kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Marekani imepoteza askari elfu ngapi Iraq na Afghanistani?
Unadhani wao ni wajinga?
Wamarekani ndio chanzo cha haya yote yanayotokea hapa Duniani ebu tuangalie kwa makini maeneo yote waliyoingia na kujidai wanaenda kusaidia raia kutokana na ukandamizaji wa viongozi je amani katika maeneo hayo imerudi hata baada ya kuwaua viongozi walioonekana ni kikwazo cha Demokrasia? maeneo yenyewe ni IRAQ, AFGHANISTAN, LIBYA. Sehemu ambayo wananchi walijitambua wameshindwa kuinghia mfano halisi ni Somalia kwani waliingia na mwisho wa siku waliishia kuuawa na maiti za Wanajeshi wake kuburuzwa mitaani wakaamua kukimbia.