Picha - Uamsho Zanzibar ngangari hadi kieleweke

Hawa ni kundi la wavuta bangi,kama kwel hawautaki muungano si wakachome moto ile ikulu yao! Ma.maeee zao
Walitumia Green Guard wakaona hailipi!! Wakatumia Bakwata wakaona haifai! Sasa wameparamia njama haramu za Uamsho kupandikiza mitafaruku ya kidini ili wapate support ya waislam! Mungu ibariki Tanzania!!

 
Yupo kafukiwa Musoma,


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD

Acha kuishi kwa kukariri wewe..! Mawazo au maneno yake yalikuwa na muda wake,.. Tafuta njia mbadala na usiish4 kwa mawazo na falsafa zilizokufa.. Mwalimu aliiongoza nchi na wakati wake ulipita na ndivyo itavyokuwa kwa kila mtu..
Ikiwa Baba amekufa haina maana ati nawe ufe kimawazo/upembuzi.. Ohoo! Kalaga baho..!
 
Tafadhali soma hii ni muhimu sana

Hizo picha ni propaganda za wakristo wa magazeti ya Tanzania daima na nipashe dhidi ya waislamu.

Jioni hii wakati narejea nyumbani nilikuwa nasikiliza redio Imani. Ikaelezwa kuwa kwenye baadhi ya magazeti yanayomilikiwa na wagalitia (Tanzania daima na Nipashe) yametoa picha za waislamu waliondamana mkoa wa morogoro miezi sita ilizopita na zikatoa maelezo kuwa ni matukio yaliofanyika Zanzibar jana, maandamano ya morogoro yalikuwa ya waislam waliokuwa yakishinikiza wanafunzi wa kiislamu wapate fursa ya kufanya ibada kwenye maeneo ya shule (boardin school).

Nilipopita kwenye magazeti nikanunua magazeti ya Tanzania Daima na Nipashe.

Tanzania Daima wameweka picha tatu, ya kwanza bwana mmoja anakitambaa kimeroa damu anakionyesha juu.

Huyu bwana ameithibitishia redio Imani, kuwa picha hii ni ya kwake, ilipigwa morogoro na hajawahi kwenda Zanzibar.

Na tukio hilo lilitokea Morogoro, pia kuna picha ya FFU ambayo nayo inathibitika kuwa ilipigwa Morogoro, lakini picha ya tatu inaonesha dhahiri ni moja ya maandamano yaliofanyika nchi za kiarabu.

Na Nipashe imetoa picha ya huyo bwana alieinua kitambaa chenye damu.

Sasa huyu bwana amehojiwa na redio imani na ameeleza kwa ukamilifu picha hiyo ilivyochukuliwa wakati wakiandamana huko Morogoro, na mtangazaji aliekuwa akimuhoji amethibitisha kuwa ana video ya tukio hilo.

Swali..... Kwa nini magazeti haya yametoa picha zilizotokea sehemu nyengine na kuonyesha ni matukio ya Zanzibar?

Jawabu ni rahisi, ni propaganda na Kampeni dhidi ya uislamu,

Kwa ufupi ni kuwapaka matope waislamu katika hizi chuki zao dhidi ya Uislamu tu

anataka kujifanya yeye hakuwepo..............atajitetea mbele kwa mbele sio hapa.......!!!!
 
Mbona nasikia mnaendelea kuchoma makanisa, mnajua nyie ni wapumbavu sana , hivi mnadhani kama tukiamua kufanya kama nyie mtatuweza mbwa nyie?

MBWA HUMUONGOZA NJIA BINADAMU KIPOFU KAMA WEWE

NASIKIA , NASIKIA , JIKAZE KIDOGO AMA KWELI WEWE NI CHILISOSI

HEBU WEWE BINADAMU CHILISOSI UTAENDELEA MPAKA LINI KUBURUZWA TU BILA KUTUMIA AKILI YAKO

NDIO MWISHO MNABAKIA KUOLEWA MAKANISANI NA MAPADRI KWA KUBURUZWA


vicar_1700537c.jpg


The pair are due to marry on Oct 9 at the register office in Devizes before holding a service at St John the Baptist Church Photo: SWNS
 
BABA WA TAIFA JULIUS KAMBARAGE NYERERE, Upo wapi Mwalimu wa nchi hii,Baba yetu ungekuwepo leo hii NENO LAKO MOJA TU LINGEBADILISHA NCHI HII.
Haya uliyasema na kuyatabiri mda mrefu sana. NAKUMBUKA WAKATI WA UCHAGUZI 1995 ULIONGEA MAMBO MENGI KUHUSU MUUNGANO. Leo hii yanatokea hakuna anayeweza kukumbuka uliyosema. NARUDIA....SEMA NENO MOJA TU HUKO ULIKO LIBADILISHE NCHI YETU.
yeye ndio alituletea hii kero, angewaacha hao wazenji na kanchi kao. Muungano usio na faida bali ni karaha tu.
 
Back
Top Bottom