Mke wangu mbona visa haviishi?

Mke wangu mbona visa haviishi?

Mkuu mbona unataka kufika mbali tena uko
Kupenda gani huko? Vijimapenzi vya ma teenagers hivyo kaka..
Huyo jamaa aliyemtafutia kazi yupo naye siku nyingi na labda ni mme wa mtu so wanakutana kwa hotel ndo maana hataki upajue Kwake.

Nasema hiviii Aisha Sio mtoto wako wa kuzaa wewe ni baba mlezi ...ipo siku utakuja hapa kutuambia. .
 
Ngosha kapatikana......usipochkua hatua Za haraka mauti ...yapo njiani....aidha ujinyonge au uozee jela....huyu mtu anahitaji Masada wa haraka na ukibaki basi utaishi na maisha ya stress na madeni...kutokua na furaha aiseeeee
 
Dustless nimegundua kitu,ningekuwa na uwezo ningewaambia modes wabadilishe jina hapo badala ya dustless wakuwekee brainless.Ndiyo hilo ndio linakufaa.Mapenzi ni furaha siyo karaha.Usiwe mtumwa wa kyuma mkuu,jaribu kyuma zingine umekuwa zezeta kabisa kwa sababu ya kyuma?Change motion,Change direction na ukiweza change angel ya kumuangalia huyo malaya,///.
 
Nimeishia hapo kwenye kupanda daladala....

Hongera mkuu umependa kupindukia
 
Wewe jamaa bwege sana. Yaani mtu akufanyie vitimbi vyote hivyo, ila pole sana wanawake wa kitanga kwa waganga wamekubuhu. Ndugu yangu alikuwa mwanaume hasa na wanawake wanamjua ila alokosea kumpata mtanga huu ni mwaka wa kumi hata hamu ya kufima kwake sina na wala hakuna ndugu upande wa kiume ana hamu ya kufika kwake.
 
Mkuu mbona unanifanya nitamani kusoma na kuchambua kwa makini sana replies zote na likes zake kutoka ID za kike kwenye huu uzi?

Una uhakika yuko JF au nitapoteza muda wangu kufanya hiyo kazi?
 
Ninaacha maagizo: nikifanyiwa na mwanamke nusu ya haya aliyofanyiwa jamaa kwa kisingizio cha kuwa nampenda, ajitokeze msamaria mwema anipige risasi - nife.

Save me from the atrocity and kill me. If you don't she will kill me anyway sooner or later.
 
Back
Top Bottom