Recent content by Achana na mimi

  1. A

    Wewe ni mwalimu naomba 2badilishane kituo cha kazi.

    Acheni mbwembe mkae hukohuko mbona mimi niko kijijini usafiri baiskeli ,,maji shida ila sihami
  2. A

    Wote waliokopa heslb inawahusu!

    Kweli akutukanae hakuchagulii tusi,,mkuu wa kaya hapa katutukana cc jobless.
  3. A

    Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    Dogo mkulima hachagui Jembe
  4. A

    J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

    Hizi habari za udini humu ndani nitakuja nimvuruge mtu,,nyie endeleeni tu.
  5. A

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Aisee umetusaidia sana mkuu, mungu akubariki
  6. A

    Why you should have sex each day

    Acha zako mbona mimi niko fit and am not doing it.
  7. A

    Girls mnafanya wanaume wawakimbie ila hamjui

    upo sawa kiongozi mwambie huyo
  8. A

    Mbeya: Walimu wapya wa kike wapo hatarini kubakwa!

    Naomba wana Jf mumsamehe huyu kijana chibolo maana hajui alitendalo...nahisi umri unamsumbua
  9. A

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    Mkuu nahisi hii mada umekosea kuiweka hapa ingebidi iwe kwenye jokes.. Tusilete utani kwenye inshu nyeti kama hizi
  10. A

    Diamond, freemason siri nje

    Mtu akiwa maskini kimya, mafanikio kidogo tu,,, ooohh fremason Hebu acheni imani za kishamba.
  11. A

    Nivue nguo nikupe utamu

    Mwalimu wakiume alipowaambia wanafunzi watunge vitendawili na hapo ndipo mwanafunzi m1 wa kike aliposema 'nivue nguo nikupe utamu,.,mwalimu alikasirika nakuanza kumcharaza yule denti bakora.,ndipo wanafunzi wenzake wakamtetea na kumwambia mwalimu kuwa jibu ni ndizi.. Mwalimu hoi
  12. A

    G9T Dear mwaaa!!!!!!!! Yaleta kizaazaa

    Hapo hana chake tena, kiubinadam hata mm simuelewi,.aangalie ustaarabu mwingine.
  13. A

    Mama yangu adui yangu

    Tupe mambo tupe mambo kiongozi,.imenoga hiyo.
  14. A

    Huyu demu simuelewi

    Mimi ninampenzi wangu ila tuko mbali huwa tunawasiliana tu,,tatizo ni kwamba nilikuwa nikimpigia sim hapokei kwa takriibani wiki mbili hivi baada ya hapo alinipigia sim nakunieleza eti alikuwa ananipima kama ninaupendo wa kweli kwake. Naomba ushauri hivi hii nikweli?
Back
Top Bottom