Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

Hizo bibilia,quran ni maandish yaliyoandkwa na binadamu kama wewe,

Lengo ni moja,kukupa vitisho ili uzinyenyekee na kuziogopa falme za dunia

Dunia inaongozwa kwa akili kubwa
Quran inakutisha ili unyenyekee ufalme upi wa duniani?
 
Mwenyezi Mungu aturehemu tuijue kweli yake .....soma biblia upate maarifa
 
This is philosophy technique, hamna lingine,, nasema hkuna maisha baada ya kifo full stop, there is no can prove it
You of course can prove, there is no Life after DEATH, right?
 
Nakwambia hakika si nyingi mungu akikunyosha na kukupitisha katika mstari wake wewe ndiye utakuwa wakwanza kutuhubiria maneno ya mwenyezi mungu. Wapo waliotukana jina la mungu na kudhihaki kama wewe leo hii ndio wachungaji wazuri na mashekhe wazuri katika misikiti na makanisani. Unataka uifanye kazi ya mungu hivyo. Maneno yangu haya yatadumu milele hakika nakwambia. MHESHIMU MUNGU NDUGU YANGU
 
Mtoa mada usitake kuwashawishi watu waendelee na maisha ya anasa. Vitabu hivi vya dini si tu vinasaidia kwa maisha ya baadae ya peponi/mbinguni bali pia vinatusaidia katika maisha yetu ya kila siku hapa duniani. Kiujumla vimejaa hekima isopimika na vinaleta uadilifu katika jamii. In short wee mtakatifu zidi kujitakasa na we mwovu zidi kujichafua sana eeee! Mungu sio dikteta bna ameweka uchague kati ya uzima na mauti!!!! The choice is yours
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea

Hata sisi binadamu ni hivyo hivyo

Usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa,

Hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena

Kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee

Kama ngono fanya upendavyo,,ukifa ndo imetok

Hakunamaisha baada ya kifo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Kama ukoma
 
Mtoa mada unamaanisha wanaoishi kwa kuzingatia amri za Mungu ili wakifa waende kula bata mbinguni imekula kwao?? Walokole watakupiga vita!
 
Shukran kwa kupata fursa ya kutoa mchangowangu;

1.Fikiria namba yoyote katika kichwa chako,kisha ijumlishe namba hiyo kwa tano (5),Jumlisha tena kwa nne (4),Jumlisha tena kwa tatu (3),baada ya kupata jawabu Sasa waweza toa kwa namba ya awali uliyofikiria kwa kichwa chako.
Jibu lake ni 12.

2.Sasa fikiria Tatizo linalokusumbua,kisha jumlisha furaha,pia jumlisha matumaini,kisha malizia kwa kujumilisha na Suluhisho.lipige teke tatizo linalokusumbua.
Sasa umebaki na Furaha,Matumaini na Suluhisho.

3.Fikiria tena kitu/jambo linalokufanya uwe na huzuni Maishani,kisha ondoa hofu, ondoa woga wa maisha yajayo,ondoa woga wa maisha baada ya kifo,ondoa woga wa vita,matetemeko na kuangamizwa kwa ulimwengu.Sasa huna ulichobakizi cha kukuogofya,Umebaki bila woga wowote.

4.Fikiria tena kama mtu aliyezaliwa karne ya kwanza akimsubiri mwana wa adamu aje kuangamiza dunia/ulimwengu,Jumlisha karne tano,jumlisha tena karne tano, jumlisha karne tano pia jumlisha karne tano, sasa ni karne 20 hivyo na bado ulimwengu haujaangamizwa wala kuja kwa yule,Sasa hunaulichobakiza zaiidi ya kuanzia kutumia ubongo wako vilivyo-kisawa-sawa.

5.Fikiria tena watu waliopata kuishi hapo kabla, 99% walishakufa na wengine washasahaulikia.
Kwanini uogope kifo kisicho epukika.

Ndugu zangu wapendwa hakuna Maisha baada ya kifo,Chapa kazi sana,Fanya dunia iwe mahala salama pakuishi.
 
Mungu yupo, hukumu ipo, na Kuna maisha baada ya haya..... Na kama tunamuamini dereva anae tutoa sehemu moja kwenda nyingine pia tujue mungu yupo na atatutoa sehemu moja kwenda nyingine
 
Vyuma vinachanganya balaaa,sasa ngoja siku akikutana na maluelue atajipeleka mwenyewe kanisan/msikitin
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee
Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha baada ya kifo.
Huu ndo ukweli. Hakuna maisha mengine zaidi ya haya.

Ndio maana mimi siamini upumbavu wa aina yoyote ule. Eti mungu sijui shetani, mara ooh dhambi mara jehanamu mara mbinguni.

Hivyo vyote vipo kwenye fikra. Ukishakufa unakua huna uwezo tena wa kufikiria maana ubongo unaohusika na kuwaza unakua umeoza.

Nafanya nitakalo isipokua kuingilia uhuru wa mtu mwingine na kuudhi watu wengine
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee
Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha baada ya kifo.

Huyu mtu anahitaji daawa haswa....
 
Jamani msimpe pressure anae apply kazi ya kuongoza malaika
Hahahahaha
tapatalk_1521235346840.jpeg
 
Shukran kwa kupata fursa ya kutoa mchangowangu;

1.Fikiria namba yoyote katika kichwa chako,kisha ijumlishe namba hiyo kwa tano (5),Jumlisha tena kwa nne (4),Jumla tena kwa tatu (3),baada ya kupata jawabu Sasa waweza toa kwa namba ya awali uliyofikiria kwa kichwa chako.
Jibu lake ni 12.

2.Sasa fikiria Tatizo linalokusumbua,kisha jumlisha furaha,pia jumlisha matumaini,kisha malizia kwa kujumilisha na Suluhisho.lipige teke tatizo linalokusumbua.
Sasa umebaki na Furaha,Matumaini na Suluhisho.

3.Fikiria tena kitu/jambo linalokufanya uwe na huzuni Maishani,kisha ondoa hofu, ondoa woga wa maisha yajayo,ondoa woga wa maisha baada ya kifo,ondoa woga wa vita,matetemeko na kuangamizwa kwa ulimwengu.Sasa huna ulichobakizi cha kukuogofya,Umebaki bila woga wowote.

4.Fikiria tena kama mtu aliyezaliwa karne ya kwanza akimsubiri mwana wa adamu aje kuangamiza dunia/ulimwengu,Jumlisha karne tano,jumlisha tena karne tano, jumlisha karne tano pia jumlisha karne tano, sasa ni karne 20 hivyo na bado ulimwengu haujaangamizwa wala kuja kwa yule,Sasa hunaulichobakiza zaiidi ya kuanzia kutumia ubongo wako vilivyo-kisawa-sawa.

5.Fikiria tena watu waliopata kuishi hapo kabla, 99% walishakufa na wengine washasahaulikia.
Kwanini uogope kifo kisicho epukika.

Ndugu zangu wapendwa hakuna Maisha baada ya kifo,Chapa kazi sana,Fanya dunia iwe mahala salama pakuishi.
Jamani
 
Maisha baada ya kufa nijambo lisilo epukikaa kataa au kubali
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee
Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha baada ya kifo.
Wewe ni shetani ibilisi mwenyewe muamasishaji maovu, usikasirike lakini maana kama unaamini hakuna maisha baada ya kifo usiamini pia uwepo wa shetani maana ukiamini utaamini na uwepo wa Mungu na maisha baada ya kifo!...umeshindwa kujidhibiti kutotenda uovu unataka wote tufanane na wewe
 
Back
Top Bottom