Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

Chakula kinakua kitamu, ni wengi tunafanya hivo japo ye kazidi
wengine twavaa madera bila vyupi
usiwaze.....

Hivi dada kweli kabisa wewe kama wewe unaweza ukapika ukawa uchi?Ninawaza mambo mengi sana bado sijamchukulia hatua.
 
sasa huo uchi unalinganaje hadi akaupike!!!!! toa maelekezo
 
Watu wengine mmetawaliwa na imani za kishirikina alafu utaishije na mtu kama mke alafu usimwamini? me naona wewe hujielewi alafu unaleta ishu zako za nyumbani kuja kuomba ushauri... hivi kati yetu na wewe nani ana nafasi nzuri ya kujua kuwa mkeo alikua na dhumuni gani kupika uchi?

GROW UP DUDE!!!!
 
raha ya kukaa ndani kama mko wawili mr & mrs inabidi muwe uchi wa mnyama, mimi huwa napenda sana, kama hakuna wageni au watoto, napenda niwe uchi wa mnyama niwe nijimwayamwaya na kaubaridi ka EC kuna raha sana.

Samahani EC ni kitu gani?
 
Acheni kushabikia ujinga. Wengine wanaenda kwa waganga wanawambia ivo. Wala sio mahaba. Bora angekuwa na kanga tuu.

Kuna story furani nishaskiaga mganga kamwambia avue mbele ya sufuria ya chakula atawaze na hayo maji ayapikie chakula be carefull
 
JF bwana raa tupu IVI KWELI KUNA SIKU MAAJABU YATAKUJA KUISHA DUNIANI ????
 
tatizo nn au kosa liko wapi hakuna sheria ya nchi inayokataza dini yoyote inayopinga hilo km vp cku nyingine ukiona hivo piga picha peleka kwenye kupatana.com amanenee wateja tutatiririka tu kk.

:d:d:d:d
 
Back
Top Bottom