Recent content by AbdallahShabaniAmanz

  1. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Oa mwanamke mwenye elimu

    Dah...well said...wisely speaking
  2. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Duh kweli we ndo mwenyewe mitaa ile...ni kweli hata mimi babu yangu ndo ilikuwa mitaa yake ya kunywa pombe na nyama zisizoeleweka.....tulikuwa tunaishi ajentina pale jirani na jego gesti
  3. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

    Watoto hawawezi kuelewa hayo ndugu
  4. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ni kweli huyo hakuhusika...yupo hadi leo ni ndugu yangu huyo na hapo alitoka nayo yard hiyo anaishi moro
  5. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Samsungs wanashida gani?

    True
  6. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Samsungs wanashida gani?

    Hawajui mambo hayo
  7. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania HOTUBA YA JPM ITAKAYOPATA KUISHI MILELE

    Mh ifike mahala tukubali tu....hivi kuna muandishi wa habari aliyewah kujichanganya kumkosoa kiduku korea?kama kunyoa tu style yake ni marufuku vp kuhusu mambo mengine
  8. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi panda/endesha gari ya Mkata Kimeo?

    Umenikumbuka corolla yangu ae100 watu wana kadharau lakini kanawapita tu wamefungua maduka
  9. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza

    No ishu sio kuwalazimisha kuishi maisha ya viwango..ishu ni kwamba vyuoni kuna zile kabati wanaitaga locker ina maana hawakuwahi hata kuuliza mtaani kuhusu habari za vyuoni?...ndo tunashangaa hapo..ina maana kwao walikotoka ni kisiwani kiasi gani hadi wasipate info za nje?
  10. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Msaada: TV ya TCL inazima screen na kubaki audio tu

    Hivi kwan na zilile za HISENSE nazo vp ziki poa?
  11. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kununua saa inayozidi Tsh elfu 3. Mnaonunua za laki mbili zinakuwa na nini cha zaidi?

    Mh..sasa uliza anayovaa gharama yake then uje tena utuambie Sent using Jamii Forums mobile app
  12. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Wanaume katika saikologia ya ngono

    Dah afadhali umetutetea Sent using Jamii Forums mobile app
  13. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda sana attention ya wanaume sijui kwanini

    Yees...aje hapa aone comment za wanaume..duh Sent using Jamii Forums mobile app
  14. AbdallahShabaniAmanz

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    ila kiukweli wanafunzi wa cku hizi ni mtihani sana,yani hawaambiliki wala hawasikii,wazazi nao wanasema ndio utandawazi hata kufuatilia maendeleo yao wanaona kazi wanasema eti wako bize,kwa hiyo haya matokeo tusiyashangae kwani tumeya taka wenyewe
Back
Top Bottom