Tuna kimasiharaHuyo dada naee, kwahiyo nawewe ungemgusa gusa ndio ingekuwa tayariii tenaa??
Hahah kwamba mkuu ameshindwa kula tunda kimasihara 😂😂😂
Hapo ndipo mnapo anza kufeli vijana.
Ulipaswa umpe neno moja tu "UMEPENDEZA".
Na sio lazima umpate yeye, lakini pengine yeye angekuwa mwanzo/connection ya wewe kumpata mwingine ambaye angekuvutia zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app