Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
inamaana huyu kagame anavyosema atampiga kikwete nii kwamba atapanda ndege aje jk aiport achukue gari aende ikulu avuje geti za ikulu na kupiga walinzi vibao then aulizie kikwete yuko chumba gani alafu aende kwenye mlango wa hicho chumba na kuwita kikwete " njoo nimekuja kukukomesha" then kikwete awe anaogopa kufungua mlango alafu kagame auvunje aingea kwa teke alafu aendeleze kibano.

Jamani ndio hivyo kweli maana kagame anaposema i will hit him at right time mimi nashindwa kuelewa, najaribu ku imagine sipati picha halisi.
 
Ha ha ha ha!!!Umenichekesha sana leo mkuu,Duh!Sijacheka tangu asubuhi.Ulijuaje?
 
Kagame naye anaelekea kubaya,JWTZ ni jeshi imara na sio jeshi la kisiasa kama majeshi ya Rwanda,ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA.

JWTZ ilikuwa enzi za Mwalimu J.K.Nyerere(RIP). Mzee wa watu kaenda na JWTZ yake!

Kwa sasa hatuna Jeshi Watanzania. Kama ni ni hili Jeshi linalotumiwa na Wanasiasa wa CCM kulazimisha Wanamtwara wakubali Gasi asilia kupelekwa Dar na Bagamoyo! Hakuna JWTZ tena.

Hivi unaweza kuwazia siku moja Mkuu wa Majeshi Mwamunyange akaamua kuingia Ikulu na kuwatangazia Watanzania kuwa Jeshi limetwaa Madaraka baada ya kuchoshwa na uonevu na ukandamizaji unaofanywa na Serikali ya Jakaya Kiwete???Thubutu yake!

Ni Misri tu ndiyo kuna Wanaume wa Shoka! Jeshi limekaa likatafakari utawala wa Morsi likaona hakuna cha maana anachofanya zaidi ya kupiga propaganda za UDINI na chama chake cha Muslim Brotherhood huku Uchumi wa nchi unazidi kuporomoka. Jamaa wakaamua kumweka pembeni. Kuna nchi watu wana maamuzi bwana siyo hapa kwetu watu wamezubaa tu kazi ni kulalamika na kunung'unika tu. Wakiambiwa wachukue hatua za kuleta mabadiliko watu wanaufyata! Zubaa uzikwe.
 
Mbona heading na kilichoandikwa haviendani,litatoka povu hapa wakati mleta uzi ameweka hisia zake tu,hakuna uchunguzi wowote uliofanyika ukabaini hilo,hizi vita za kwenye keyboard ni mbaya sana,Vyombo vya usalama vifanye kazi zake kwa weledi wao,wengi wanaopiga kelele hapa hawako well informed na kile wanachozungumziwa,linapokuja swala nyeti kama hili tuwe tunaacha ushabiki.
 
Ugomvi wa Kagame dhidi ya Tanzania ni kwa kuwa tulipeleka wanajeshi wetu DRC while yeye ameweka wanajeshi wake pale kwa kuwa anavuna dhahabu kule.
 
Kweli hiki ni kizaz cha dijitali! Hamna uzalendo kabisa na nchi yenu!?? Mnaleta uccm na uchadema kwenye issue nyeti kama hii?? Kweli kabisa jaman???
 
Mbona heading na kilichoandikwa haviendani,litatoka povu hapa wakati mleta uzi ameweka hisia zake tu,hakuna uchunguzi wowote uliofanyika ukabaini hilo,hizi vita za kwenye keyboard ni mbaya sana,Vyombo vya usalama vifanye kazi zake kwa weledi wao,wengi wanaopiga kelele hapa hawako well informed na kile wanachozungumziwa,linapokuja swala nyeti kama hili tuwe tunaacha ushabiki.
Ila linapokuwa la kuuawa wana CDM tuweke ushabiki!!! tuacheni unafiki,

kwa hali tete kama hii (Malawi, Rwanda) kiongozi wa nchi badala ya kuimarisha umoja wa wananchi yeye anajali wana CCM zaidi kuliko watanzania, I said there is one day you will need Chadema the most, wait.
 
JWTZ ilikuwa enzi za Mwalimu J.K.Nyerere(RIP). Mzee wa watu kaenda na JWTZ yake!

