Kwa kweli hapa wachungaji wana kaziInafikia hatua wanawapa hata wachungaji kazi ngumu ya kuwaombea,kama Leo unaombewa ili upate mwanaume Wa maisha yeye akijibiwa maombi anachambua mpaka bac,kwa mtindo huo ni kwanini asizekee kwao?
32 anakuwa kachoka akizaa anazaa wajukuu32 anakuwa bado bado
Basi wakalime matangoWenyew wanasemag mapenz bila pesa niushoga
HahahaBasi wakalime matango
Ndo maana wachungaji wanajimegea sanaKwa kweli hapa wachungaji wana kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na uzuri wa jf co rahisi wao kujuana dadekiiii......Sasa kutumbua na warembo...ilhali zinaa ni haramu...dawa ni kujitwisha wawili
Mawe mazitoHuu uzi naona wanaume tu wanachangia wapi
Wanawake
Au haukidhi vigezo au mawe hayavumiliki
Pole mpenzMawe mazito