Kweli NEW AGE mna mapepo, yaani unatoa mimba tena 3 alafu unakuja kujisifu hapa 👮, haki ya nani do!!
Unavua chupi ovyo na kijana anaendelea kufaidi wewe unashindwa kufanya maamuzi course of your future. Eeh!!!!!!!!!!!!!!!
Habari zenu wana jamvi,
Naombeni ushuri juu ya huyu boyfriend wangu sijui ananipenda au la? Tumekuwa kwenye uhusiano kwa miaka mitatu sasa, ana miaka 33,hajanitambulisha kwa mtu yeyote kwao hata rafiki pia,haoneshi dalili ya kutaka kuoa.
Sasa japo nikimwambia ananiambia ndio anafanya mipango,nyumbani kwake nimeshaenda na kulala pia hakuna dalili ya mchepko,ila ukitaka ugomvi shika simu yake.
Aliwahi kuibamiza na kuivunja simu yake samsung galaxy s5 kisa niliishika nikawa naangalia nikimuuliza anasema ananipenda, nimemdanganya nina mimba kama tatu zote ananipa hela anasema nikatoe sasa simuelewi anasema ananipenda , eti jamani hapo kuna mapenzi kweli.
Naomba ushauri wenu
Wakuu salama,..?....napita tu.
Kweli NEW AGE mna mapepo, yaani unatoa mimba tena 3 alafu unakuja kujisifu hapa í-½í±®, haki ya nani do!!
Unavua chupi ovyo na kijana anaendelea kufaidi wewe unashindwa kufanya maamuzi course of your future. Eeh!!!!!!!!!!!!!!!
rudi usome amesema anamdanganya
Miaka mi3 hajakutambulisha kwa yeyote,haoneshi dalili ya kutaka kukuoa,hataki ushike simu yake,umedanganya una mimba anakupa hela utoe,bado unataka tukuthibitie kama kuna mapenz hapo!!!
Ok!Huyo ANAKUPENDA sana,tena usimuache!
Umefurahi ee???
Hahahaaaa..mkuu nimecheka sana kwa tabia za huyo jamaa a.k.a shemeji yetu.
Hizo tabia 50% zinafanana na zangu ila nilipomlizia hapo mwisho nikashusha pumzi "oooops kumbe sio mimi"..huyo atakuwa usalama wa taifa mkimbizi au mume wa mtu kamwacha mkewe kijijini