Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Dah! Mkuu Pole sana! Kabla ya kukupa ushauri-mubashara nijibu haya:-
1.je uhusiano wenu ulianzaje!? (Ulianzisha mwenyewe au ulipigiwa pande!?)
2.Mazingira ya mwanzo kukutana naye yalikuwa wapi!? (mtaani au chuoni!?)
3.Mama yake mzazi yupo!? na anakukubali kwa % ngapi na ndugu zake wengine je!?
Angalizo:-
1.usijaribu katika maisha yako kuoa mwanamke kwa kupigiwa pande na yeyote hata kama wazazi wako.
2.Usioe mwanamke aliyeachika kwenye ndoa halali hata kama hana mtoto.
Ndugu yangu nakuomba uchukue maamuzi magumu ya kibinafsi kama bado hujamuoa "Piga chini" na usirudi nyuma hata aje nani hayo yawe ni maamuzi yako binafsi.
Tafuta mwanamke wa kawaida haraka sana kuziba pengo yaani uoe kabisa (achana na wanawake wa saluni na wasomi sana) hao wanakupotezea "timing" na hakikisha hana mama yake mzazi---- Mara nyingi wanakuaga sio.