Why you should have sex each day

Why you should have sex each day

hii thread ni ya kifreemasons maana inahamasisha uasherati
Wakati dini zote na asasi zinazopiga vita ukimwi zinawashauri vijana kuwa "wastahimiluvu" au"wasubiri", thread kama hii sijui inasaidiaje vita dhidi ya ukimwi?
 
kwa sie tunaotumia service ya wale dada zeyu wa kona bar sii tutafirisika jamani .....buku 40 mara 7 ni 280000!!!
 
kwa wasiokuwa na ndoa wanashauriwa nini kuhusu hii mada?

Kuoa sasa kama inawezekana na kama haizwekeni kusubiri mpaka wakiwa kwenye ndoa. Kiswahili kina shida zake nyingi sana kwenye msamiati wake kama zilivyo lugha nyingine of course. Kuna neno moja tu la kishwahili ambalo nalisupport mara milioni moja nalo ni TENDO LA NDOA ikimaanisha ni tendo linalopaswa kufanywa na wale tu walioko kwenye ndoa, kinyume chake ni makosa.
 
kwa sie tunaotumia service ya wale dada zeyu wa kona bar sii tutafirisika jamani .....buku 40 mara 7 ni 280000!!!

Hebu fwanya hivi; 40,000 mara siku 30 ni shilingi ngapii?
 
Some say it is the first medicine ever known to man and it should be administered daily. Sounds too good to be true? Here are the the five reasons why you should have sex each day.

1. GREAT FORM OF EXERCISE: Making love is a form of physical activity. During intercourse, the physiological changes in your body are consistent with a workout. You must have noticed that the respiratory rate rises, which means you get tired. Hence, you burn calories. If you have sex three times a week for 15 minutes (but i know you can do better than that) you will burn about 7.500 calories in a year. That is the equivalent of jogging 90kms. Heavy breathing raises the amount of oxygen in your cells, and the testosterone produced during sex keeps your bones and muscles strong.

2. PAIN RELIEF: The "Honey, not today, I have a headache" cannot be an excuse any more. During sex, both male and female bodies produce endorphins, hormones that act as weak painkillers. A study conducted by Doctors showed that during sexual stimulation and especially during orgasm, we do not feel pain. If she finds another excuse, remind her that sex is good for her entire reproductive system, because it trains the PC muscle, which keeps the reproductive organs in shape. In women, sex can also increase fertility, postpone the menopause and relieve PMS symptoms.

3. PROSTATE PROTECTION: Most of the fluid you ejaculate is secreted by the prostate gland. If you stop ejaculating, the fluid stays in the gland, which tends to swell, causing lots of problems. Regular ejaculation will wash those fluids out and ensure the well being of your prostate until old age. Problems may also occur when you suddenly change the frequency of ejaculations.

4. PREVENTS ERECTILE DYSFUNTIONS: Fifty per cent of men older than 40 suffer from erectile dysfunctions and all young men fear the moment when they will not be able to get it up any more. The best medicine against impotence is SEX. An erection keeps the blood flowing through your penile arteries, so the tissue stays healthy. Plus, doctors compare an erection to an athletic reflex. The more you train the more capable you are to perform.

5. STRESS RELIEF: It is a scientific fact. Sex can be a very effective way of reducing stress levels. During sex your body produces dopamine, a substance that fights stress hormones, endorphins, aka Happiness hormones and oxytocin, a desire enhancing hormone secreted by the pituitary gland.

So its time to get down and have some SEXUAL HEALING..MWAAAAAH.

Sex is overrated anyway...
 
Na foleni ya barabarani hii?
Lazima mmoja akamuliwe damu.

Afu imekuwaje unataka kuolewa na Blaine?
aha we!! sex everyday is for jobless ppl na wasio na uwezo wa kwenda out. sex doesn't pay the bills -_-
 
Du hii kitu huwa inapunguza Umri wa kuishi Duniani kama utashindana nayo kwani ni Mshipa tu Mkilabuana kila siku mnapunguza siku za kuishi haina tofauti na Gongo.
Hebu fuatilia Dose inayotakiwa kwa kutwa hasa kwa Umri wa miaka 20 hadi miaka 60

http://www.losethebackpain.com/healthysex.html

In fact, we are born with enough essence to ensure a lifespan of 120 years. Problem is, we exhaust by having an unhealthy amount of sex!
With too much ejaculation, jing is depleted from the body. As a man ages past his middle years, the excessive loss of jing (semen) can have the disastrous effects described above. The young can engage in frequent copulation, but the middle aged and elderly should only release semen infrequently.
There is a classic text on Chinese medicine called Su Nu Jing. It was published almost 2,000 years ago and suggests that to maintain health, a man should have a certain amount of ejaculations according to his age and health. At the age of 20, if a person is in good health, it is suggested that two ejaculations a day is reasonable. Moreover, having one ejaculation every four days is the minimum necessary to maintain health.
The chart below suggests the guidelines from that classic text:
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]Miaka[/TD]
[TD="width: 30%"]Afya nzuri piga [/TD]
[TD="width: 30%"]Afya ya wastani piga[/TD]
[TD="width: 30%"]mapigo ya chini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]20[/TD]
[TD="width: 30%"]viwi2 x siku[/TD]
[TD="width: 30%"]1X Day[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 4 days[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]30[/TD]
[TD="width: 30%"]kimo1x siku[/TD]
[TD="width: 30%"]Every other day[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 8 days[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]40[/TD]
[TD="width: 30%"]baada ya siku 3[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 4 days[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 16 days[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]50[/TD]
[TD="width: 30%"]baada ya siku 5[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 10 days[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 21 days[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]60[/TD]
[TD="width: 30%"]Baada ya siku 10[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 20 days[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 30 days[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Now, the average 20-year-old male who is engaging in masturbation three times a day in college is probably overdoing it. This could possibly affect his grades (poor memory)
The 40 year old executive thinking of having that affair with the nice 24 year old intern might want to consider if he is in good enough health to survive an extramarital affair. He could wind up suffering from hair loss, aging of the face, low back soreness, weak legs, poor memory, loss of libido, impotence, and lack of sexual desire that could cost him his career and his health... not to mention his marriage!

