Naogopa hata kuonana nae

Naogopa hata kuonana nae

to

  • 1

    Votes: 3 75.0%
  • 2

    Votes: 1 25.0%

  • Total voters
    4
Mgegede alafu usimpee hela uone atafanya nini....
Baada ya hapo njoo uchukue ushauri wa kufunga kazi
 
Unamuendekeza huyo mwanamke! Kwanini uumpe hela kama mahitaji mengine unamtimizia?

Usimpe hela baada ya kumgegeda uone atafanyaje!!!
 
tatizo ni wewe mwenyewe unaanzaje kumpa hela mtu hajakuomba ?!!...sasa mwenzio umeshamzoweza vile kwa hiyo usilalame endelea kulipia kodi ya pango
 
Siku akiomba hela mwambie aje achukue, akifika muomne gegedo kwanza, lazima tu atakuwakia akisema," Kwa hiyo kunipa hela mpaka tufanye mapenzi?". Na wewe mjibu mbona we kunipa penzi mpaka nikupe hela mi nikajua chako kitakuokoa. Utamuona anakata mawasiliano na wewe kama alikuwa after money, kama ni mapenzi basi ataacha hako katabia.
 
Nina mpenz wangu nampenda sana tu na huwa najitahidi kadri ya uwezo wangu kumtimizia mahitaji yake kila ninapopata pesa.

Kitu kinachonichosha ni kwamba kila ninapokutana nae kwaajiri ya kugegedana lazima nimpe pesa ya kutosha hata kama nilimpatia siku moja kabla ya mechi.

Mimi kumpa pesa sio lazima nimgegede, huwa naona ni moja ya majukumu yangu kumuhudumia mpenzi wangu ili aweze kukidhi mahitaji yake lakini kwake yeye imekua tofauti kidogo kwamba kila ninapohitaji kumgegeda lazima nimlipe, yani amekua kama anajiuza vile.

Imefikia kipindi naogopa hata kukutana nae na huwa nashindwa sasa kumtofautisha na wanawake wanaojiuza mana wanawake wanaojiuza tunajua kwamba wako after money, bila pesa hawezi kukupa mapenzi.

Je nimueleze ukweli kwamba hii tabia yake siipendi ili ajirekebishe au niachane nae tu nitafute mwingine ??
Ulimzoesha mwenyewe! Ila zungumza nae ikiwa wamtimizia mahitaji yake mueleze linalo kukera kwake, atakuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom