HESLB Posts mambo si mazuri applicants

jaman viongozi mtaendekeza huo uozo hadi lini? Jaribuni kujisafisha japo kwa hili la ajira kwa wahitimu vyuoni, unajua sioni mantiki mwalimu na dactari anaajiliwa bila interview wengne interview mbili kuendelea ina maana matutors wa coz nyingine hawafundishi au wanafunzi hawaelewi hadi wajisomee after kumaliza chuo? Tumechoka tunataka haki. Juzi nilitafakari maisha wazazi wangu walivyokuwa wakinisihi nisome sana niwe na maisha mazuri, na jinsi walivyokuwa wanalala njaa wapate ada yangu wakiamini baadae ningewasaidia, leo hii nimeitimu chuo miaka inapita sina kazi naambuliwa kuwaomba wajinyime tena wanipe mtaji au hela yamatumizi. Inauma sana umemaliza chuo huna tofauti na aliyeishia la saba kimaisha. Siku moja nikiwa kwenye daladala alipita dada mmoja mwanasheria, teja akiwa ndani ya daladala akaanza kusema mnamcheck yule ana degree lakin ana miaka mitatu mtaani kazi hakuna kachoka hata si tunamzidi,. iliniuma hadi nikatoa machozi. Mungu atusaidie
 
Futeni mawazo kuwa ajira rasmi ni serikalini na taasisi zake; kila kukicha sekta binafsi inazidi kukua tafuta kampuni ndogo ukue nayo kuko BoT, NSSF, PPF, HELSB, TRA utasota sana mpaka uliowaacha mwaka wa kwanza watakukuta mtaani na ubongo umeshafuta vyote ulivyosoma chuoni. Karibu sekta binafsi ...ONYO - huku hakuna michongo zaidi ya mshahara
 
Jaman achen jana mi nilipeleka hyo application huyo anayezipokea anasoma jina juu ya bahasha kwanza then anakwambia tayar waweza kwnda nlichoka......hakika hatufiki
 
Futeni mawazo kuwa ajira rasmi ni serikalini na taasisi zake; kila kukicha sekta binafsi inazidi kukua tafuta kampuni ndogo ukue nayo kuko BoT, NSSF, PPF, HELSB, TRA utasota sana mpaka uliowaacha mwaka wa kwanza watakukuta mtaani na ubongo umeshafuta vyote ulivyosoma chuoni. Karibu sekta binafsi ...ONYO - huku hakuna michongo zaidi ya mshahara[/QU Hujakutana na secta binafsi bro, huko nako watu tumesota unafanya kazi unasainishwa salary slip take home 700,000 unalipwa 400,000 ukisafiri per day unasain kulipwa 70,000 per day unalipa 25,000 per day,wanadai extra zinasaidia kuendesha NGO au kampuni, secta binafsi zinatusaidia kupata kazi lakini wengne wanatunyanyasa, tunavumilia maana unakuwa huna pa kukimbilia. Ila tutafika.
 
Heslb ni kama kazi za pspf na Nao ful michongo interview ni formalities tu hakuna kazi za burebure siku hz "mkono mtupu haulambwi" na kinachonikhera zaid wenye ajira nao tunafanya nao usaili mwishowe mnakuwa weeengi mpaka inakatisha tamaa
 
hii habari ni ukweli jkabisa, mimi nimemsikio BOSI WA HELSB MWENYEWE akisime kutangaza kwenye magazeti ni protocal tu, kazi zimeshachukuliwa. Hyuyu bosi ni MMASAI WATAFITI MNAMJUA sipendi kutaja ila jina lake.
 
jamani huo sio uongo hali ndio ipo hivyo, mimi mwenyewe nimepeleka maombi jana na nimekuta mizengwe kibao. Mi nazani kuna haja ya kuchukulia hatua hii hali maana ikiendelea hivi mambo yatakua sio mazuri. Hawa jamaa wanatusumbua sana haiwezekani watangaze kazi wakati wanajua kabisa watu wanaotaka kuwaajiri. Mi nishachoka jamani ninachotaka sasa ni kuamua kuchukua hatua tu, wanazidi hawa jamaa bwana
 
hawa HESLB ni washenz kwel c wangewachomeka 2 wa2 wao waliowachagua..kwel tz jobs ckuz bila kujuana tutakesho mitaan na degree ze2 bt oneday kikinuka itaeleweka2
 
Poa ndo maana ufisadi unaendelea. Kila mtu akiwa na mjomba huko makazini itafika wakati watu hatafanya kazi bali ni kuunda mitandao ya kuiba tu.
 
Mungu tusaidie hali ni ngumu sana kwani degree zipo za kujaa lakn kazi wanapeana hata wasiokua na elimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom