Rais Magufuli lifufue shirika la MECCO

Rais Magufuli lifufue shirika la MECCO

MECCO ilikuwa mali ya CCM sawa na SUKITA kama sikosei. Kwa maana hiyo, panahitaji mkono mwingine mpya wa kufanya kazi hizo.

Ila najua kuwa baada ya hapo, ilikuja TAMESA na TANROAD ambao wanafanya kazi hizo kwa sehemu kubwa.

Kinachohitajika pengine kuziongezea nguvu taasisi hizi.
MECCO-Mwananchi Engineering and Construction Company Limited,lilikuwa shirika la Umma liliuzwa kwa bei ya kutupa na awamu ya tatu.Jamaa walifaidika kupata yadi za bei ya chee,ila bado linafanya kazi haswa zaznzibar wanajenga barabara
 
Aisee nakubaliana kabisa na wewe kwamba MECCO ifufuliwe hata wakianza na kazi ya kuziba viraka siyo mbaya!!!!!!!!!
 
Nakuunga mkono. Siyo hilo tu,hata NEDCO, hawa walikua ni Consultant wa Serikali kama ilivyo kwa hizi kampuni binafsi za Uhandisi Ushauri tuzijuazo.
Kwa kuanzia NEDCO nayo ihuishwe upya ili ikidhi mahitaji ya MECCO,lakini pia kwa mmoja mmoja kufanya kazi zake za kiofisi ilihali katika miradi mikubwa wanakuwa pamoja.
Ndani miaka 35 ijayo Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi za dunia ya kwanza.
 
Nilisikia Polepole anaongelea hili. Sina uhakika sana nalo. Nilijua ilikuwa shirika la CCM
MECCO-Mwananchi Engineering and Construction Company Limited,lilikuwa shirika la Umma liliuzwa kwa bei ya kutupa na awamu ya tatu.Jamaa walifaidika kupata yadi za bei ya chee,ila bado linafanya kazi haswa zaznzibar wanajenga barabara
 
Kwa kweli tunayo kila sababu ya kujisifu uwepo wa mkuu wetu JMP. TBA ni kati ya idara ya serikali iliyoaminika kuwa haiwezi chochote na wababaishaji. Ilifika mahala tukaona TBA ni mzigo hadi tukaamua kuuza baadhi ya nyumba za serikali kwa maana ya kutua mzigo.

Kumbe hili shirika si tu lina wataalamu bali lina wazalendo na wachapa kazi, sote tumeona kazi zao nzuri pale UDSM wamejenga majengo safi na kwa muda mwafaka, kazi hizi tulizoea kuzisikia kwa benjamini Netanyahu anapojenga makazi ya wayahudi. kumbe na sisi tunaweza. kwa kweli JPM nitamwita African Bibi.

TBA wamekamilisha ujenzi wa mabweni, wanaelekea kukamilisha ujenzi wa shule ya Ihungo na sasa wameanza ujenzi wa makazi bora na ya kisasa ya Magomeni, hongereni sana.

Sasa hebu tufufue na mashirika mengine, miaka ya themanini kulikuwa na shirika la umma la MECCO lililo jishughulisha na ujenzi wa barabara, huku kwetu hadi leo kuna mtaa unaitwa mecco eneo hilo lilikuwa kambi ya kampuni hiyo, pia lilikuwepo shirika la PEHCOL hili lilikuwa linakodisha mitambo ya ujenzi wa barabara na ilikuwepo idara ya serikali iliyoitwa common works hii idara ilijishughulisha na repair ndogondogo za barabara. Tukifufua mashirika haya naimani kabisa gharama za ujenzi wa barabara zitapungua sana. tuachane na wachina sasa.

Napendekeza Prof. Mbarawa akae na JPM wateue bodi ya wakurugenzi na wateue CEO walifufue shirika hili la umma, tujenge barabara wenyewe, tuwatumie vijana wetu wa sumajkt katika ujenzi wa barabara na miundo mbinu mbalimbali. Tunaweza anza kulitumia shirika letu la mecco katika ujenzi wa reli mpya sambamba na kampuni hii ya kireno.
Lakini TBA hizo nyumba aliuza nani? Kwahivyo anauma huku anapuliza!!?
 
