Nyinyi viongozi wa Makanisa mnataka Serikali ifanye nini kwa kitu ambacho hata ushahidi haupo?,tokio la kuchomwa kanisa Zanzibar bado ni tete , hajajulikana msababishi, au ndio mwatafuta namna ya kuimrisha serikali ikamate tu watu kama mnavofanya?, kwa Zanzibar tunasema basi tena ,amri zenu...
nyie mnaongea ila hamna hata rejea sheh issa katoa evidences kibao,walitaja mpaka vifungu vya u.n na o.a.u au hamkusikiliza wala kutizama bali mlihadisiwa,maana ata hiyo faida ya kuingizwa kipengele cha dini pia alikiongelea sasa sijui tatizo nini kwenu,tusiwe wapofu wa fikra,jaribu kufungua...
bila shaka naomba ifahamike kuwa,hakuna chochote kinachosemwa na cdm isipokuwa uroho wa madaraka tu.hoja inadhihirishwa kwa makini kwa kuieleza safu ya uongozi wa chadema iliyojaa undugulization na ukabila bila kuusahau ukanda kama ifuatavyo:
1:grace kiwelu ndesamburo ni mbunge wa...
tusisukumwe na hisia juu ya kipigo cha dr.ulimboka and eventually reaching to a sanctity statement that the government has afrontly commited a crime to dr.ulimboka without making critical analyisis about event.
Yawezekana kabisa serikali kushiriki katika tukio hilo haramu ili...
1: Lucy owenya ni mbunge viti maalum lakini ni shemeji wa mbunge wa jimbo la moshi mjini (ndesamburo) ambaye pia ni mfadhili mkubwa wa chama hicho.hapa utagundua kuwa cdm imeamua kulipa fadhila kwa mfadhili bila kuangalia usawa wanaoulili,je siyo unafiki?
2: grace kiwelu...
Nyinyi wakristo wa tanganyika kweli niwapenda haki nyinyi? Kumlaumu profesa shivji kwa kuitetea zanzibar ni kuendelea kudhihirisha chuki zenu tu kwa zanzibar,mara hii lazima tupumue tu.
kwaza nakushukuru kwa kutoa sehemu hii ili tusamue kidogo kuhusu katiba,muungano ni kitu kimoja kizuri sana na mtu yoyote anaekataa muungano huwa haoneshi kukamilika ,lakini jee kwa aina hii ya muungano kweli ni haki kuukubali? Mimi binafsi siupendi tena na nauchukia ndani ya nafsi na sio...
Kwaza nakushukuru kwa kutoa sehemu hii ili tusamue kidogo kuhusu katiba,muungano ni kitu kimoja kizuri sana na mtu yoyote anaekataa muungano huwa haoneshi kukamilika ,lakini jee kwa aina hii ya muungano kweli ni haki kuukubali? Mimi binafsi siupendi tena na nauchukia ndani ya nafsi na sio...
Licha ya majibu tuhuma zako dhidi ya watuambao unadai bado hawajatoa sababu za msingi za kuukataa Muungano ,pia maneno yako ya kifalsafa bado unaonekana wewe ni mvivu wa kusoma maandiko ya historia na mja mzito wa kuyafikiria mambo.Kama kuna mtu alitakiwa aelewe faida za Muungano mmoja wao...
Pole sana kwanza rafiki yangu,kwanza unaposema Tanzania haina dini huu ni uongo tu uliomo ndani ya katiba,wewe unaelimu kiasi gani ya kumshinda Dr. SIVALON?,yeye aliionesha dini ya Tanzania katika kitabu chake alichokiita"THE DARK SIDE OF NYERERE LEGACY",Tokea zama za Nyerere dini ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.