kupiga campaigns,kama issue ni pesa,wananchi tuko tayari kuchangia,ili mradi tu kampeni zifanikiwe (ikiwezekana nyumba kwa nyumba)tukiamsha ari ya watu kukichukia chama tawala,tunaweza kufanikiwa kuleta mabadiliko mbeleni,
Japo kwa muono wangu,2020 Lowassa agombee tena coz mkifanya kosa mkamuweka mtu mwingine tofauti na Lowassa,huyo mtu hata kama ana nguvu kiasi gani akiukosa urais hiyo 2020 atakuwa amekufa kisiasa...nashauri mkae mezani na ZZK muwe kitu kimoja then by 2025 tumtumie kama hazina kwenye uchaguzi mkuu...
My point here ni kuhakikisha angalau mwaka 2020 idadi ya wabunge wa CCM na Upinzani either inakuwa sawa au Upinzani wanakuwa wengi,hii itasaidia kurudisha hadhi ya bunge kwa kulifanya kuwa muhimili wa dola unaojitegemea tofauti na hali ilivyo sasa
Unafaa sana kwenye mijadala ya facebook, sio hapa!Enhee, umejileta meenyewe, kama askofu Jose vile, waumini,nipige nisipige? Anyway kwa vile mtu huru ni shemeji yetu wa maandazi road enzi nzile sitapiga Sana. Haya nijulishe jambo moja tu basi, hivi kidato cha nne alimaliza mwaka gani na shule gani? Kumbe kweli ihungo Jamaa, alizungusha, yaani ziro yaani, yaani hakuna kitu, yaani kakake bashite yaani. Mi nilifikiri ni majungu ya kisiasa
tatizo CHADEMA hamna dira wala uelekeo....haijulikani mnasimamia nini....mfano magufuli anasimamia uwajibikaji serikalini, rushwa, ufisadi.....nyie mnasimamia nini? chadema ya zitto na dr.slaa ndio ilikuwa na uelekeo hii chadema ya Lowasa ni hopeless kabisa.....mtu kama Lowasa yuko pale kama picha tu hakuna anachofanya wala kusimamia...Tundu Lisu pekee ndio mpinzani wa kweli.....Lema siwezi kumuhesabia kwa sababu hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza....sijui hata anafanya siasa za namna gani......
Awamu ya mfalme j*haMikwara mbuzi tu mnamhusisha Mungu kwenye upuuzi wenu mkiwa majukwaani mnatukana wenzenu Mungu anapenda? Awamu hii ni jino kwa jino fanya upuuzi wenzio wafanye upumbavu
ok...na ya CHADEMA ni ipi? Viwanda si umeona cha dangote na bahresa vinavyopiga kazi? na dangote anajenga kingine cha makaa ya maweDira ya rais JPM ni Tanzania ya viwanda. Get the facts right...
Mimi sijataka tumjadili Lema au Magufuli, ningependa tujadili hoja, specifically hii iliyowasilishwa na Lema. Nafahamu tukianza kujadili watu licha ya kwamba tutakuwa tunajidhalilisha, lakini tunaweza kukwazana mbele ya safari. Uko tayari tujadili hoja badala ya watu?tatizo CHADEMA hamna dira wala uelekeo....haijulikani mnasimamia nini....mfano magufuli anasimamia uwajibikaji serikalini, rushwa, ufisadi.....nyie mnasimamia nini? chadema ya zitto na dr.slaa ndio ilikuwa na uelekeo hii chadema ya Lowasa ni hopeless kabisa.....mtu kama Lowasa yuko pale kama picha tu hakuna anachofanya wala kusimamia...Tundu Lisu pekee ndio mpinzani wa kweli.....Lema siwezi kumuhesabia kwa sababu hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza....sijui hata anafanya siasa za namna gani......
Basi kama huyo Rais wako alikuwa anategemea wananchi ndio tutajenga viwanda atasubiri sana.na wewe endelea kusubiri sisi wananchi tujenge viwanda.kenge wewe huna akili hata mojakwahiyo wewe kwa akili zako nusu kifuniko cha soda, unadhani mh anaposema anataka Tanzani ya viwanda , unafikili yeye ataamka ofisini nakwenda kujenga viwanda...?? viwanda vinajengwa na nyumbu kama wewe , sema unategea sana kazi za kujenga Taifa kwani muda mwingi uko kwa nyumbu wenzio wa ufipa badala ya kwenda kujenga Tanzania ya viwanda.
sasa hoja gani unayoizungumzia? kama ni suala la Tundu Lisu kukamatwa ni ujinga wake alipaswa leo awe mahakani kwenye kesi yake mkuu.....Tundu lisu anafanya makusudi ili kutafuta huruma ya wapiga kura kesho kutwa.....kesi yake iko dar anahangaika na kesi ya Dodoma ambayo wakina masha wapo na wanao uwezo wa kuishughulikiaMimi sijataka tumjadili Lema au Magufuli, ningependa tujadili hoja, specifically hii iliyowasilishwa na Lema. Nafahamu tukianza kujadili watu licha ya kwamba tutakuwa tunajidhalilisha, lakini tunaweza kukwazana mbele ya safari. Uko tayari tujadili hoja badala ya watu?