Kwa sasa hatuna Jeshi Watanzania. Kama ni ni hili Jeshi linalotumiwa na Wanasiasa wa CCM kulazimisha Wanamtwara wakubali Gasi asilia kupelekwa Dar na Bagamoyo! Hakuna JWTZ tena.

Hivi unaweza kuwazia siku moja Mkuu wa Majeshi Mwamunyange akaamua kuingia Ikulu na kuwatangazia Watanzania kuwa Jeshi limetwaa Madaraka baada ya kuchoshwa na uonevu na ukandamizaji unaofanywa na Serikali ya Jakaya Kiwete???Thubutu yake!

Ni Misri tu ndiyo kuna Wanaume wa Shoka! Jeshi limekaa likatafakari utawala wa Morsi likaona hakuna cha maana anachofanya zaidi ya kupiga propaganda za UDINI na chama chake cha Muslim Brotherhood huku Uchumi wa nchi unazidi kuporomoka. Jamaa wakaamua kumweka pembeni. Kuna nchi watu wana maamuzi bwana siyo hapa kwetu watu wamezubaa tu kazi ni kulalamika na kunung'unika tu. Wakiambiwa wachukue hatua za kuleta mabadiliko watu wanaufyata! Zubaa uzikwe.

Kwahiyo ulitaka wanajeshi wapindue nchi siyo?
 
Huyu mtu mwisho wake utakuwa mbaya sana,

Jeshi letu sio tu ni kubwa bali lina uzoefu na cv nzuri ya kudunda wapuuzi kama hawa.

Tulifagia uganda na kubadilisha marais mara tatu sembuse ka nchi kama Rwanda ambako kwangu mimi ni saizi ya shamba la babu yangu tu

Kama ikitokea vita mimi nitarudi jeshini na kuvaa combat kwa hasira!

Kwa Dunia ya leo usitegemee ushinde vita kwa uzoefu na ukubwa wa jeshi lako
dhana ya vita ni pana saana kwani nguvu ya nchi kivit ni siri ya nchi husika,
kwa nchi ambayo bado tunasuasua kiuchumi ni vema tukaiepuka,tusije tukaingia miezi 36 ya
kufunga mkanda zaidi a ile 18 ya vita ya kagera ambayo imepitiliza hadi leo
 
Ilikuwa zamani enzi hizooo!

historia inatueleza tulikotoka, tuliko na tunakoelekea. Rwanda mnahistoria gani ya ukombozi zaidi ya kuchinjana nyie kwa nyie? Tanzania tunajijua na ndio maana serikali imetoa onyo "RWANDA IKITUCHOKOZA TUTAICHAKAZA" Kama mnafikiri nin enzi hizo jaribuni!
 
Kwa Dunia ya leo usitegemee ushinde vita kwa uzoefu na ukubwa wa jeshi lako
dhana ya vita ni pana saana kwani nguvu ya nchi kivit ni siri ya nchi husika,
kwa nchi ambayo bado tunasuasua kiuchumi ni vema tukaiepuka,tusije tukaingia miezi 36 ya
kufunga mkanda zaidi a ile 18 ya vita ya kagera ambayo imepitiliza hadi leo
Tutauza hadi vituo vya daladala ili tushinde vita tu.
 
Kwa Dunia ya leo usitegemee ushinde vita kwa uzoefu na ukubwa wa jeshi lako
dhana ya vita ni pana saana kwani nguvu ya nchi kivit ni siri ya nchi husika,
kwa nchi ambayo bado tunasuasua kiuchumi ni vema tukaiepuka,tusije tukaingia miezi 36 ya
kufunga mkanda zaidi a ile 18 ya vita ya kagera ambayo imepitiliza hadi leo
Mkuu Rwanda ni kama mbu tu kwa tanzania, tunapulizia dawa ya kuua wadudu tu na wanapotea, ukumbukie kuwa hawa tayari wanagombana wenyewe kwa wenyewe hivyo ni rahisi sana kuwamaliza, unatumia mbinu za kimagharibi, unampa silaha na suport ya kutosha mpinzani wake kazi kwisha

Mimi ningeshauri tuwasaidie wale wapinzani wa Rwanda na nina uhakika haitachukua miezi sita kagame atakuwa amekula kona. Si mnakumbuka walivyomfanyia mobutu? au Ghadafi?
 
