Nyerere alitamka haya

Alichokisema Mwalimu Nyerere kuhusu usawa kwenye sovereignty kuwa ni equal, ni ukweli kabisa, hakuna sovereignty kubwa wala ndogo. Hata Italy sovereignty ya Vatican City ni sawa na ya Italy.

Lakini ukiisha kabidhi sovereignty yako kwa mwingine, wewe unakuwa huna tena hiyo sovereignty. Sovereignty sio andazi au kitumbua useme unaweza kuimega kidogo na kumgawia mwenzio na wewe kubaki nayo.

Tanganyika na Zanzibar zinaungana kwa union, kila nchi imepoteza sovereignty yake na kuikabidhi kwa JMT.

You can't eat your cake and have it.
Once you give out your sovereignty, its gone.
P
 
Kama hutaki acha kumsifia hata Yesu kirstu kuna wapumbavu walimpinga

Jua tu utakufa wewe na kizazi chako hatutabatika kumpata nyerere mpya

He is a saint...
Tunamsifia sana Nyerere bure. Yeye ndiye amesababisha matatizo ambayo tunayo sasa. Tumekuwa wapumbavu kwa ajili yake hadi watu wawili tu wanatupelekesha na kutuburuza
 
Tunamsifia sana Nyerere bure. Yeye ndiye amesababisha matatizo ambayo tunayo sasa. Tumekuwa wapumbavu kwa ajili yake hadi watu wawili tu wanatupelekesha na kutuburuza
100% upo sahihi,
-ukianza na watu kuwa waoga ni yeye
-watu kuwa masikini ni yeye
-watu kuwa malimbukeni na wajinga ni yeye
-nambaya zaidi akaanzisha CCM inayotunyonya hadi leo
-katunga katiba mbovu,ambayo mwenyewe ana kili ina mapungufu mengi bado akaiacha hivyo hivyo huku alikuwa anaweza kuirekebisha
 
Alichokisema Mwalimu kuhusu sovereignty ni equal, hakuna sovereignty kubwa wala ndogo. Hata Italy sovereignty ya Vatican City ni sawa na ya Italy.

Lakini ukiisha kabidhi sovereignty yako kwa mwingine, wewe unakuwa huna tena hiyo sovereignty. Sovereignty sio andazi au kitumbua useme unaweza kuimega kidogo na kumgawia mwenzio na wewe kubaki nayo.

Tanganyika na Zanzibar zinaungana kwa union, kila nchi imepoteza sovereignty yake na kuikabidhi kwa JMT.

You can't eat your cake and have it.
Once you give out your sovereignty, its gone.
P
Sawa mkuu Mayalla.
 
100% upo sahihi,
-ukianza na watu kuwa waoga ni yeye
-watu kuwa masikini ni yeye
-watu kuwa malimbukeni na wajinga ni yeye
-nambaya zaidi akaanzisha CCM inayotunyonya hadi leo
-katunga katiba mbovu,ambayo mwenyewe ana kili ina mapungufu mengi bado akaiacha hivyo hivyo huku alikuwa anaweza kuirekebisha
Yani Huyu jamaa alikuwa mbinafsi kabisa. He was divisive. Huu ukanda na ukabila sijui wachaga hawafai kutawala ni yeye. Nyerere alikuwa Saddist na athari yake inaonekana sasa hivi.
 
Yani Huyu jamaa alikuwa mbinafsi kabisa. He was divisive. Huu ukanda na ukabila sijui wachaga hawafai kutawala ni yeye. Nyerere alikuwa Saddist na athari yake inaonekana sasa hivi.
Kwenye cabinet post za mwanzo wachaga walikuwemo, na viongozi wengi nyakati hizo walikuwa wameoa uchagani.
Kuna akina Nsilo Swai, akina Lt. Gen Kiwelu, Lt. General Imran Kombe, Brig. Gen. Kimario, Waziri wa Fedha na Gov wa BOT Mtei, Mramba akiwa Waziri toka enzi ya mwl mpaka awamu ya 4. Mtani wenu mpare wa Mwanga alikuwa PM mara 2 na waziri wa fedha wa muda mrefu
Kati ya makabila 132 Tanzania kuna makabila hajawahi hata kutoa Waziri, unapolalama wachaga hawajawahi kupata sehemu ya national cake, nini cha ziada mnataka.

