Wewe ni mwalimu naomba 2badilishane kituo cha kazi.

Wewe ni mwalimu naomba 2badilishane kituo cha kazi.

tommyy

Senior Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
178
Reaction score
85
Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari,shule ipo mkoa wa pwani wilaya ya Mafia.shule ipo mjini.mm nataka mtu wa kubadilishana nae kituo aliyekuwepo morogoro mjini.kama upo tayar 2wacliane kwa namba zifuatazo. 0714 145165.
 
morogoro to mafia! hahqhhaha

Inawezekana labda huko niliko kuna m2 ndio anakokutaka kufanya kazi na yupo moro hajui ataondoka vp tena bac huku niliko kuna nyumba za kutosha na ni bure kabisa kuna umeme na maji ya uhakika.
 
kwa mwalimu alie kibaha,bagamoyo,au dar na anataka aje lushoto anitaarifu!
 
Mwalimu wa sekondari aliye Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara anayetaka kuja Kahama tuwasiliane, shule ipo mjini. Namba yangu 0774 205159.
 
Mwalimu anayetaka kwenda Nzega toka Morogoro, Mbeya, Iringa, Njombe au Pwani tuwasiliane
 
Haya mwalimu anaetaka kuja lindi nachingwea sec ya mkoka ina kidato 1 na 2 , nijuze hasa wa morogoro au kahama mnaotaka kurudi na kufundishia nyumban iwe serious wakuu ,asanten
 
Mbona huweki mawasiliano yako? Wasiliana nami 0774 205159
 
mwl wa sec. Anayetaka kuja mbulu mjini tuwasliane, mim nataka nihamie arusha meru 0757412929
 
Mi nipo Halmashauri ya Mji Njombe.Shule ya sekondari njombe ina form 5 na 6.Nahitaji mwalimu anayetaka kubadilishana na aliye Dar es salaam tuwasiliane kwa namba 0767953790
 
Great thinker kweli anavamia page ya m2 na kuanza kujitangaza yeye wachaeni maajabu.
 
Ubinafsi huo sote ni walimu tunatakiwa tuwe na umoja tupendane, nikatika harakati za kutafuta vituo vya kazi kulingana na mahitaji kimaisha.
 
mi ntaka wa kja lind wilay ya ruagwa awe anatoka kanda ya kazikazin number 0763207529
 
Ubinafsi huo sote ni walimu tunatakiwa tuwe na umoja tupendane, nikatika harakati za kutafuta vituo vya kazi kulingana na mahitaji kimaisha.

Tuwe na umoja sawa, ila mtoa mada ananyimwa fursa yake kwa wachangiaji.
 
Back
Top Bottom