...

Sasa hebu tufufue na mashirika mengine, miaka ya themanini kulikuwa na shirika la umma la MECCO lililo jishughulisha na ujenzi wa barabara, huku kwetu hadi leo kuna mtaa unaitwa mecco eneo hilo lilikuwa kambi ya kampuni hiyo, pia lilikuwepo shirika la PEHCOL hili lilikuwa linakodisha mitambo ya ujenzi wa barabara na ilikuwepo idara ya serikali iliyoitwa common works hii idara ilijishughulisha na repair ndogondogo za barabara. Tukifufua mashirika haya naimani kabisa gharama za ujenzi wa barabara zitapungua sana. tuachane na wachina sasa...

eddy:[emoji106] kwa wazo jema lenye mlengo wa kuharakisha safari ya kufikia uchumi wa kati.

Nitayataja baadhi ya Madhirika ya Umma, ambayo naamini yatakua na mchango mkubwa katika ujenzi wa uchumi wa viwanda, yakifufuliwa kwa njia ya aina yoyote:
1) Kilimanjaro Machine Tools na Mangu'ra Mechanical workshop, kwa ajili ya kufua na kutengeneza vipuri vya viwandani
2) UFI. Kiwanda cha zana za kilimo
3) NMC kwa ajili ya uhifadhi, usindikaji na usagidhaji wa mazao ya chakula, kukabiliana na uhaba wa chakula au kuhifadhi mazao yanayosubiri kuongezewa thamani katika viwanda
4) Kampuni tanzu za CDA (Mamlaka ya Ustawishaji Makao Mkuu Dodoma), km Nyankali (kiwanda cha kokoto), ZUZU (Kiwanda cha matofali) na CAPCECO (Kampuni ya mitambo ya ujenzi ikijidhughulisha pia na ujenzi wa Makao Makuu).
 
Kwa kweli tunayo kila sababu ya kujisifu uwepo wa mkuu wetu JMP. TBA ni kati ya idara ya serikali iliyoaminika kuwa haiwezi chochote na wababaishaji. Ilifika mahala tukaona TBA ni mzigo hadi tukaamua kuuza baadhi ya nyumba za serikali kwa maana ya kutua mzigo.

Kumbe hili shirika si tu lina wataalamu bali lina wazalendo na wachapa kazi, sote tumeona kazi zao nzuri pale UDSM wamejenga majengo safi na kwa muda mwafaka, kazi hizi tulizoea kuzisikia kwa benjamini Netanyahu anapojenga makazi ya wayahudi. kumbe na sisi tunaweza. kwa kweli JPM nitamwita African Bibi.

TBA wamekamilisha ujenzi wa mabweni, wanaelekea kukamilisha ujenzi wa shule ya Ihungo na sasa wameanza ujenzi wa makazi bora na ya kisasa ya Magomeni, hongereni sana.

Sasa hebu tufufue na mashirika mengine, miaka ya themanini kulikuwa na shirika la umma la MECCO lililo jishughulisha na ujenzi wa barabara, huku kwetu hadi leo kuna mtaa unaitwa mecco eneo hilo lilikuwa kambi ya kampuni hiyo, pia lilikuwepo shirika la PEHCOL hili lilikuwa linakodisha mitambo ya ujenzi wa barabara na ilikuwepo idara ya serikali iliyoitwa common works hii idara ilijishughulisha na repair ndogondogo za barabara. Tukifufua mashirika haya naimani kabisa gharama za ujenzi wa barabara zitapungua sana. tuachane na wachina sasa.

Napendekeza Prof. Mbarawa akae na JPM wateue bodi ya wakurugenzi na wateue CEO walifufue shirika hili la umma, tujenge barabara wenyewe, tuwatumie vijana wetu wa sumajkt katika ujenzi wa barabara na miundo mbinu mbalimbali. Tunaweza anza kulitumia shirika letu la mecco katika ujenzi wa reli mpya sambamba na kampuni hii ya kireno.
Kwenu ni kunduchi mecco??
 
