Huu msemo Behind every successful man there's a woman behind UFUTWE ni uongo uliokubuhu

Kwan uyo woman ni lazima awe mke mkuu???
Anaweza kua mama,dada,shangazi,ni mwanamke yoyote anaeweza kukufanya ufanikiwe hata kwa kukupa mawazo tu
Behind every successful man there is a STRONG woman
 
Huo msemo unaukweli asilimia zote. Si lazima mwanamke achangie pesa ili ufanikiwe hapana. Ushauri mzuri na kukufariji kipindi unapokutana na changamoto katika kazi au biashara zako ndio hukufanya ufanikiwe.
Mama pia anamchango mkubwa katika mafanikio ya mwanaume japo umempa 2% hapo juu. Unaweza ukaanza kujitegemea lakini bado utahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwake nasaha na baraka zake ndio vichocheo vya mafanikio yako.
 
MWANAMKE ANAYEZUNGUMZIWA HAPO KWENYE HUO MSEMO NI MAMA YAKO ALIYEKUKUZA NA KUKULEA WALA SIYO MKE KAMA WANAVYODHANI WENGINE
 
Hizo ni porojo za wazungu! Wanaume wengi wanaoa tayari wakiwa Na mafanikio yao. Shangaa sasa nyuma kuna nani.
 
It's not a woman behind a successful man but a strong woman behind than man
I would rather say behind a successful man there is a strong woman
 
Behind every successful man there's a woman behind them

Leo imenibidi nizungumzie msemo huu maarufu ambao unapendwa sana kusemwa pale mwanaume anapofanikiwa kwenye maisha "Eti behind every successful man there's a woman behind.

1.Huu msemo naupinga sana wanaume hufanikiwa bila sapoti ya mwanamke ,msemo huu ungesomeka behind every successful woman there's a man behind ningesapoti 100%....vijana wengi wa kiume wana hustle na kupitia magumu mengi mpaka anafanikiwa na akisha fanikiwa ndipo anapopata mwanamke kama unabisha waulize vijana wengi watakuambia subiri nipate pesa mbona nitaheshimika ,mbona nitampata yeyote yule nk na kwasasa hakuna mwanamke akae na kapuku mpaka huyo kapuku afanikiwe wanawake wa sasa wanata ready made mwanaume awe vizuri kwahiyo msemo huu hauwezi kuwa applicable.

2.kijana wa kiume mfano wale wasiobahatika kupata elimu kubwa hutaabika kutafuta kazi ya kumpatia rizki hapo atajiingiza kwenye Sanaa ata-hustle huku akiishi gheto na washikaji mpaka akabahatika kutoboa na kuwa na maisha nafuu au mazuri na hapo atamtafuta msichana ampendaye au kijana kaingia kwenye mpira ,au kazi yeyote ile au biashara akiwa zero mpaka akiwa 100 au 70 ndio mwanamke hujitokeza .

Wapo waliopitia elimu ame-hustle mpaka chuo na siku zote msichana anaweza kupatiwa maksi za bure na lecture ,akamlegezea macho na akapata ila mwanaume maisha yake yote ni hustling mpaka anamaliza chuo na kuanza kusaka kazi hapo atakaa mtaani miaka kadhaa ila msichana kuna privilege wanakuwa nayo fasta kazi anapewa ila mwanaume ata hustle mpaka kazi anapata .

Kwahiyo mafanikio ya mwanaume hayana behind Mwanamke ni uongo tu ,mwanamke anaibuka kipindi cha mafanikio

3.MAMA ni mwanamke na anahusika 2% ya mafanikio ya Mwanaume kwa fadhila ya kumlea na kumsimamia mpaka pale Mtoto wa kiume akisha balehe na kufikisha miaka 18 kwa huku mjini ila vijijini miaka 16.,na sapoti zinginezo na Mtoto wa kiume akiwa nyumbani kuanzia miaka 20 asiwe na shughuli atasakakwa ila wa kike yeye kila kitu kuna mtu nyuma wa kumsapoti ,hata mwanaume akitoka kwao na kwenda kutafuta maisha mjini tuseme Dar anamuacha mama huku ata hustle ili apate mafanikio arudishe fadhila nyumbani

Huu msemo

Behind every successful man there's a woman behind naomba ufutwe au ubadilishwe Behind every successful woman there's a man behind

97% ya wanawake wanaoendesha magari wamenunuliwa na wanaume na 3% wamenunua wao ila 100% ya wanaume wanaomiliki magari wamenunua wao

90% ya waajiriwa wanawake wamewekwa kwa upendeleo kazini

98% wamewapata wenzi wao waliofunga nao ndoa baada ya kupata mafanikio

100% ya wanawake wameolewa na wanaume waliopata mafanikio

0% ya wanawake wametoka pamoja na wanaume from nothing to everything kwa dunia ya sasa.

Mama anachangia 2% tu ya mafanikio ya mwanaume
Huo ni msemo wa kale,uliangalia hali ya wanawake wa kale walivyokuwa na sapoti kubwa kwa wanaume zao,
Lkn kwa sasa haufiti
 
It true simply because women never run behind unsuccesful men
 
Back
Top Bottom