Mbeya: Walimu wapya wa kike wapo hatarini kubakwa!

Mbeya: Walimu wapya wa kike wapo hatarini kubakwa!

hata wakibakwa sisi haituhusu istoshe walimu hawana faida yoyote kwenye jamii, ona walivofelisha wadogo zetu jamani nawachukia nyie acheni tu.

Ahsante kwa matusi! Naomba kukuuliza, je ulijifundisha mwenyewe? Je huna dada' kaka'binamu' mjomba n.k wa kike ambaye ni mwalimu, kama 'NDIYO', je akibakwa utafurahia? Je unajua madhara ya kisaikolojia yatokanayo na kubakwa' je upo tayari kubnakwa?. Ikiwa kama huna nidhamu kwa binadamu mwenzako, hata kwa mama mzazi yako huna nidhamu pia. Hivyo, hauna uchaji wa Mungu.
 
Baada ya wizara ya elimu kutangaza ajira mpya za walimu na kutakiwa kuripoti wilayani, katika hali isiyo ya kawaida kuna mwalimu baada ya kuripoti wilayani apelekwa usiku baa alipokua mwalimu mkuu akipata kinywaji ili ampeleke kituo cha kazi ambapo ni umbali mrefu.

Je ni halali kumkabidhi mwalimu usiku na sehemu ambayo ni ya starehe na si kituo cha kazi, hivi sasa yule mwalimu mkuu ana kesi inadaiwa kuwa alimbaka yule mwalimu.

Je kosa lipo kwa nani hapo mwanajamii mwenzangu mwalimu mkuu au afisa elimu wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Ahsanteni

Hivi inawezekana kumbaka mwanamke mtu mzima?
 
mimi nashauri wanawake inabidi tujichukulie tahadhari sisi wenyewe kabla ya watu wengine kuhusika.
Mathalani, huyu mwalimu baada ya kufika usiku katika eneo ambalo amepangiwa kazi - kwa kuzingatia usalama wake kama 'mtoto wa kike' ilibidi afanye maarifa ya kulala mahali salama ili asubuhi ifike na hivyo kwenda kuripoti. Mahali salama inaweza kuwa ni nyumba ya wageni au hotelini. Nasema hivi kwa kuwa, hata alivyokwenda kwa as=fisa elimu - usiku huo angemlaza wapi kama maisha ndiyo yale ya shumba na sebule/ au kama afisa elimu ni zinzi na hajiheshimu - nyumbani kwake hakuwezi kuwa salama kwa mgeni wa jinsia tofauti kupata hifadhi. Wanawake tuamke jamani - jamii imeporomoka kimaadili. HIZI SIO ENZI ZA NTERERE AMBAPO 'KILA BINADAMU NI NDUGU'....wakati wa Nyerere umekwisha na Nyerere wake. Zamani ingekuwa ni salama kabisa kwa huyo dada kulala kwa afisa elimu (kwa kuwa alifika usiku); au kulala kwa balozi...siku hizi mambo yameharibika. BINADAMU NI WABAYA HATA KUSHINDA SIMBA...TENA USIKU UKIWA UNATEMBEA PEKE YAKO UNAOMBA MUNGU UKUTANE NA MNYAMA KULIKO KUKUTANA NA MTU/BINADAMU MWENZAKO...kwa kuwa tunafahami gizani ndiko maovu hutendeka. Kubakwa kwa wanawake et al.

Kwa hiyo, ni jambo jema kuwa kuna kesi iko mahakamani. Huyo mbakaji ahukumiwe na atumikie kifungo ili liwe fundisho kwa wengine. Natamani bunge lipitishe sheria ya KUHASI wabakaji au kuwakata NONINO.....hii ndio itakuwa komesha yao.
POLE SANA MWALIMU ULIYEBAKWA.
 
Baada ya wizara ya elimu kutangaza ajira mpya za walimu na kutakiwa kuripoti wilayani, katika hali isiyo ya kawaida kuna mwalimu baada ya kuripoti wilayani apelekwa usiku baa alipokua mwalimu mkuu akipata kinywaji ili ampeleke kituo cha kazi ambapo ni umbali mrefu.