Afufue timu ya MECCO tu,ilikuwa inatukomeshea Simba na Yanga. Jamaa walikuwa wanapiga mazoezi ya kupanda milima mikali,
....Milima ya Uporoto

Ukimchezea rafu unaumia mwenyewe yeye anasonga mbele,kuna mmoja aliwahi kupiga shuti mazoezini mpaka mpira ukachanika vipandevipande,msuli tu!
....Huyu aliitwa Betwel Afrika...
 
Kwa kweli tunayo kila sababu ya kujisifu uwepo wa mkuu wetu JMP. TBA ni kati ya idara ya serikali iliyoaminika kuwa haiwezi chochote na wababaishaji. Ilifika mahala tukaona TBA ni mzigo hadi tukaamua kuuza baadhi ya nyumba za serikali kwa maana ya kutua mzigo.

Kumbe hili shirika si tu lina wataalamu bali lina wazalendo na wachapa kazi, sote tumeona kazi zao nzuri pale UDSM wamejenga majengo safi na kwa muda mwafaka, kazi hizi tulizoea kuzisikia kwa benjamini Netanyahu anapojenga makazi ya wayahudi. kumbe na sisi tunaweza. kwa kweli JPM nitamwita African Bibi.

TBA wamekamilisha ujenzi wa mabweni, wanaelekea kukamilisha ujenzi wa shule ya Ihungo na sasa wameanza ujenzi wa makazi bora na ya kisasa ya Magomeni, hongereni sana.

Sasa hebu tufufue na mashirika mengine, miaka ya themanini kulikuwa na shirika la umma la MECCO lililo jishughulisha na ujenzi wa barabara, huku kwetu hadi leo kuna mtaa unaitwa mecco eneo hilo lilikuwa kambi ya kampuni hiyo, pia lilikuwepo shirika la PEHCOL hili lilikuwa linakodisha mitambo ya ujenzi wa barabara na ilikuwepo idara ya serikali iliyoitwa common works hii idara ilijishughulisha na repair ndogondogo za barabara. Tukifufua mashirika haya naimani kabisa gharama za ujenzi wa barabara zitapungua sana. tuachane na wachina sasa.

Napendekeza Prof. Mbarawa akae na JPM wateue bodi ya wakurugenzi na wateue CEO walifufue shirika hili la umma, tujenge barabara wenyewe, tuwatumie vijana wetu wa sumajkt katika ujenzi wa barabara na miundo mbinu mbalimbali. Tunaweza anza kulitumia shirika letu la mecco katika ujenzi wa reli mpya sambamba na kampuni hii ya kireno.
Mawazo mazuri sana mkuu tena ya mtu mzima! Nakumbuka sana kazi nzuri zilizokuwa zikifanywa na MECCO kipindi kile japo miundo mbinu ya barabara ktk Tz yetu ili kuwa bado haijatanuka sana.
Pia Idara ya Common Works (enzi zile tukitamka 'komweksi') ilikuwa ikifanya vizuri. Kwa vile kiongozi wetu ni mtu wa kusoma soma hii mitandao yetu ya kijamii, nina imani ombi hili atalifanyia kazi.
 
Ni wazo zuri lakin kuna tatzo kubwa sana litatokea baadae.

Nchi hii itakuja kuwa na tatzo la ajira kuliko mahali pengine popote.

Kwa kufanya hivyo inamaanisha sekta binafsi ambazo kwa kias kikubwa ndipo ahueni ya wahandisi wengi wazawa ilipo zitakufa.Kampuni zitafungwa kwa kukosa tenda.

Hatima yake ni nin? Na je wenzetu waliopiga hatua wanatumia approach zipi?

Na mwisho kabisa, kwanin hayo makampuni yalikufa ilihali yalikuwa muhimu?!
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom