Wake wengi

kuwa na wanawake wengi huchelewi kuwa na muwasho kunani, kama wewe umewapanga msitari na wenyewe wamekupanga msitari vile vile. before u know ukuni unakuwasha na hujui umuulize nani kati ya hao saba uliowapanga! be carefur people, AIDS do exist!
 
1. utapata mikunjo tofauti tofauti, style tofauti na ladha tofauti zisizoisha hamu.....
2. utapata macare ya hali ya juu mchanganyiko....
3. utadeka utakavyo
4. ukiwa na malengo kama Natalia, ujue wallet yako haitokauka feha za madafu na madorali, tanki la mafuta mshale utakua kwenye F always na shopping hadi uote vigimbi vya miguu.....
5. stress free zone, maana mmoja akikuboa unageuka kwa mwingine, tupa huyu vuta yule
6. kuchagua mbegu ya mtoto unayetaka kuwa nae, pale utakapohitaji
7.
8.

nitarudi

Walahiiiii haya maneno niliyaandika mimi kweli????
 
Last edited by a moderator:
katika hilo ni kuendekeza uzinzi hebu pata picha unawake wanne kila mmoja anataka huduma yako mapumziko lini, hali ya kiuchumi, muongezeko wa familia una mashemeji, wakwe wangapi, wajomba pande zote za kikeni na kiumeni ukweli ni kwamba uke wenza ni maumivu
Ooh-la-la!
 
Back
Top Bottom