Tanzania ni yetu sote, sio lazima mpate kila kitu.
 
nilidhani malaika ni wale tu walioanza na Mungu uumbaji,kumbe nyerere naye ni malaika
Saint ni Mtakatifu na sio malaika. Malaika ni an angel.

Mwalimu Nyerere ni Mkisto Mkatoliki.
Mungu alipotuumba, alidhamiria tuishi maisha matakatifu ili maisha yetu ya duniani yakiisha, tuwe Watakatifu saints.

Hivyo kila Mkristu Mkatoliki anapaswa kutenda mema na kuishi maisha matakatifu ili akifa atangazwe kuwa Mtakatifu.

Mwalimu Nyerere aliishi maisha matakatifu na hadi kuitangaza Ikulu ni mahali patakatifu. Na baada ya kufa tumeanza mchakato wa kumtangaza kuwa Mtakatifu, hiyo process inaitwa canonization, na hatua ya kwanza ni kutangazwa Mwenye Heri, kisha anatangazwa Mtakatifu.

Mwalimu Nyerere ni Mtakatifu kweli.

P
 
Kati ya makabila 132 Tanzania kuna makabila hajawahi hata kutoa Waziri, unapolalama wachaga hawajawahi kupata sehemu ya national cake, nini cha ziada mnataka.

Tanzania ni yetu sote, sio lazima mpate kila kitu.
Mkuu Freddie Matfuja, asante kwa ukweli huu, Tanzania kuna makabila yenye bahati, lucky tribes, na yasiyo na bahati, doomed tribes. Wale wa lucky tribes wako kwenye maeneo ya good climatic conditions hivyo maeneo yao kunastawi cash crops, Wamisionari wakajenga mashule, kufuatia kuwa na cash crops, wazazi wao wakawa na uwezo wa kuwalipia shule, wakasoma sana hivyo kujiona wao ndio wana akili sana, hivyo kushika top positions kwao wakajiona is their rightful positions, na kuteuliwa wao ndio wanastahili. Sasa anapotokea kiongozi mzuri akawa fair enough kuwateua hata watu wa unlucky tribes or the doomed ones, wale waliozoea lazima wawepo, wasipokuwepo, wanajiona wamebaguliwa.

P
 
100% upo sahihi,
-ukianza na watu kuwa waoga ni yeye
-watu kuwa masikini ni yeye
-watu kuwa malimbukeni na wajinga ni yeye
-nambaya zaidi akaanzisha CCM inayotunyonya hadi leo
-katunga katiba mbovu,ambayo mwenyewe ana kili ina mapungufu mengi bado akaiacha hivyo hivyo huku alikuwa anaweza kuirekebisha
Katiba ya 1977 imerekebishwa sana na bado siyo nzuri lakini tatizo ni kuwa hata hiyo mbovu ambayo viongozi wetu wanaapa nayo wameiweka kando hawaifuati. Awamu hii inaongoza kwa kutumia law of the jungle toka misitu ya kule mahala ndo maana sasa ni maneno tu bila vitendo. Miaka minne hatutajiwi miradi iliyokamilika ila ile ya awamu ziljzopita. Miaka mitano ya awamu hii itatathiminiwa kuwa ni iliyopotea ikiacha uncompleted expensive white elephants.
 
100% upo sahihi,
-ukianza na watu kuwa waoga ni yeye
-watu kuwa masikini ni yeye
-watu kuwa malimbukeni na wajinga ni yeye
-nambaya zaidi akaanzisha CCM inayotunyonya hadi leo
-katunga katiba mbovu,ambayo mwenyewe ana kili ina mapungufu mengi bado akaiacha hivyo hivyo huku alikuwa anaweza kuirekebisha
Hatari sana
 
Yani Huyu jamaa alikuwa mbinafsi kabisa. He was divisive. Huu ukanda na ukabila sijui wachaga hawafai kutawala ni yeye. Nyerere alikuwa Saddist na athari yake inaonekana sasa hivi.
Wachaga kuweni na huruma jamani Khan! Hivi kuna kabila lililofaidi nchi hii kuliko nyinyi. Lami mpaka migombani, maji, umeme n.k

Hivi watu wa Nkasi Sumbawanga au Mbinga huko Ruvuma wasemaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom