Tanzania ni ya 3 kwa stress duniani

Tanzania ni ya 3 kwa stress duniani

Hahahaah
IMG-20190426-WA0042.jpeg
 
Kama kuna kaukweli furani hivi maana

VISIMBUSI viliwatia watu mfadhaiko

MAFAO YA WASTAFU watu walipata mfadhaiko

KOROSHO watu walipata mfadhaiko

USAJILI MPYA WA LAINI huu sasa ndio mfadhaiko unaoendelea na inaonekana utakaa mda mrefu
Mkuu umeshawahi kuhojiwa na hawa watu? Au kuna yoyote humu JF Alishawahi kuhojiwa?
 
Shine,tumpe pongezi mtukufu rais kwa juhudi zake binafsi akiwa na CCM ya kiwandani.We have to say hoorah to those brave ones!Namba tatu si mchezmchezo!
 
Nimekupenda bure khaaa hahahaa...mm sio mwanchqma mkuu na sijawah kuwa member kule...alaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu leo unakana kupokea ruzuku,
Au unaogopa kutokea fenti fodi kwenye ripoti ya sieijii????
 
Tunaishukuru serikali ya awamu ya tano chini ya Mzalendo namba moja Rais Mh. Dr. John Pombe Magufuli kwa kufanikisha ushindi huu ambao kwa kweli kila Mtanzania Mzalendo lazima ajivunie.
CCM asanteni kwa ushindi huu murua
Cc. Pole Pole
Tunatembea kifua mbere 😀
 
Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
Kijiji gani nasi tukuye, maana huku town tulipo biashara zimebuma.
 
Back
Top Bottom