Kwa hiyo hata wewe peleleza watu wenye umri wa kuishi maisha marefu ni wale walioko katika Ndoa moja na kutumia hii kitu kwa utaratibu
Hebu angalia wale Vipanga wote wa mtaani kwenu Master, wa Music Duniani hata hapa Bongo nk wanavyopukutika
tafadhalini punguzeni mikwaju
 
Na wale ambao wenza wao walishawaacha ndani na wako na vimada watasaidiwaje? Wanaume have some mercy to your beautful wives!!! Yaani mwanaume anakuwa kutwa na vicheche nje na akifika nyumbani mke hapati haki yake!! Kumbe wamama wanabaki na stress ghafla wanabadilika mods na kuwa wakali kwa mabinti wa kazi hata na watoto wao!! Tuone soni!! Sure sex is a healer!!!!!!Sexual healing!!!!!!!!!
 
Du hii kitu huwa inapunguza Umri wa kuishi Duniani kama utashindana nayo kwani ni Mshipa tu Mkilabuana kila siku mnapunguza siku za kuishi haina tofauti na Gongo.
Hebu fuatilia Dose inayotakiwa kwa kutwa hasa kwa Umri wa miaka 20 hadi miaka 60

Let's Talk Sex: Why Too Much and Too Little is Unhealthy!

In fact, we are born with enough essence to ensure a lifespan of 120 years. Problem is, we exhaust by having an unhealthy amount of sex!
With too much ejaculation, jing is depleted from the body. As a man ages past his middle years, the excessive loss of jing (semen) can have the disastrous effects described above. The young can engage in frequent copulation, but the middle aged and elderly should only release semen infrequently.
There is a classic text on Chinese medicine called Su Nu Jing. It was published almost 2,000 years ago and suggests that to maintain health, a man should have a certain amount of ejaculations according to his age and health. At the age of 20, if a person is in good health, it is suggested that two ejaculations a day is reasonable. Moreover, having one ejaculation every four days is the minimum necessary to maintain health.
The chart below suggests the guidelines from that classic text:
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]Miaka
[/TD]
[TD]Afya nzuri piga
[/TD]
[TD="width: 30%"]Afya ya wastani piga
[/TD]
[TD="width: 30%"]mapigo ya chini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]20
[/TD]
[TD="width: 30%"]viwi2 x siku
[/TD]
[TD="width: 30%"]1X Day
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 4 days
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]30
[/TD]
[TD="width: 30%"]kimo1x siku
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every other day
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 8 days
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]40
[/TD]
[TD="width: 30%"]baada ya siku 3
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 4 days
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 16 days
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]50
[/TD]
[TD="width: 30%"]baada ya siku 5
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 10 days
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 21 days
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]60
[/TD]
[TD="width: 30%"]Baada ya siku 10
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 20 days
[/TD]
[TD="width: 30%"]Every 30 days
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Now, the average 20-year-old male who is engaging in masturbation three times a day in college is probably overdoing it. This could possibly affect his grades (poor memory)
The 40 year old executive thinking of having that affair with the nice 24 year old intern might want to consider if he is in good enough health to survive an extramarital affair. He could wind up suffering from hair loss, aging of the face, low back soreness, weak legs, poor memory, loss of libido, impotence, and lack of sexual desire that could cost him his career and his health... not to mention his marriage!

Kwa hiyo hata wewe peleleza watu wenye umri wa kuishi maisha marefu ni wale walioko katika Ndoa moja na kutumia hii kitu kwa utaratibu
Hebu angalia wale Vipanga wote wa mtaani kwenu Master, wa Music Duniani hata hapa Bongo nk wanavyopukutika
tafadhalini punguzeni mikwaju

Asante sana mkuu ukwaju kwa taarifa nzuri hii. Sasa hii ni kwa wanaume tu na kwa wanawake wanatakiwa how many times per day given the above age? Ila sasa kuna wale ambao (hasa wanawake) waume zao wanahangaika nje na mke hapati hata miezi inapita na anabaki kuvumilia tu. Kwa hiyo kwa jinsi hii ni vema nao wanawake wawe na watu wao wa nje wa kuwaweka sawa ili yale mamb matano aliyoleta mleta mada aweze kuyafaidi. Hakina tumeona mara nyingi single mothers ambao hawana mabwana na wale married but not having real sexual relations with their husbands living very stressful life. It is bad!
 
Back
Top Bottom