Recent content by Adoe

  1. Adoe

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Duuh!
  2. Adoe

    JamiiForums Tanzania RC Makonda wasikukatishe Tamaa ukihakikisha tunamfunga Algeria tarehe 1 July 2019 Tanzania tunafuzu hadi Ubingwa

    Usipende kulitaja jina la Bwana Mungu wako ktk masuala ya Mzaha! Go and repent!
  3. Adoe

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Kilimanjaro

    Shark, hadi leo bado hutambui kuwa Moshi ni wilaya?
  4. Adoe

    JamiiForums Tanzania Mondi platinumuz anaelekea kuwa level ya Michael Jackson

    huyo Mondi wako hadi hivi sasa ana recognition gani za kimataifa ktk masuala ya music hadi umlinganishe na the wacko jacko? Je ameonekana mara ngapi ktk The World Music Awards, Guinness Book of World Records, na Grammy Awards?
  5. Adoe

    JamiiForums Tanzania BAKWATA Ina matatizo ya Uendeshaji. Je, itaziweza Mahakama za Kadhi?!

    Ha ha ha! Najiuliza tu, hivi viongozi Wakuu kabisa wa awamu ya pili na ya nne kwa imani yao, walikubali kabisa vipindi vyao vya miaka 10 ktk uongozi wa nchi ya Bongo vipite wima bila kuondoa BAKWATA ya kikafiri?
  6. Adoe

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Fine, ni (binadamu?) wangapi hapa duniani wenye sifa kama hii. Why not Mtume (SAW)?
  7. Adoe

    JamiiForums Tanzania Fifteen dead in Sri Lanka after overnight gun battle with suspected Islamist militants

    Mkuu hapo kwenye red, hivi inakuwaje nchi TAKATIFU kama Saudi Arabia inatawaliwa na Vibaraka na Mabeberu Wakristo? Mabeberu Wakristo ndiyo akina nani?
  8. Adoe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake wengi

    Ooh-la-la!
  9. Adoe

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ya 3 kwa stress duniani

    ugh!
  10. Adoe

    JamiiForums Tanzania Nyerere alitamka haya

    Sawa mkuu Mayalla.
  11. Adoe

    JamiiForums Tanzania Fifteen dead in Sri Lanka after overnight gun battle with suspected Islamist militants

    Kwahi Source: Tabari Vol.8, pg 96. Kwa hiyo vyanzo Sahihi vya Hadithi zetu mmeamua kuvikana leo?
  12. Adoe

    JamiiForums Tanzania Fifteen dead in Sri Lanka after overnight gun battle with suspected Islamist militants

    Mkuu unajua watu wanaunganisha dots za matukio ya nyuma na ya sasa na kufikiri kuwa hawa wenzetu wana play part kubwa sana ktk mambo ya unyama & ugaidi kutokana na mambo wanayoyasoma vitabuni. Mfano ni jinsi Umm Qirfa alivyouawa kinyama kwa kufungwa miguu yake kwa kwamba na kamba hizo kufungwa...
  13. Adoe

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mdudu anayewasha taa ile balbu huwa anaitoa wapi?

    Wa stendi una shida. Faza ametoa Maelezo marefu kuhusu mdudu huyu, kisha ameona haitoshi for the sake ya watu wa dizaini yako, akafanya tafsri ya Kiswahili, still uelewi. Pole.
  14. Adoe

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mdudu anayewasha taa ile balbu huwa anaitoa wapi?

    Poa Faza.
  15. Adoe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli lifufue shirika la MECCO

    Mawazo mazuri sana mkuu tena ya mtu mzima! Nakumbuka sana kazi nzuri zilizokuwa zikifanywa na MECCO kipindi kile japo miundo mbinu ya barabara ktk Tz yetu ili kuwa bado haijatanuka sana. Pia Idara ya Common Works (enzi zile tukitamka 'komweksi') ilikuwa ikifanya vizuri. Kwa vile kiongozi wetu...
Back
Top Bottom