Msaada jamani nduguzanguni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani nduguzanguni.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kitumanga, Nov 15, 2011.

 1. k

  kitumanga Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajjkkjj
   
 2. A

  ACTIVISTA Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu usiwe kam sio msomi... Na huyo dada yako huenda hajui anachofanya chuoni au hata chuo kapata na kufika hapo kwa magumashi au kudesa... Research si swala la kuandika na kumaliza chuo... Kwa mtu anaependa kusoma na anae jua nini maana ya elimu ya juu anapaswa kufanya research kweny topic/course ambayo anahisi ana future nayo, au juu current problem kwa wakati husika. Kwa mfano kama anaplan ya kufanya masters ya commercial law afanye rearch juu ya hiyo kitu, elimu ya juu ni all about proffesionalism not certificates.
   
 3. J

  Jamuhuri Huru Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Activista safi sana, nimelipenda sana jibu lako kwa huyu ndugu yetu. Ukweli awali nilipoliona swali la mwenzetu nilikwazika sana sababu nililiona sio swali la msingi. Ingawa pia ni haki ya mtu kuomba ushauri au kuuliza. Kitu kilichonikwaza ni kwamba nilihisi Elimu ya Tanzania sasa imeshafikia kutokutusaidia katika kutatua matatizo bali ni kutuletea matatizo. Manake mtu ambaye alimefika Chuo Kikuu kuuliza swali kama hilo ni bora kumtilia mashaka yeye pamoja na hicho chuo anachosoma. Plz jamani tuulize maswali ambayo kweli yanaleta changamoto itayosaidia taifa hili kufika sehemu ambayo tunaihitaji. Samahani Kitumanga kama nimekukwaza lakini nazani pia wewe umetukwaza wengi kuuliza swala kama hili kwa niaba ya huyo dada yako.
   
Loading...