Achana na mimi
Member
- Jan 16, 2013
- 23
- 4
Hapo hana chake tena, kiubinadam hata mm simuelewi,.aangalie ustaarabu mwingine.
U know why...:A S-heart-2:
Kaunga ...are you trying to say that..ungekuta msga kama hiyo kwenye simu ya shemeji 'husingemind kiviiile'?Ila people gotta be careful sana na hizi biashara za SMS, maana zinatumika purposely katika kuharibia watu wenye mahusiano yao. Na si wanaume wala wanawake yaani ni kama lipepo fulani hivi.
Sawa sishauri uignore ushahidi wa SMS lakini usiufanye kama ushahidi toshelezi. Kwa case kama hiyo, sidhani kama mtu anaiba na yule mwizi anajua kuwa anaiba hawezi kutuma SMS usiku wakati anajua yuko na mwenye mali. So kam katuma kuna mawili:-
1. Amedanganywa kuwa yuko peke yake au
2. Ameamua kuharibu tu.
lakini kwa maprofessional Other Man/Woman hawezi hata siku moja kuharibu.
Kaunga ...are you trying to say that..ungekuta msga kama hiyo kwenye simu ya shemeji 'husingemind kiviiile'?
One thing I have noticed kwenye mahusino ni kuwa...mwanaume akibambwa with such msgs..he is cheating! Hata asemeje haaminiki, hata kama mdada atasemehe atakuwa amesamehe huku akimini mpenzie kacheat. BUT...mwanamke akibambwa na similar msgs...basi sio ushahidi tosha, kuna explaination behind it...!!!???
Is it because inaaminika kuwa mwanaume kushinda vishawishi ni ngumu kuliko sisi; je mdada akiflirt halafu akakutokezea wazi can you be able to say NO maana sisi wanawake kusema no ni rahisi na hatutadhaniwa kuwa tuko weak au hatuko wazima kama ninyi?
MOn'goO wewe wanena. Yanatokea hata kwa wanaume - kuna shoga yangu nae alikuta sms kwenye simu ya mumewe toka kwa mwanamke anayefanya kazi na mumewe, message iliandikwa "good night dear" mume kuulizwa kasema eti huyo binti huwa anamsumbua. Vinganganizi vipo left, right and centre; Cha kuomba ni kuwashtukia mapema, kukaa nao mbali na kutowapa nafasihaya mambo huwa yanatokea... huyo jamaa kama kweli anampenda demu wake basi hiyo sio sababu ya kuachana... sisi wanaume smtyms ni ving'ang'anizi sanaa... Aendelee kumuelewesha tuu bila kuchoka.