hii ni ni wazo jema..
wanasiasa tumewachagua wameshindwa kutusimamia, waeshindwa kutusemea,, lazima maslahi yetu tudai wenyewe.. lazima tujikwamue wenyewe.......
tukumbuke hata uhuru ulipiganiwa na vyama vya wafanyakazi.. sasa mapinduzi yataletwa na vyama vya wasio na ajira.... tuamke ndugu...
ACHA MAGUGU YAMEE PAMOJA NA NGANO ZIKIKUA VITAJITENGA.
kama waswhili wasemavyo uongo hujitenga na ukweli. Lowasa alibebeshwa zigo la Richmond..... Kwa kipindi chote alikaa kimya.. hajawahi kujitetea katika vyombo vya habari wala mahali popote...... sipendi kumuhusisha mungu lakini naona ukweli...
yap , UNDER THE CPA, kuna alternative verdict, where by the court can impose alternative vertidic for some offencence if the evidance adduce doesnt prove the alleged offence, and on alternative verdict the the alternative offence most be lesser offence. Example, rape to attempted rape, murder to...
Mkuu usiwe kam sio msomi... Na huyo dada yako huenda hajui anachofanya chuoni au hata chuo kapata na kufika hapo kwa magumashi au kudesa... Research si swala la kuandika na kumaliza chuo... Kwa mtu anaependa kusoma na anae jua nini maana ya elimu ya juu anapaswa kufanya research kweny...
kifungu hicho kinasomwa sambamba/pamoja na kanuni ya 10 ya sheria ya ajira na mahusiano kazini yaan employment and labour relations rule code of good pracrice
Mimi nanamtizamo tofauti kidogo. What i know is charge lazima iwe ya murder na itabaki kuwa ya murder... Swala la mansloughter linakuja baada ya mahakam kusikilza ushahidi wa pande zote mbili, baada ya mahakama kujiridhisha bila shaka kuwa ushahidi ilitolewa haukidhi for murder the conviction...
VIONGOZI WETU WAMEKUWA WAKITUDANGANYA KANA KWAMBA SISI NI WEHU. nataka kuweka historia vizuri kwa vizazi vijavyo. TANZANIA ILZALIWA MWAKA 1964 BAADA YA MUUNGANO WA KIFEDHURI KATI YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. TOKEA 1964 MPAKA LEO NI MIAKA 47 TU SASA IWEJE HAWA VIONGOZI WATWAMBIE TUNASHEREKEA MIAKA...
hii habari ni ukweli jkabisa, mimi nimemsikio BOSI WA HELSB MWENYEWE akisime kutangaza kwenye magazeti ni protocal tu, kazi zimeshachukuliwa. Hyuyu bosi ni MMASAI WATAFITI MNAMJUA sipendi kutaja ila jina lake.
kila jambo linaongozwa na sheria.... kumbuka bila sheria lema asingekuwa mbunge.... wananchi si kitu kwake kama sheria isngetamkaa bayana na kumpa raia haki ya kuogombea ubunge... anapaswa kufuata sheria ... mapinduzi hayaji kwa nmna hiii..... huuu ni uhuni wa kisisas ambao huyu jamaa anajaribu...
lema kaonyesha mfano.... tumuunge moono vijana..... wote tunaoona tunaonewa waziwazi tumunge mkono jamaaa...... nakumbuka Tunisia mwaznoni mwa mwaka kuna kijana alijichoma moto Hadharaniikiwailikuwa namna ya kufikisha ujumbe juu ya Tatizo la ajira na ajira za upendeleo...jamii ilihamasika na...
wasomi wa tanzana ni mambumbumbu wakiwa chuoni.... wamawzo ya kuisadia nchi ya nakuja baada ya kusota mtaani.. wakikosa ajira... hapa ndipo wanaanza kujikita kujadili matatizo ya nchi... wakiwa vyouni wanawaza kuongezewa posho na kuratibu migomo isiyokuwa na tija.... pindi wakiwa chuoni...
Nchi hii ni ya ajabu, yaani kijana kajipinda kasoma ili ajikombee yeye na jamii yake lakini hasaminiwi... huwezi amini vijana wanomaliza vyuo vikuu na kujiunga na jeshi la polisi wanaanza bila cheo hata mbavu moja... na pia majukumu yao ya kazi ni tofauti kabisa na fani wlizosomea... uwe...
tatizo wana jf mko judgemental... Jamaa kauliza swali la misngi sana... Ila wengi wenu mmekimbilia kujibu bila kujiuliza kwa nini kauliza swali kama hilo... Post nyingi za kazi zinazopostiwa kwenye internet wansema send your cover letter and cv to the e mail above lakini hawatoe anuani ya...
tatizo wana jf mko judgemental... Jamaa kauliza swali la misngi sana... Ila wengi wenu mmekimbilia kujibu bila kujiuliza kwa nini kauliza swali kama hilo... Post nyingi za kazi zinazopostiwa kwenye internet wansema send your cover letter and cv to the e mail above lakini hawatoe anuani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.