Recent content by agogo

  1. A

    Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

    Kwenda nae sawa na wewe kula uchi
  2. A

    Naomba ushauri, hivi huyu ananipenda kweli?

    Hatakuoa kwa sababu hawezi kuoa mwanamke aliyekwisha to a mimba tatu,uongo wako ndo umekuponza
  3. A

    Nchi Ya Ajabu Sana Hii..

    utakuwa fair ukiwapambanisha January vs Mwiguru Nchemba
  4. A

    Dume zima na hirizi kiunoni

    Dah usikute ulilala na paka wewe!!!!!
  5. A

    Siyo story, ni kweli...

    kwa story kama hii,ukweli si muhimu zaidi ya mafundisho yake,
  6. A

    Unajiskiaje labda we mwanamke ukifanya hivi?

    Usipopata Ulipopenda,Penda Ulipopata
  7. A

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    ''He said Tanzania should not be quick to point fingers because it was also doing more or less the same with her own chosen path''. ni yapi hayo?
  8. A

    M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

    cku ingine usikae sehemu yenye haina network,vijana wako kumbe walikosa maelekezo ndo maana mkapigwa.sasa kimbia kwa meza ya mazungumzo.
  9. A

    Kwa wanaume watu wazima tu!!!

    Naona mkeo nae ka 'like' post yako mkuu!
  10. A

    Kwa wanaume watu wazima tu!!!

    Naona mkeo nae ame 'like' post yako
  11. A

    Kolonia santita!

    Wadau, naomben maoni yenu kuhusu hiki kitabu kihusianacho na mapambano dhidi ya madawa ya kulevya.je, kitumike kama dira ya kampeni ya kupambana na madawa ya kulevya kwa taifa letu ambalo linazidi kupoteza sifa yake kutokana na kukithiri kwa biashara hii??? Wakuu nawasilisha!
  12. A

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Kwa Dunia ya leo usitegemee ushinde vita kwa uzoefu na ukubwa wa jeshi lako dhana ya vita ni pana saana kwani nguvu ya nchi kivit ni siri ya nchi husika, kwa nchi ambayo bado tunasuasua kiuchumi ni vema tukaiepuka,tusije tukaingia miezi 36 ya kufunga mkanda zaidi a ile 18 ya vita ya kagera...
  13. A

    Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

    kuombeana kifo ni uchakavu wa kifikira
Back
Top Bottom