Je ni halali kumkabidhi mwalimu usiku na sehemu ambayo ni ya starehe na si kituo cha kazi, hivi sasa yule mwalimu mkuu ana kesi inadaiwa kuwa alimbaka yule mwalimu.

Je kosa lipo kwa nani hapo mwanajamii mwenzangu mwalimu mkuu au afisa elimu wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Ahsanteni

Huyo mwalimu aliyekwenda kuripoti baa, sifuri kabisa kichwani. Ndio matokeo ya shule za kata haya, tunaanza kuvuna. Wee unaenda baa, tena usiku, unategemea nini? Hata mimi ningelikuwa mwalimu mkuu, ningemtafuna. Asingebaki salama.

Hivi inawezekana kumbaka mwanamke mtu mzima?

TANZANIA PENAL)CODE
CHAPTER XV
OFFENCES AGAIST MORALITY
Defition of rape. 130. Any person who has unawful carnal knowledge of woman or girl without her consent, or with her consent, if the consent is obtained by force or by means of threats or by intimidation of any kind, or by fear of bodly harm, or by means of false representation as to the nature of the act, or, in in the case of a married woman, by persolanaliting her husbabd is guilty of felony termed "rape".
Je unakumbuka adhabu yake? Kama ni ''hapana', naweza kukukumbusha ili 'usitumbukie' ndani ndugu yangu.
 
cjaelewa kdg hapo
ina maana huyo teacher mgeni alienda kureport bar kwa mwalimu mkuu na sio shuleni kwenye kituo cha kaz.
labda nyumba za wageni ziwe hazipo au mhanga huyo hakuwa na fedha za kujikimu
 
mh! Anayesema mwalimu aliyebakwa ni sifuri kichwani naona amesema bila kuwa na uelewa walimu tuliopangwa kwenye hivyo vituo tunaelewa inakuwa hv mkifika ofisi za elimu mnajaza form mnakabidhiwa kwa dereva wa halmashauri awapeleke kwenye vituo na kazi yenyewe inafanyika jioni ambapo sio muda wa kazi atakachofanya dereva anakukabidhi kwa mkuu wa shule yeye ndio atajua utalala wapi? Ukizingatia mwalimu ni mgeni, kwa mfano mimi nimetoka kilimanjaro nimepangwa Lindi(nachingwea) nimepelekwa kituo cha kazi ni porini 38km kutoka mjini tumefika usiku nimeachwa kwa mkuu wa shule hebu niambie hyo guest huko porini tena mgeni unaipata wapi? So wanaotupeleka vituon ndio wanasababisha haya.
 
TANZANIA PENAL)CODE
CHAPTER XV
OFFENCES AGAIST MORALITY
Defition of rape. 130. Any person who has unawful carnal knowledge of woman or girl without her consent, or with her consent, if the consent is obtained by force or by means of threats or by intimidation of any kind, or by fear of bodly harm, or by means of false representation as to the nature of the act, or, in in the case of a married woman, by persolanaliting her husbabd is guilty of felony termed "rape".
Je unakumbuka adhabu yake? Kama ni ''hapana', naweza kukukumbusha ili 'usitumbukie' ndani ndugu yangu.
Nimekupata kiongozi nikumbushe adhabu
 
Nimekupata kiongozi nikumbushe adhabu

TANZANIA PENAL CODE.
131. Any person to commits an offence of rape is liable for imprisonment for tirty years, with or without copral punishment.
132. Any person who attempt to commit rape is guilty of felony, and is liable to imprisonment for life, with or without copral punishment.
Ni hatari! Yaani ukibaka au kujaribu kubaka adhabu yake ni ndundo thelathini, ikiwemo au isipokuwemo adhabu kali.
 
Kibolo unaumwa mawazo nenda kaweke spare garage
 
Back
Top Bottom