Ngosha kapatikana......usipochkua hatua Za haraka mauti ...yapo njiani....aidha ujinyonge au uozee jela....huyu mtu anahitaji Masada wa haraka na ukibaki basi utaishi na maisha ya stress na madeni...kutokua na furaha aiseeeee
Unajua rizki huleta mwenyezi mungu....kuna Wenye mke mmoja na bado maisha ni taaabu...nadhani ni utayari tu wa kuvaa majukumu...na kumtegemea mungu kwenye kila utaftaji......Ila tuwe wawazi mke mmoja Kama wewe c mzinifu na unamuogopa mungu hatoshi ni adhabu ....yaani ni Kama hauna tu...Ila sasa...
Unajua tabia ni Kama ngozi.....hamna Jinsi ya kuirekebisha.....Ila asio na hili Ana lile....so angalia mema yake na mabaya yapi yanazidiana.......wanawake Ndo hawahawa tu.....
Waungwana naomba kuuliza bei Za soda Za brand ya Coca Cola toka kiwandani inaweza kua sh ngapi na nawezaje kupata uargent ....I mean vigezo gani natakiwa kua navyo....naongelea Zile Za chupa ya plastic
Mwanamke akikupenda atakuonea huruma...na hata ukikosa atasema inshaallah utapata Kesho....huku akitabasam na kukupa moyo....hapa Ndo tunakosea wanaume......unaona Dalili zote Za kufilisiwa na kupewa maradhi ya moyo na kisukari.... katika umri mdogo.....skia Hama iyo nyumba ...zima cm halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.