Pole kwa majukumu ndugu zangu
.
Ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa heka 4 .
Shamba Lina rutuba ya kutosha na linafaa kwa kilimo cha mazao aina nyingi, ni flat area.
-Shamba lipo KIA ni umbali wa dakika 7-10 kwa kutembea kwa miguu kutoka KIA stend (Barabara ya Lami ya Moshi to Arusha) hadi hapo shambani , kwa wanaopajua KIA stendi ni mita kama 200 kutoka Tanesco.
- Kijiji cha Sanya station.
-Karibu na Shamba (mita 12) kuna Umeme, na maji yapo umbali wa kama mita 700 kutoka hapo shambani.
-Shamba halina mgogoro wowote na Nina vibali vyote vya umiliki, kwa sasa yamestawi mazao ya maharage, alizeti na mahindi.
*Bei nauza kwa milioni 14.5 kwa Mteja aliye serious tunaweza kuongea ikashuka kidogo*.
-Shamba linauzwa lote. Au heka 3 tunaweza kuelewana.
Asante.
Namba yangu ya simu: 0757620622.