Recent content by Al-kindy

  1. Al-kindy

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Hahahahahahaaa huyu masoud ni balaaa!! yahitaji utulize akili ili kuipata tafsiri.
  2. Al-kindy

    Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu

    Ikiwa Mwenyezi Mungu anasamehe, binadamu iweje uwe mgumu wa kusamehe!?
  3. Al-kindy

    Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

    Hahahahaaa kipozeo kaingiaje hapo![emoji2] [emoji2] [emoji2]
  4. Al-kindy

    Wanawake mna kiranga gani?

    Hii dunia ina maajabu! Kilakukicha haeshi vituko hahahahahaaa!!!!
  5. Al-kindy

    Wizi mkubwa wa pesa za noti zenye uzito wa tani 3.

    Daaah! Kaaazi kwelikweli hilo genge c lakitoto! Big up Mkuu endelea kutuhabarisha!
  6. Al-kindy

    Naogopa hata kuonana nae

    Ulimzoesha mwenyewe! Ila zungumza nae ikiwa wamtimizia mahitaji yake mueleze linalo kukera kwake, atakuelewa.
  7. Al-kindy

    Video: Hivi ni kweli binadamu anaweza kupambana na mamba pasipo ndumba?

    Yap inawezekana mkuu mbona hata wewe ukiwa unaishinao mara kwa mara unaweza tu.
  8. Al-kindy

    Lijue kundi la kiharifu la PCC la nchini Brazil

    Aiseee!! Hatari sana tunashukuru kwa kutujuza! Mkuu.
  9. Al-kindy

    Zitto: Makamu wa Rais kupokelewa na balozi ni dalili ya kutokuwepo uhusiano mzuri na Kenya

    Mh!! Cjaelewa hapo mkuu, Zito Kabwe amesema kapokelewa na balozi kenya lakin picha inaonesha kapokelewa na waziri mambo ya nje kenya!
  10. Al-kindy

    Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

    Kwamtindo huu UKIMWI hautokwisha mlikumbuka kondoms.
  11. Al-kindy

    Misri: Msanii wa kike aliyeonekana kwenye video ‘akila ndizi kwa mbwembwe’ akamatwa na polisi

    Kula ndizi sio shida baby shida ni style unavyo ila hiyo ndizi hususan mbele ya kadamnasi kama unaramba cone ndivyo ndizi iliwavyo??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  12. Al-kindy

    Lara Moja

    Kweli mkuu hata mie nimemiss Lara 1.
  13. Al-kindy

    Hivi inakuaje dume zima linalalamika mtandaoni kuchukuliwa mwanamke wake?

    Huyo hajakamilika mamie wacha achapiwe!
  14. Al-kindy

    Kutoka Hosp Nilikolazwa: Kuna wanawake tunaweza date/oa kumbe wachawi/walozi

    Mkuu huyo ni paka shume hakufai piga chini faster Mkuu huyo ni paka shume hakufai piga chini faster
  15. Al-kindy

    MDAHALO: Wahitimu wanaongezeka kuzidi nafasi za kazi, tutegemee kipi?

    Uko sasa hihi kabisa Mkuu tatizo letu wengi kuwa waoga na kuto jishughulisha tuache uvivu tupige kazi tutafanikiwa.
Back
Top Bottom