Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Naona toka mwanawe afeli neno ELIMU halina maana tena kwake
Rudisheni mkwanja huo au 2waletee majembe auctin mart wazee wa kazi wafanye ambush. Si mnawajua msako wao sako la nyani ngedere haponi
Dawa ya deni kulipa
Nadhani hilo ndio linakuuma zaidi kuliko kukosa kaziMimi kazi sina, mkwanja sina na demu wangu kanitosa. Sa nitapata wapi hiyo pesa ya kurudisha? Liwalo na liwe!
serikali yako imelipa mangapi inayodaiwa?
watu wanakukata PAYE 700,000 halafu wanataka uwalipe tena ...........usinitakie burn baba
Hana jipya huyo kwani mbona hasemei waliokula MABILIONI YA KIKWETE ambayo zilikuwa ni hela za walipa kodi,anakuja kuzuga kwa watu wasiokuwa na matatizo,hili hata kama asingesema watu watalipa coz utaratibu uliwekwa kuwa wahitimu waliokopa hizo hela wataanza kukatwa/ kurudisha hela hizo baada ya mwaka so yeye anaingilia nini au ndo anaonyesha ni jinsi gani alipata udokta???????????
Mimi kazi sina, mkwanja sina na demu wangu kanitosa. Sa nitapata wapi hiyo pesa ya kurudisha? Liwalo na liwe!