Al-kindy
Member
- Nov 11, 2017
- 33
- 14
Hahahahahahaaa huyu masoud ni balaaa!! yahitaji utulize akili ili kuipata tafsiri.
Hahahahahahaaa huyu masoud ni balaaa!! yahitaji utulize akili ili kuipata tafsiri.
Hahaha! Kwa nyongeza :Tutasubiria tena meli kubwa ya madaktari wa kichina!ahhaahhah umenena
ahahahaha utawala wa kiki huu ptuHahaha! Kwa nyongeza :Tutasubiria tena meli kubwa ya madaktari wa kichina!
Duh!This guy is super genius![]()
Pole kumsoma Jamaa huwa inataka uchemshe mbongoNimetoka kapa
Hiyo ndiyo Bongo unazozisikia huku...Asante mkuu kwa kuwa mkweli maana hapa kila mtu kaelewa lake na anashangilia hivyo hivyo.
Wapo Busy Dodoma Kuhani Mkuu katema cheche..Lumumba hawagusi Uzi huu
Hahaha! Usiseme hivyo ndo tunaponea humo humo...ahahahaha utawala wa kiki huu ptu
Sadifa kajimix yule. Hakujua kama anatafutwa na jamaaa kitambo. Mnyeti amegawa sana rushwa pale Dom kwa wajumbe ila hakuguswaWapo Busy Dodoma Kuhani Mkuu katema cheche..
Yule Dizaini Sadifa yupo anapambana na hali yake..
Aibu sana Rushwa ya Soda kwa wajumbe toka Kagera...
Mnyeti yupo kwenye Kamati ya usajili..Sadifa kajimix yule. Hakujua kama anatafutwa na jamaaa kitambo. Mnyeti amegawa sana rushwa pale Dom kwa wajumbe ila hakuguswa
Tegemeo lakeMnyeti yupo kwenye Kamati ya usajili..
Wanajipanga kwa ajili ya usajili wa Dirisha dogo..
Abramovich hawezi mgusa...
Mnyeti yupo kwenye Kamati ya usajili..
Wanajipanga kwa ajili ya usajili wa Dirisha dogo..
Abramovich hawezi mgusa...
hatari sana!!pole sana siasa zitakupeleka kubaya kuliko kuwakabidhi wanasiasa ufunguo wa maisha yako ni bora ukabadili kitasa kuna maisha nje ya siasamimi sina la kusema ila ccm ni hawahawa tuko nao kitaa ole wa mwana ccm aingie 18 yangu iwe kwa haruas ama asiba atakiona cha mtemakuni jana tumemzabua mmoja mtaani tukamfukuza kama jibwa hatutaki wakae karibu yetu wachape lapa