Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

Kwa ushauri wa bureeeee!!! baada ya kutumia dawa hakikisha unaiosha mb..lo yako vizuri mana kama ukibaki na pilipili kisha umuingize huyo malaya wako kwenye k yake huo muwasho lazima shavu za k ziwake moto tuuu.
 
Mkuu nahisi hii mada umekosea kuiweka hapa ingebidi iwe kwenye jokes..
Tusilete utani kwenye inshu nyeti kama hizi
 
Tofauti iliyopo, wahindi huitumia kama asusa kwakuitafuna. Lakini tibahii unatakiwa uipake kwenye kichwa cha mheshimiwa nyandonga.
Du bado nachanganyikiwa maana ili uongeze urefu na ukubwa ni tofauti na kichwa
wewe umesema pakaa kichwani (Glans) sasa huku kwenye shaft au shina la m*oo hakuhusiani na ukubwa kukua unajua Kibaiolojia ni tofauti kwanza ungejua imeumbikaje na inavyofanya kazi, kwa wale tuliokwenda kwa Ngaliba ni ngozi yote kuumuka kwa hiyo pilipili
220px-Labelled_flaccid_penis.jpg
370px-Gray1158.png

Naomba kwa waliojaribu watujuze dawa hii km kweli unapkaa kichwani na maumivu yake
maana mm wote wanaridhika na .....................
 
Tutaaminije?[/QUOTE
]mara ya kwanza hata mimi sijaamini, lakini nikamuuliza mtu mzima akaniambia ni kweli, tena akasema kwa matokeo mazuri zaidi unachukua vile vimifuko wanavotumia kufungi icecream uswailini baada ya kupaka unaingiza mule ili isijezidi ukubwa, halafu unachukua maji ya moto unaikandakanda na kitaulo unalala mpaka asubui ndo unakitoa kimfuko' jioni tena unarudi mpaka inakuwa ktk size unayoipenda, mimi leo ni siku ya nne tu lakini ilivokuwa naona inatosha kwa jimama lolote najiamini'
 
Unaweza ukapaka ukawa khanithi na ukashindwa kutarasua vyombo muruwaaa....................!:A S 39:
 
nipo ndani ya hii dozi siku ya 3 leo sioni badiliko lolote
 
Edeleeni kubisha lakini tambuweni maisha ni tofauti na wengi tunavyo dhani. Mfano mtazame Inzi anapotua, kuna ishara hua anaifanya, yani hutikisa miguu ya mbele nakisha miguu ya nyuma, hii akiwa na maana WEWE UKILI JUA LAMBELE WENZAKO WANALIJUA LANYUMA. Kwahiyo endeleeni kubeza tiba hii lakini mwenzenu nisha gomboka fedheha na zarau za mashangingi. Hvi sasa bakora kwa kwenda mbele.

mie sikubishii ila nakuuliza ili kujua. Je mabadiriko unaanza kuyapata baada ya kupaka mara ngapi? na je ni darili gani ambazo mgonjwa wako atakayetumia hiyo dawa akiziona ajue kuwa dawa inamsaidi? aina gani ya pilipili inatakiwa kutumika? maana ukisema tu pilipili ur too general maana zipo aina nyingi na labda huenda kuna specific pilipili.
 
Mkuu nahisi hii mada umekosea kuiweka hapa ingebidi iwe kwenye jokes..
Tusilete utani kwenye inshu nyeti kama hizi
Jamani tusiwe wagumu kuzisumbua akili zetu ktk kufikiri. Natusibishe kitu kabla ya kufanya uchunguzi. Ivi mtu akwambie bia zimempa kitambi, utambishia? Chamsingi tuijaribu hii dawa tusipopona ndipo tuanze kubisha.
 
mimi innchofaham ukitumia pilipili kwa wingi katika chakula (mboga) it take long time to ejaculate hii ya kupa ndio naisikia hapa! ni hatari sana, kupaka hiyo siku huwezi kulala na utahisi upo jeanam unateketea!
 
Asante kwa tiba asilia. labda tu tusaidie kujua ni pilipili ngapi, chumvi kiasi gani, na limau kiasi gani. LEO NAANZA TIBA!!!
 
Mtoa mada hujajibu vipimo pilipili ngapi na aina gani limau ngapi na chumvi kiasi gani
 
kwanz shukuran mkuu kw tiba yak,ila 2ngependa kujua ni pilipili ya aina gani? na nikwakiasi gan? ume2mia,ni chumvi kiasi gani? na malimao mangapi? Kwa kila siku ulivyopaka,na ulilala vip wakat huyo "NYANDONGA" anawak moto?,maan nilijarib kidog 2 baada ya kama dakik 2 ivi ikawa imeshaingia ndani sababu kwenye kichwa chake huwa na ngozi laini ila iliwasha san,Okoa jahazi mkuu...wanaume wenzako sisi.
 
Mtoa mada hujajibu vipimo pilipili ngapi na aina gani limau ngapi na chumvi kiasi gani
Nisha jibu maswali mengi huko nyuma ila wengine mpo katika kufanya mzaha ndio maana nawapita kama siwaoni vilee!
 
Mkuu kitoabu weka vipimo kabisa,kam nlivyokwambia apo juu nilishaanza kutumia ila nahc cjatumia vipimo kamil,sasa wewe ndo captain mwenyewe so tupe maelekez tutumie pilipil ya aina gani? na kwa kiasi gani?,chumvi kwa kiasi gani na malimao mangapi?,hii ni serious so jibu lako ndo litawezesh kuanz dozi mapema.
 
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

Aisee this issue is getting very serious. Wanawake say size doesnt matter. Kwa nini hamtaki kuelewa nyie wana wa Adam?
 
kama dawa yenyewe ndiio hii basi afadhali niendelee kubaki na kibamia changu. nilikua nimekodoa mimacho nasoma kwa makini sana lakini nimeona kuwa hii dawa sitaiweza.
Mnaoweza nawatakia kila la heri
 
Back
Top Bottom