Mtuhumiwa kubadilishiwa kosa ni rukhsa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtuhumiwa kubadilishiwa kosa ni rukhsa?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mataka, Nov 19, 2011.

 1. m

  mataka JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wanasheria naomba mnijuze hili. Jana nilikuwa High Court ila jambo moja limesumbua akili yangu! Kuna mtuhumiwa alifunguliwa charge ya MURDER, aliposomewa shtaka lake mbele ya jaji akakana.

  Wakili upande wa Serikali akaomba Mahakama mtuhumiwa abadilishiwe charge badala ya MURDER iwe MANSLAUGHTER na jaji akakubali. Mtuhumiwa aliposomewa akakubali.

  Mwisho jaji kamnyeshea miaka 10. Je, nauliza hiyo kubadilisha charge kutoka MURDER to MANSLAUGHTER ikoje and under which provision of the law? And what the essence of the accused to plead guilty for a later offence while the former one of MURDER pleaded no guilty?

  Nisaidieni ndg zangu.
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  wacha kudanganya watu, mimi jana nilikuwa mahakama kuu, hakukuwa na kitu cha namna hiyo kama unavyotaka kudanganya umma.
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu Matola kanda za mahakama kuu ziko nyingi inawezekana hakuwa ulikokuwa wewe.

  Tukirudi kwenye issue yako ni kweli unaweza kuwa umeshitakiwa kwa kosa la kuua. Polisi na mahakama wanatakiwa wajiridhishe kweli kuwa kosa la kuua limefanyika. Lazima like kosa lionyeshe kuwa there is a malice on the part of the accused.

  Kuwa alitenda kosa hilo akiwa amekusudia kabisa kuua. Na unajua kesi za murder ni lazima uproove beyond any reasonable doubt. Yaani uondoe doubt zozote kuwa kweli kosa lilitendeka accused akiwa intention ya kuua.

  Sasa mauaji mengine yanatokea kwenye ulevi au kupigana au kufumaniana au kunyang'anyana pesa au ugomvi mdogo mdogo wa kudhulumiana pesa.

  Haya yanatokea kukiwa na excessive force on the part either of the part in question.

  Sasa cases kama hizi mawakili kwa kushauriana na judge na baada ya upelelezi kukamilika na kwa kusaidiana na waendesha mashtaka wa serikali wanaona kuwa case ya murder ambayo ni kuua kwa kukusudia au with malice aforethought haiwezi kusustain ila case ya manslaughter ambayo ni kuua bila kukusudia inaweza kusustain.

  Hapo sasa mtuhumiwa anaambiwa circumstance kama hizo na anapewa option ya kuplead not guilty kwenye case ya murder itakaposoma na then mwanasheria wa serikali ataomba kubadilisha mashtaka kuwa ni kuua bila kukusudia na mshtakiwa ataambiwa sasa aplead to a lesser offence ambayo ni manslaughter.

  Judge anakuwa na option sasa ya kuangalia gravity of the offence na kutoa adhabu.

  Nafikiri ndo maana ukaona kosa liliondolewa kutoka murder to manslaughter.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu kinaitwa prosecutorial discretion. Kwamba, waendesha mashitaka wana mamlaka kamili ya kuchagua kumshitaki mtu kwa kosa lolote (au hata kutokumshitaki) pale ambapo wanaona kuna ushahidi wa kutosha kumshitaki mtuhumiwa.

  Pia kuna jambo la plea bargaining. Hapa mtuhumiwa anakiri kosa ambalo adhabu yake si kali kama ya lile kosa alilolikana. Na hilo hasa ndo nadhani lililotokea kwenye hiyo kesi unayoizungumzia wewe.

  Kesi ya kuua kwa kukusudia adhabu yake ni kali kushinda ile ya kuua bila kukusudia.
   
 5. m

  mataka JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nashkuru sana my learned brother kwa ufafanuzi mzuri wa kisheri. Lakini kuna provision of the law inayoexpress hiyo kitu? If yes, can you let it out? Its a matter of correction, mie sikuwa Dodoma town bali hiyo case ilikuwa Kondoa. Thanks.
   
 6. m

  mataka JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  nashkru sana, sasa nimeelewa vizuri. Ubarikite.
   
 7. m

  mataka JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  nashkru sana, sasa nimeelewa vizuri. Ubarikite.
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Ngoja nitatafuta mkuu then i will send it to you
  Thank you and welcome
   
 9. A

  ACTIVISTA Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nanamtizamo tofauti kidogo. What i know is charge lazima iwe ya murder na itabaki kuwa ya murder... Swala la mansloughter linakuja baada ya mahakam kusikilza ushahidi wa pande zote mbili, baada ya mahakama kujiridhisha bila shaka kuwa ushahidi ilitolewa haukidhi for murder the conviction can be brought on mansloughter, that is the law.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Tanzania hakuna prosecutorial discretion?
   
 11. A

  ACTIVISTA Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yap , UNDER THE CPA, kuna alternative verdict, where by the court can impose alternative vertidic for some offencence if the evidance adduce doesnt prove the alleged offence, and on alternative verdict the the alternative offence most be lesser offence. Example, rape to attempted rape, murder to mansloughter, killing by a mother of an infant to simple arbortion, this alternative verdict under court discreation not prosecution.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Are you an attorney?

  So is it fair to say that ours is a system of mandatory prosecution and not that of prosecutorial discretion?
   
Loading...