Unajidanganya,vita haiangalii udogo wa nchi au ukubwa,je kama wenzetu wana silaha za maana na mbinu za hali ya juu kijeshi ?
 
JWTZ ilikuwa enzi za Mwalimu J.K.Nyerere(RIP). Mzee wa watu kaenda na JWTZ yake!

Kwa sasa hatuna Jeshi Watanzania. Kama ni ni hili Jeshi linalotumiwa na Wanasiasa wa CCM kulazimisha Wanamtwara wakubali Gasi asilia kupelekwa Dar na Bagamoyo! Hakuna JWTZ tena.

Hivi unaweza kuwazia siku moja Mkuu wa Majeshi Mwamunyange akaamua kuingia Ikulu na kuwatangazia Watanzania kuwa Jeshi limetwaa Madaraka baada ya kuchoshwa na uonevu na ukandamizaji unaofanywa na Serikali ya Jakaya Kiwete???Thubutu yake!

Ni Misri tu ndiyo kuna Wanaume wa Shoka! Jeshi limekaa likatafakari utawala wa Morsi likaona hakuna cha maana anachofanya zaidi ya kupiga propaganda za UDINI na chama chake cha Muslim Brotherhood huku Uchumi wa nchi unazidi kuporomoka. Jamaa wakaamua kumweka pembeni. Kuna nchi watu wana maamuzi bwana siyo hapa kwetu watu wamezubaa tu kazi ni kulalamika na kunung'unika tu. Wakiambiwa wachukue hatua za kuleta mabadiliko watu wanaufyata! Zubaa uzikwe.
Ha ha ha ajabu yaani unataka kunuambia green guard wamwambie mzee wa kaya kwamba uonevu sasa basi....thubutu!!! Maana wengi wa JWTZ nashindwa kuwatofautisha na green guard....ulinzi na kupiga wapinzani wapi na wapi ukirejea ya mtwara mbaya zaidi mtwara wajeshi wanafanya yale yale wanaofanyiwa wakongo (ubakaji na uporaji)
 
Mkuu Rwanda ni kama mbu tu kwa tanzania, tunapulizia dawa ya kuua wadudu tu na wanapotea, ukumbukie kuwa hawa tayari wanagombana wenyewe kwa wenyewe hivyo ni rahisi sana kuwamaliza, unatumia mbinu za kimagharibi, unampa silaha na suport ya kutosha mpinzani wake kazi kwisha

Mimi ningeshauri tuwasaidie wale wapinzani wa Rwanda na nina uhakika haitachukua miezi sita kagame atakuwa amekula kona. Si mnakumbuka walivyomfanyia mobutu? au Ghadafi?

We bwana lukosi najaribu kutafakari upeo wako. Ukisema rwnda wamegawanyika na utatumia mbinu za kimagharibi uaniacha wapi tz ....kuna taifa lolote E.A lililogawanyika kama tz i.e kupiga watu mabomu, kunyanyasa wapinzani, ukosefu wa ajira ,kunyaanyasa machinga bila sababu ya msingi ,wanafunzi kuwanyima mikopo, fukuzfukuza ya walimu,madaktari na wanafunzi, unyanyang'nyi wa rasilimali kutumia majeshi eg mtwara na ubaguzi makazini ukabila na udini vp. Sisi tuko pabaya zaidi ya rwanda maana watu wanamakovu yao tz wako kimya.
 
Kagame athubutu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
all watutsi mliopo humu jamvini noted,
subiri tuwa-track hadi location point zenu nyinyi mb.wa,
tutaanza na nyinyi kabla ya kumfata bwana wenu KAGAME,

Wewe ni kipofu! Kwa upofu huo, unaona Watutsi ndio tatizo, hebu jiulize, ni kwa nini ktk awamu hii ya Jk ndio tuna "vurugu" ' na majirani-Malawi na Rwanda? Kwa nini hawatuogopi? Hivi Rwanda watuweza Tz? Najua hapo utasema kuna mataifa yako nyuma yao (ni kawaida yetu)! Lkn ukweli wamegundua tu dhaifu, Jemedari ni dhaifu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom